CHADEMA kufukuza madiwani wawili Shinyanga

CHADEMA kufukuza madiwani wawili Shinyanga

Huyo kwenye red labda mnaye ninyi, kwa taarifa yako Zitto hajawahi kusimama as a team na wenzake tangu baba zako akina gombeman walipomuonjesha hela za ufisadi, na ndio maana hata baada ya kuwekwa kando na kuokotwa na mahakama CHADEMA ina nguvu kama kawaida . We can't lose what we never had son. Zitto ni instrumental kwa ccm lakini si kwa CHADEMA,Na ndo maana tangu tumempiga chini mnaoongoza kwa kumlilia humu ni nyie LB7 Team. Kwa nini mnalia zaidi hata ya wafiwa.!???

acha uongo wewe. wanachadema kanda zote ni wafuasi wa zito kasoro misukule ya kaskazini tu
 
Kila siku tunasema Chadema ni chama cha kikanda, sasa angalia wakazi wa Shinyanga walivyodharauliwa madiwani wamewachagua wao lakini Dr.Slaa na Mbowe wanawafukuza kisa kujuana na Zitto.
Acha unafiki, hivi Mansour Hakuchaguliwa na wazanzibar wenzake .? Mbona mlimfukuza na mmeamua cha Warioba ? Wewe ni Mnafiki wa kulipwa ......
 
Ha ha ha Makani hakuwahi kuwa na ushawishi Shy kutokana na kuamisha makaburi ya wazazi wake......acha kujiziba ufahamu kama yeriko
Mkuu pamoja na dunia kuwa hivi ilivyo leo,bado unatukuza makaburi..!? We makaburi ya wazazi yakibaki nyuma ya nyumba yako yanakusaidia nini..!? Km ningekuwa rais mimi,ningependekeza tuwe na sheria ya kuchoma moto maiti na majivu tunamwaga baharini kuliko hii kanuni ya kuzika ambayo inawafanya watu waendelee kuwa wajinga.
 
Huyo kwenye red labda mnaye ninyi, kwa taarifa yako Zitto hajawahi kusimama as a team na wenzake tangu baba zako akina gombeman walipomuonjesha hela za ufisadi, na ndio maana hata baada ya kuwekwa kando na kuokotwa na mahakama CHADEMA ina nguvu kama kawaida . We can't lose what we never had son. Zitto ni instrumental kwa ccm lakini si kwa CHADEMA,Na ndo maana tangu tumempiga chini mnaoongoza kwa kumlilia humu ni nyie LB7 Team. Kwa nini mnalia zaidi hata ya wafiwa.!???


Jifariji kaka but ukweli waujua
 
acha uongo wewe. wanachadema kanda zote ni wafuasi wa zito kasoro misukule ya kaskazini tu

Yaani hapo ndo umetoa point umemaliza!?? , Kuna haja ya kufanyia auditing hizo buku saba saba.
 
Acha unafiki, hivi Mansour Hakuchaguliwa na wazanzibar wenzake .? Mbona mlimfukuza na mmeamua cha Warioba ? Wewe ni Mnafiki wa kulipwa ......
Kamanda mbona umepanic ghafla ebu kunywa glasi moja ya maji huku umekaa munkali utapungua...mambo ya Zanzibar mimi siyafahamu hiyo ni nchi ingine.
 
Na ndio ninaousimamia mwanzo mwisho na sio hisia.


Mmekwisha!!!!

Unasimamia ukweli wa kushindwa kwenye udiwani?

Unasimamia ukweli wa ruzuku ya chama kuliwa na mahawara wa viongozi?

Unasimamia ukweli wa kubaguwa waislamu?

Ukweli UPI? au anaokupa BABU?

you are loser!!!!!!
 
Kamanda mbona umepanic ghafla ebu kunywa glasi moja ya maji huku umekaa munkali utapungua...mambo ya Zanzibar mimi siyafahamu hiyo ni nchi ingine.


Ha ha ha

wamechoka... wakekata Tamaaa...

wamekosa dira na mwelekeo wanampigia mwanaCCM SITTA kampeni awe mwenyekiti wa bunge la katiba...

Wamekata tamaa.....
 
Kila siku tunasema Chadema ni chama cha kikanda, sasa angalia wakazi wa Shinyanga walivyodharauliwa madiwani wamewachagua wao lakini Dr.Slaa na Mbowe wanawafukuza kisa kujuana na Zitto.
mkuu wale madiwani 4 wa Arusha walivyotimuliwa mkachekelea, hivi walikuwa ni wagogo wa Dodoma au Wanyamwezi wa Urambo? au ni tunangea kwa ushabiki tu
 
Ha ha ha

wamechoka... wakekata Tamaaa...

wamekosa dira na mwelekeo wanampigia mwanaCCM SITTA kampeni awe mwenyekiti wa bunge la katiba...

Wamekata tamaa.....
Hawajui hata wanachopigania mara wapo kwa Sitta mara Lowassa hawa wote ni makada wa CCM.

Huyu Sitta wanaomtaka alishawambia wazi zaidi ya mara moja kuwa safu ya uongozi ya Chadema ni ndogo sana.

Dj, hauwezi kuongoza nchi.
 
ATC ?
Mzitto si alisema haondoki chadema,atakuwa mtu wa mwisho? Kama kweli yeye ni mwaminifu kwa chadema na sera zake,si angepambana nje ya chama cha siasa kama angefukuzwa ili baadae watu wamwamini?

Sasa tuliosema anatamaa ya madaraka ndio anataka kuuthibitishia umma wa watanzania kuwa tulikuwa sahihi?
 
Jamaa kweli wanafikiria kama kuku aliyefunikwa kwenye bakuli ili atage; yaani unaanzisha chama ukitegemea wanachama wako wapya watoke CDM wajiunge kwako kwa kutumia Rushwa!! - pole sana Msaliti no 1.

Dhambi yako ya usaliti itakukaanga popote pale uendapo!!, na kamwe CDM utaiacha kama ulivyoikuta na ndiyo inazidi kupaa - ushahidi nenda Kalenga ukashuhudie.
 
Hawajui hata wanachopigania mara wapo kwa Sitta mara Lowassa hawa wote ni makada wa CCM.

Huyu Sitta wanaomtaka alishawambia wazi zaidi ya mara moja kuwa safu ya uongozi ya Chadema ni ndogo sana.

Dj, hauwezi kuongoza nchi.


DJ kachoka kusugua CD

ha ha ha amelala bungeni vijana wanaiba laptop

Hawajui wafanye nini maskini....

Chuki zao tu za kidini na kikanda zinawaponza wangemwacha kijana wa KIGOMA awafunze kazi
 
chadema mkoa wa shinyanga kuwafukuza madiwani wa shinyanga bwana Sebastian peter maarufu kwa jina la Obama wa kata ya Kongolo na Zacharia Mfuko kata ya Masekelo kwa kosa la kula njama za kuihujumu chadema mkoa wa shinyanga na kuratibu harakati za ACT, chama kinachosemekana kuanzishwa na mwanachama wa chadema mwenyekinga ya mahakama..

taarifa nilizo zipata mida hii ni kwamba mipango hii ina ratibiwa na Masele stiven na wamepanga kwenda kukutana Nzega kati ya kesho ama kesho kutwa....
Tumaini Makene unadharaulika sana

Angalia vitoto hivi vinavyoharibu kazi yako,

Lakini pia angalia makene,timua timua na hasa ukizingatia wewe si MCHAGA BILA SHAKA KUNA KILA DALILI KUWA UMEKALIA KUTI BOVU
 
Last edited by a moderator:
Kila siku tunasema Chadema ni chama cha kikanda, sasa angalia wakazi wa Shinyanga walivyodharauliwa madiwani wamewachagua wao lakini Dr.Slaa na Mbowe wanawafukuza kisa kujuana na Zitto.

Mtasema yote,CDM iache itende kazi yake.
 
Back
Top Bottom