hahahahaha....yuku bussy kueatetea wamume zake...
we dada crashwise mimba changa inakusumbua
hahahahaha....yuku bussy kueatetea wamume zake...
Huu ni mwendelezo wa dhambi ya ubaguzi ambayo imekuwa ndiyo msingi wa utendaji wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA
Mtafukuza wangapi?.
Hakuna dhambi kubwa na mbaya kama ubaguzi kwa misingi yoyote ile ya kibinadamu.
Neno usaliti mtalitumia sana lakini mkumbuke dhambi ya ubaguzi haitawaacha salama kisiasa.
Muda hutoa majibu na katika muda hou, mtayafahamu matokeo ya dhambi ya ubaguzi mnaoufanya kwa baadhi ya Watanzania wapenda demokrasia ya hoja na ukweli.
Duh kumbe na wewe ni kiongozi Mhhh kazi ipo.
Hivi wewe upo Shinyanga,au wapi? Ngokolo hiyo,nani asiye fahamu kuwa huyo Seba (Obama) akishirikiana na katibu mwenezi wa CCM (w) Shinyanga mjini Bw. C Shigino ndio wanaogawa DVD za ZZK bure?Kama Seba atafukuzwa Rahel Mashishanga siku zake na yeye zinahesabika..... Hivi CDM wanajua kazi anayopiga Seba kwa wananchi wa Ngokolo???
Hivi wewe upo Shinyanga,au wapi? Ngokolo hiyo,nani asiye fahamu kuwa huyo Seba (Obama) akishirikiana na katibu mwenezi wa CCM (w) Shinyanga mjini Bw. C Shigino ndio wanaogawa DVD za ZZK bure?
ubaguzi unaweza kuniambia wale madiwani wanne wa arusha walikuwa kabila gani na dini gani...chadema ukizingua hakuna cha uchaga wala ukaskazini tunakung'oa..
Uzuri walijulishwa mapema kwa barua ya kuwa ukiwa karibu na msaliti utanukia usaliti
Tutawashughulikia iwe mchana ama usiku, lazima kila uchafu utoke ndani ya chadema. Wasafi tu ndio tutaiona pepo na kuiishi nchi ya ahadi
ni kweli kabisa maana mwenye chama hataki mijadala mingine ndani ya chama zaidi ya kumtukuza kama unavyofanya na wenzio kina Mtoi et alTutawashughulikia iwe mchana ama usiku, lazima kila uchafu utoke ndani ya chadema. Wasafi tu ndio tutaiona pepo na kuiishi nchi ya ahadi
nashangaa uchizi wa chadema, gamba bibi yako
Tutawashughulikia
iwe mchana ama usiku, lazima kila uchafu utoke ndani ya chadema. Wasafi
tu ndio tutaiona pepo na kuiishi nchi ya ahadi
hakuna msaliti atakayesalia cdm , tumeona mapovu ya omo sembuse hayo yako ?
Uzuri walijulishwa mapema kwa barua ya kuwa ukiwa karibu na msaliti utanukia usaliti