Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Hali ya kisiasa ndani ya Chadema inazidi kuimarika kwa kasi sana kufuatia mapandikizi kuondoka baada ya kutekeleza waliyo agizwa ili kuisambaratisha Chadema.
Wakati huo huo ndani ya CCM hali inazidi kuwa tete kwa wanachama wa kawaida na viongozi wake ambao kimsingi hawaridhishwi na uendeshaji wa chama chenyewe na nchi kwa ujumla wake.
Hali hiyo wakubwa wa CCM wameshaigundua kuwa uchaguzi mkuu mwezi October 2020 utakuwa mgumu kwao kwani hawana ushawishi na uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.
Hali hiyo imepelekea waunde makundi ya mitandaoni kujaribu kuivuruga cdm ambacho ni chama tishio kwa CCM kwa sasa.
Hili wimbi la wabunge kuhama toka cdm kwenda ccm ni mkakati maalum ili kuwalaghai wananchi kuwa cdm haikubaliki.
Lakini CCM wanajua kabisa kuwa wana hali mbaya sana hasa kufuatia ugumu wa maisha ambao tumeushuhudia kwenye miaka mitano.
WanaChadema tembeeni vifua mbele kwa uhakika tunaenda kufanya maajabu kuliko hata wakati wa ukawa maana wana Ukawa wengine walikuwa wanauza siri na mbinu nyingi zetu za ushindi.
Mungu ibariki Chadema.
Peoplessssssss!
In God we Trust