CHADEMA kufanya maajabu uchaguzi wa mwaka huu

Watanzania wengi hawana furaha na mtu asiye na furaha hatabiriki aweza kudhuru au kujidhuru. Ndani ya ccm pia wako wengi wasio na furaha!


Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Nyimbo hizo zishapitwa na wakati sana, waliziimba kina Wasira kipindi bado yupo kwenye wizara na sasa anachunga mbuzi lkn cdm bado ipo tu

In God we Trust

cdm lengo lao sio kushinda uchaguzi bali wanatetea nafasi yao ya chama kikuu cha upinzani ambayo na hio nafasi mlishapoteza sku nyingi, mmeshindwa hata kutatua tatizo la wanachama wenu kuhama hovyo
 
Upinzani wakikubali kuingia kwenye uchaguzi na TUME ya uchaguzi hii kata nyingi zitapita bila kupingwa , majimbo mengi yatapita bila kupingwa na majimbo machache yatakuwa na uchaguzi kama geresha tu, mwisho . SSiku
 
Back
Top Bottom