CHADEMA kufanya maajabu uchaguzi wa mwaka huu

Huo ni mtazamo wako

In God we Trust
Roho safi kabisa, punguzeni stori za mitandaoni au za mitandaoni zihamishieni mitaani, mitaani kiukweli kabisa roho safi watu huwaelezi kitu dhidi ya JPM, chadema ina kazi ya ziada na kama mtakuwa mko bize mitandaoni tu namna hii, msitafute mchawi.
Na sasa hivi focus yenu iwe kwenye wabunge, urais msipoteze sana muda sababu hamna chansi. Hapa nimeongea roho safi kabisa.
 
Watu kama nyinyi hamuwezi kwisha kwenye jamii maana wewe kwako kitu kikubwa ni kushiba tu hata kama ndugu zako wanakufa kwa njaa na maradhi

Ntarudi kesho apa leo Niko busy naiaga covid19,🍻🍻🍻🍾🍾 chadema mnatia huruma lakini jikazeni tuu hivyohivyo mkiacha uchangudoa mtafika mbali Sana japo kwa kuchechemea
 
Mwaka huu wananchi wamewashtukia, mtakula mnakopelekaga mboga

Chama gani mnahubiri chuki za kikanda wazi wazi Asee

Mkipewa nchi itakuwaje?
 
Watu kama nyinyi hamuwezi kwisha kwenye jamii maana wewe kwako kitu kikubwa ni kushiba tu hata kama ndugu zako wanakufa kwa njaa na maradhi

In God we Trust
Mentality kama hizi zako ndio mmejazana huko ufipa, haya endeleeni kujaza server za mitandao ya kijamii badala ya kuwa realistic mitaani! Chadema kiukweli inatakiwa kulaani watu kama nyie ndio mnaoichimbia kaburi, najua utabisha maana huwezi ona hili.
 
The same to you, umekaa hapo umejawa na unafiki kwa kumdanganya mwenyekiti wenu kuwa mnakubalika kwenye jamii wakati ni uongo mtupu.

Endeleeni na uwongo wenu lkn mwisho wa siku mungu hamfichi mnafiki na ndiyo mtamjua Magufuli

Ukiona mtu anawacha ustaarabu anaanza kuwatukana wapinzani wake kwa matusi ya kihuni huni basi jua huyo kafirisika kisiasa
Ntarudi kesho apa leo Niko busy naiaga covid19, chadema mnatia huruma lakini jikazeni tuu hivyohivyo mkiacha uchangudoa mtafika mbali Sana japo kwa kuchechemea

In God we Trust
 
Tupeni mrejesho wa hii kitu.
D354AADA-D6FC-4FE3-838B-1B0235107EC7.jpeg
 
The same to you, umekaa hapo umejawa na unafiki kwa kumdanganya mwenyekiti wenu kuwa mnakubalika kwenye jamii wakati ni uongo mtupu.

Endeleeni na uwongo wenu lkn mwisho wa siku mungu hamfichi mnafiki na ndiyo mtamjua Magufuli

In God we Trust
Kwa taarifa yako mimi ni raia wa kawaida sana, hata mtendaji wa serikali za mtaa mtaani kwangu hatujuani, ni raia ninayejitambua na mwenye critical thinking...
Mimi ni mtu wa mtaani, nachosema ndio kilivyo mtaani, sasa kama wewe una mtaa wa mitandaoni, mmepotea TENA zaidi ya 2015. Safari hii nakuhakikishia hampati wabunge wanaozidi 10. Endelea kubisha ila mitaani ndio kunaongea sio mitandaoni.
 
Hakuna mtu anaye ishi angani, kila mtu anaishi mitaani na ukweli ni kwamba ccm imechokwa na kila rika na kila jjnsia hamkubaliki kabisa

Back
Top Bottom