CHADEMA kufanya maajabu uchaguzi wa mwaka huu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Hali ya kisiasa ndani ya Chadema inazidi kuimarika kwa kasi sana kufuatia mapandikizi kuondoka baada ya kutekeleza waliyo agizwa ili kuisambaratisha Chadema.

Wakati huo huo ndani ya CCM hali inazidi kuwa tete kwa wanachama wa kawaida na viongozi wake ambao kimsingi hawaridhishwi na uendeshaji wa chama chenyewe na nchi kwa ujumla wake.

Hali hiyo wakubwa wa CCM wameshaigundua kuwa uchaguzi mkuu mwezi October 2020 utakuwa mgumu kwao kwani hawana ushawishi na uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.

Hali hiyo imepelekea waunde makundi ya mitandaoni kujaribu kuivuruga cdm ambacho ni chama tishio kwa CCM kwa sasa.

Hili wimbi la wabunge kuhama toka cdm kwenda ccm ni mkakati maalum ili kuwalaghai wananchi kuwa cdm haikubaliki.

Lakini CCM wanajua kabisa kuwa wana hali mbaya sana hasa kufuatia ugumu wa maisha ambao tumeushuhudia kwenye miaka mitano.

WanaChadema tembeeni vifua mbele kwa uhakika tunaenda kufanya maajabu kuliko hata wakati wa ukawa maana wana Ukawa wengine walikuwa wanauza siri na mbinu nyingi zetu za ushindi.

Mungu ibariki Chadema.

Peoplessssssss!

FB_IMG_1589256244101.jpeg
Screenshot_20200101-004513.jpeg
FB_IMG_1487444506352.jpeg

In God we Trust
 
Ukitumia akili za kishabiki utaishia kuamini unavyo taka kuamini lkn ukiwa na mtazamo wa kiweledi utaelewa ukweli
Wimbi la wabunge kuhama CHADEMA na kuhamia CCM ni mkakati maalumu wa kuwahadaa wananchi ili wadhani CHADEMA haikubaliki?

Are you serious? Is this how you guys think? So hao watu watarudi tena chamani siku 2 kabla ya uchaguziAma kweli.

In God we Trust
 
Hali ya kisiasa ndani ya cdm inazidi kuimarika kwa kasi sana kufuatia mapandikizi kuondoka baada ya kutekeleza waliyo agizwa ili kuisambaratisha cdm.

Wakati huo huo ndani ya ccm hali inazidi kuwa tete kwa wanachama wa kawaida na viongozi wake ambao kimsingi hawaridhishwi na uendeshaji wa chama chenyewe na nchi kwa ujumla wake.

Hali hiyo wakubwa wa ccm wamesha igundua kuwa uchaguzi mkuu mwezi October 2020 utakuwa mgumu kwao kwani hawana ushawishi na uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.

Hali hiyo imepelekea waunde makundi ya mitandaoni kujaribu kuivuruga cdm ambacho ni chama tishio kwa ccm kwa sasa.

Hili wimbi la wabunge kuhama toka cdm kwenda ccm ni mkakati maalum ili kuwalaghai wananchi kuwa cdm haikubaliki.

Lkn ccm wanajua kabisa kuwa wana hali mbaya sana hasa kufuatia ugumu wa maisha ambao tumeushuhudia kwenye miaka mitano.

Wana cdm tembeeni vifua mbele kwa uhakika tunaenda kufanya maajabu kuliko hata wakati wa ukawa maana wana ukawa wengine walikuwa wanauza siri na mbinu nyingi zetu za ushindi.

Mungu ibariki cdm.

Peoplessssssss! View attachment 1458738View attachment 1458740View attachment 1458742

In God we Trust
Hofu yangu wakuja wakipewa kiti baada ya uchaguz Kisha warudi makwao sijui itakuwaje-hii sio trick kwa upepo wa sasa,only God knows how deep this real goes🤗🙄🤔😴🤐😱
 
Nimekwambia wabunge kuhama cdm kwenda ccm ni mkakati wa ccm kuidhoofisha cdm machoni mwa wananchi ili ionekane cdm imedhoofika!
If you truly believe kwamba hio hamahama ni mkakati kabambe wa chadema kushinda uchaguzi then you are living in another planet ambako sijafika bado. Mtazamo wa kiweledi indeed...

In God we Trust
 
Kumbuka ccm haina ushwishi kwa wananchi, chama chenye ushwishi kwa sasa ni chadema.

Ccm walidhani ikifika 2020 chadema itakua imekufa, waulize mshangao walio upata jinsi wananchi walivyo wachangia chadema kutoka gerezani hadi mwenyekeiti wao akaona isowe noma naye akajitosa.

Ccm itatumia nguvu nyingi sana mwaka huu kuliko miaka mingine kwa sababu makando kando yao yana nguvu kuliko mazuri.

Chadema kwa sasa imesambaa nchi nzima, na ina uongozi nchi nzima.

Ni chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kujaza nafasi zote za udiwani na ubunge bila kupita hila kupingwa.

Chadema ina faida ya kuwa wananchi wengi wanaona kina onewa, hivyo watampinga anaye mwonea chadema hata kama ana mazuri yake.
Wimbi la wabunge kuhama CHADEMA na kuhamia CCM ni mkakati maalumu wa kuwahadaa wananchi ili wadhani CHADEMA haikubaliki?

Are you serious? Is this how you guys think? So hao watu watarudi tena chamani siku 2 kabla ya uchaguziAma kweli.
 
Nakubaliana 100/100 na mleta mada; CHADEMA imekuwa ianjulikana kama ndiyo chama mbadala wa CCM kwa muda mrefu sana tangu CUF kianze kuyumba na kukosa sapoti kwenye mikoa mingi ya Bara. Mwaka huu CHADEMA itafanya maajabumakubwa sana kwa kuwa chama kikubwa cha siasa kitakachoangukia pua kwa kasi kubwa kuliko iliyowahi kutokea baada ya kubaki bila kuwa na mbunge wa kuchaguliwa. Wanawategemea sana Sugu, Profesa Jay na Mchungaji Msigwa ila hali ni kuwa hawa nao wanapumlia kwenye mashine sasa. Bulaya, Lema, Heche na wengine wote wamashafutika tayari isipokuwa Sugu, Jay, na Msigwa tu.
 
Hongera sana kwa kuonyesha mtazamo wako ila ukweli utabakia pale pale
Nakubaliana 100/100 na mleta mada; CHADEMA imekuwa ianjulikana kama ndiyo chama mbadala wa CCM kwa muda mrefu sana tangu CUF kianze kuyumba na kukosa sapoti kwenye mikoa mingi ya Bara. Mwaka huu CHADEMA itafanya maajabumakubwa sana kwa kuwa chama kikubwa cha siasa kitakachoangukia pua kwa kasi kubwa kuliko iliyowahi kutokea baada ya kubaki bila kuwa na mbunge wa kuchaguliwa. Wanawategemea sana Sugu, Profesa Jay na Mchungaji Msigwa ila hali ni kuwa hawa nao wanapumlia kwenye mashine sasa. Bulaya, Lema, Heche na wengine wote wamashafutika tayari isipokuwa Sugu, Jay, na Msigwa tu.

In God we Trust
 
Nakubalina na wewe mkuu na umeelewa uzi unamaanisha nini
Kumbuka ccm haina ushwishi kwa wananchi, chama chenye ushwishi kwa sasa ni chadema.

Ccm walidhani ikifika 2020 chadema itakua imekufa, waulize mshangao walio upata jinsi wananchi walivyo wachangia chadema kutoka gerezani hadi mwenyekeiti wao akaona isowe noma naye akajitosa.

Ccm itatumia nguvu nyingi sana mwaka huu kuliko miaka mingine kwa sababu makando kando yao yana nguvu kuliko mazuri.

Chadema kwa sasa imesambaa nchi nzima, na ina uongozi nchi nzima.

Ni chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kujaza nafasi zote za udiwani na ubunge bila kupita hila kupingwa.

Chadema ina faida ya kuwa wananchi wengi wanaona kina onewa, hivyo watampinga anaye mwonea chadema hata kama ana mazuri yake.

In God we Trust
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom