CHADEMA kufanya maajabu uchaguzi wa mwaka huu

Ccm kwa sasa kuna makundi kibao na kundi na mtazamo wake na wanachi walio wengi wanaendelea kuteseka.

Kuna wale waliotumbuliwa kisa hawana vyeti wakati wanaona kuna wengine wapo wanapiga kazi hata vyeti hawana.

In God we Trust
 
Hali ya kisiasa ndani ya cdm inazidi kuimarika kwa kasi sana kufuatia mapandikizi kuondoka baada ya kutekeleza waliyo agizwa ili kuisambaratisha cdm.

Wakati huo huo ndani ya ccm hali inazidi kuwa tete kwa wanachama wa kawaida na viongozi wake ambao kimsingi hawaridhishwi na uendeshaji wa chama chenyewe na nchi kwa ujumla wake.

Hali hiyo wakubwa wa ccm wamesha igundua kuwa uchaguzi mkuu mwezi October 2020 utakuwa mgumu kwao kwani hawana ushawishi na uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.

Hali hiyo imepelekea waunde makundi ya mitandaoni kujaribu kuivuruga cdm ambacho ni chama tishio kwa ccm kwa sasa.

Hili wimbi la wabunge kuhama toka cdm kwenda ccm ni mkakati maalum ili kuwalaghai wananchi kuwa cdm haikubaliki.

Lkn ccm wanajua kabisa kuwa wana hali mbaya sana hasa kufuatia ugumu wa maisha ambao tumeushuhudia kwenye miaka mitano.

Wana cdm tembeeni vifua mbele kwa uhakika tunaenda kufanya maajabu kuliko hata wakati wa ukawa maana wana ukawa wengine walikuwa wanauza siri na mbinu nyingi zetu za ushindi.

Mungu ibariki cdm.

Peoplessssssss! View attachment 1458738View attachment 1458740View attachment 1458742

In God we Trust
Dalili ya kuvimbiwa pilau kichwani unawaza mkorogano wa tumbo tu!
 
Hongera sana kwa kuonyesha mtazamo wako ila ukweli utabakia pale pale

In God we Trust
Nakubaliana na wewe 100/100. Siasa za uchaguzi siyo blabla kama CHADEMA wanavyodhani. Ndiyo maana huwa kuna utaratibu wa kumtafuta mgombea mwenye kuweza kushinda; CHADEMA wanadhani kushinda uchaguzi kutaletwa na kuilaumu serikali tu kwamba maisha ni magumu. Hawajuia kuwa kuna raia wengi sana ambao pamoja na kupitia maisha magumu lakini wanakubali kuwa serikali inafanya kazi zake sawasawa. Siku hizi Chadema siyo MBADALA tena bali ni alawama na maandamano tu
 
Mtu kama nape, kinana, makamba, JK mwemyewe, mkapa, mwandosya, membe, etc wote hawa hawana imani na mwemyekiti wao.
Ccm kwa sasa kuna makundi kibao na kundi na mtazamo wake na wanachi walio wengi wanaendelea kuteseka.

Kuna wale waliotumbuliwa kisa hawana vyeti wakati wanaona kuna wengine wapo wanapiga kazi hata vyeti hawana.

In God we Trust
 
Umeharibu hapo kwenye maandamano
Nakubaliana na wewe 100/100. Siasa za uchaguzi siyo blabla kama CHADEMA wanavyodhani. Ndiyo maana huwa kuna utaratibu wa kumtafuta mgombea mwenye kuweza kushinda; CHADEMA wanadhani kushinda uchaguzi kutaletwa na kuilaumu serikali tu kwamba maisha ni magumu. Hawajuia kuwa kuna raia wengi sana ambao pamoja na kupitia maisha magumu lakini wanakubali kuwa serikali inafanya kazi zake sawasawa. Siku hizi Chadema siyo MBADALA tena bali ni alawama na maandamano tu

In God we Trust
 
Huo ndiyo ukweli ambao wana ccm wengi wanajiapiza kutoichagua tena.

Hapo kila kiongozi ana watu wengi ambao watapunguza nguvu za ccm
Mtu kama nape, kinana, makamba, JK mwemyewe, mkapa, mwandosya, membe, etc wote hawa hawana imani na mwemyekiti wao.

In God we Trust
 
Hali ya kisiasa ndani ya Chadema inazidi kuimarika kwa kasi sana kufuatia mapandikizi kuondoka baada ya kutekeleza waliyo agizwa ili kuisambaratisha Chadema.

Wakati huo huo ndani ya CCM hali inazidi kuwa tete kwa wanachama wa kawaida na viongozi wake ambao kimsingi hawaridhishwi na uendeshaji wa chama chenyewe na nchi kwa ujumla wake.

Hali hiyo wakubwa wa CCM wameshaigundua kuwa uchaguzi mkuu mwezi October 2020 utakuwa mgumu kwao kwani hawana ushawishi na uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.

Hali hiyo imepelekea waunde makundi ya mitandaoni kujaribu kuivuruga cdm ambacho ni chama tishio kwa CCM kwa sasa.

Hili wimbi la wabunge kuhama toka cdm kwenda ccm ni mkakati maalum ili kuwalaghai wananchi kuwa cdm haikubaliki.

Lakini CCM wanajua kabisa kuwa wana hali mbaya sana hasa kufuatia ugumu wa maisha ambao tumeushuhudia kwenye miaka mitano.

WanaChadema tembeeni vifua mbele kwa uhakika tunaenda kufanya maajabu kuliko hata wakati wa ukawa maana wana Ukawa wengine walikuwa wanauza siri na mbinu nyingi zetu za ushindi.

Mungu ibariki Chadema.

Peoplessssssss!

View attachment 1458738View attachment 1458740View attachment 1458742

In God we Trust
Hizi ngonjera za mitandaoni zitawafanya nccr wachukue nafasi yenu. Yangu macho.
 
Back
Top Bottom