Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Ninachozungumzia ni changamoto kwa CDM kujiimarisha kisiasa, sijakuelewa unachobisha ni nini? na content ya thread yangu inaongelea CDM na hivyo muamko ninaouongelea unahusiana na CDM ambacho hujaelewa ni nn?Sasa kama hakuna mikakati ya ku-penetrate kama ulivyosema tutegemee miujiza?
yaani unaona sifa watu kutokuijua chadema!!!!!!?????? badala uwahurumie hao ambao hawaijui na ufanye jitihada waijue au wajue vyama vingine vya siasa kwa maendeleo yao wenyewe!!!!!
embu jaribu kulinganisha maeneo waliong'ang'ania ccm miaka yote na ulinganishe na hali ya maishi mfano Pwani, Tanga Dodoma, tabora, ruvuma, mtwara, n.k then anghalia maeneo ya Moshi, Karatu, Mwanza N.K. walilie ndugu zako kwa kutokuijua Chadema na sio jambo la kujivunia hata kidogo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
cdm still uve long way to go................mtafika tu lakini kwakua strategies zenu tunaziona.
Hakuna ubishi kwamba CDM ndio chama kikuu cha upinzani nchini na chama makini na tegemeo la Watanzania na ili ndoto ya tegemeo hili itimie lazima tikiri bado kuna mapungufu ya kimkakati. Pamoja na ukweli huu hatuna budi kuwa wakweli juu ya mambo mbalimbali kama ifuatavyo:
- Kujiimarisha katika mikoa isiyo na mwamko wa kisiasa. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna umuhimu mkubwa wa CDM kujiimarisha kichama katika mikoa isiyo na mwamko. Baadhi ya mikoa hii ni Dodoma,Tanga,Tabora, Lindi, Mtwara na Pwani. Tukiangalia kwa umakini idadi ya kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 utaona kabisa tofauti kubwa sana kati ya CDM na CDM. Mfano mkoa wa Tanga hakuna diwani hata mmoja achilia mbunge toka CDM, kura za Uraisi kwa CDM hazifiki 3,000 dhidi ya zaidi ya 20,000 za CCM kwa jimbo la Lushoto, jimbo la bumbuli ndilo linaongoza kwa mkoa wa Tanga kwa kutoa kura za Uraisi takriban 10,0000 dhidi ya zaidi ya 20,0000 za CCM pamoja na kutokwepo kwa mgombea wa Ubunge wa CDM 2010 na kutofanyika kwa kampeni yoyote. Lakini ieleweke vilevile mkoa wa Tanga ni moja wa mikoa 10 yenye idadi kubwa ya watu Tanzania.
- Kujenga mazingira ya kupata kupata viongozi bora.Mwaka 2013 kutakuwa na uchaguzi wa ndani wa chama kwa ngazi ya majimbo/wilaya, Mkoa na Taifa. Ni dhahiri kwamba uchaguzi huu ndio utatoa taswira halisi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hivyo bila usimamizi makini kwa maana ya uratibu katika mchakato huu CDM itapoteza mwelekeo.
- Kujenga mkakati madhubuti wa kienezi kwenye mikoa isiyo na mwamko. Ni dhahiri kwamba CDM imeweka nguvu nyingi kwenye mikoa yenye muamko mkubwa wa kisiasa na kusahau mikoa yenye muamko mdogo na kwa kuzingatia kwamba gap ya kura dhidi ya CCM katika mikoa hii ni kubwa mno ipo haja ya kupunguza idadi hii kama kweli CDM imedhamiria kukamata dola. Ipo haja wa viongozi wa kitaifa wa CDM kutoa elimu ya uraia katika mikoa hii kwa maana ya ushawishi wao mkubwa kuliko viongozi wa Mikoa,wilaya/Majimbo.
- Bila ya kupunguza gap la kura kati ya CDM na CCM kwenye mikoa isiyo na muamko ya kisiasa kukamata dola itakuwa ni ndoto kwa sababu hata katika maeneo ambayo CDM inaongoza tofauti ya kura ni ndogo na hivyo kuwa recovered kwa urahisi na kura za CCM.
mmh!
Mwamko mdogo wa kisiasa=CDM kukosa kura?
kweli tuna mbumbumbu katika kaifa hili! ila anyway 9% ndio wenye div 1-3.
Kweli Chadema ijitanue katika Mikoa yote na ngazi zote.
mmh!
Mwamko mdogo wa kisiasa=CDM kukosa kura?
kweli tuna mbumbumbu katika kaifa hili! ila anyway 9% ndio wenye div 1-3.
Kujenga mazingira ya kupata kupata viongozi bora.Mwaka 2013 kutakuwa na uchaguzi wa ndani wa chama kwa ngazi ya majimbo/wilaya, Mkoa na Taifa. Ni dhahiri kwamba uchaguzi huu ndio utatoa taswira halisi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hivyo bila usimamizi makini kwa maana ya uratibu katika mchakato huu CDM itapoteza mwelekeo.
hata mgonjwa anapokaribia kufa hujipa matumaini hivyo huvyoBaada ya Hamad Rashid kukinyonyoa manyoya sasa CUF imeibuka na kutangaza kunyakuwa dola 2015.Eti kuondoka kwa baadhi ya wanachama na viongozi ni kuvua gamba ili kivutie zaidi.Nadhani kuingia ikulu ya zanzibar kumewalewesha na kudhani madaraka huchukuliwa kama unavyopakuwa tende!
Source: Tanzania Daima
Baada ya Hamad Rashid kukinyonyoa manyoya sasa CUF imeibuka na kutangaza kunyakuwa dola 2015.Eti kuondoka kwa baadhi ya wanachama na viongozi ni kuvua gamba ili kivutie zaidi.Nadhani kuingia ikulu ya zanzibar kumewalewesha na kudhani madaraka huchukuliwa kama unavyopa
kweli kwa hii staili ya kujipunyua manyoya mtachukua nchi 2015..maana watanzania ni mazezeta sasa