kipanga mlakuku
Member
- Jun 9, 2011
- 92
- 53
Najaribu kujiuliza hivi viongozi wa CDM wana nini? ona wanavyoyumbishwa kushoto na kulia! cheki wanachama wake hawajui wamwamini nani? chukulia mfano rahisi ni miezi kadhaa tu walikuwa wanamwita Zitto Kabwe msaliti lakini sasa hivi wanamwona shujaa kisa kabwatuka bungeni! kulikoni hawa watu ni vilaza nini? tena nimesikia kuna baadhi yao wameanza kufikiria kumsimamisha zitto 2015 kwenye kinyang'anyiro cha urais.
Sasa hawa utasema wamejiandaa kushika dola? mmh! sidhani labda nchi igawanywe kimajimbo tutawapa jimbo la kaskazini kule kwenye ngome yao!
Kweli umejipambanua kama ''kilaza'' na nimependa! Uliwahi lini kusikia chama kikisema Zitto msaliti kama sio mbinu za magamba kukivuruga chama? Na pia lini umesikia kuwa chama kina mpango wa kumuweka agombee urais 2015 kama sio mbinu chafu za magamba? Kwa kifupi hoja yako ni ya kimagamba, misimamo ya mashabiki sio msimamo wa chama.Najaribu kujiuliza hivi viongozi wa CDM wana nini? ona wanavyoyumbishwa kushoto na kulia! cheki wanachama wake hawajui wamwamini nani? chukulia mfano rahisi ni miezi kadhaa tu walikuwa wanamwita Zitto Kabwe msaliti lakini sasa hivi wanamwona shujaa kisa kabwatuka bungeni! kulikoni hawa watu ni vilaza nini? tena nimesikia kuna baadhi yao wameanza kufikiria kumsimamisha zitto 2015 kwenye kinyang'anyiro cha urais.Sasa hawa utasema wamejiandaa kushika dola? mmh! sidhani labda nchi igawanywe kimajimbo tutawapa jimbo la kaskazini kule kwenye ngome yao!
kuna wa kuwatoa nyongo nyie magamba zaidi ya EL? Juzi tu kachangia hoja hotuba ya waziri mkuu chama na serikali vyote vinayumba kila mmoja anaibuka kivyake bila kujipanga! Ina dhihirisha ni jinsi gani EL ni hatari kwenu!Na kule arusha Slaa akapoteza ujiko kwa Lema. nakuambia watatoana nyongo hao, tusubiri tu huo mchakato wa kuisindikiza CCM.
Najaribu kujiuliza hivi viongozi wa CDM wana nini? ona wanavyoyumbishwa kushoto na kulia! cheki wanachama wake hawajui wamwamini nani? chukulia mfano rahisi ni miezi kadhaa tu walikuwa wanamwita Zitto Kabwe msaliti lakini sasa hivi wanamwona shujaa kisa kabwatuka bungeni! kulikoni hawa watu ni vilaza nini? tena nimesikia kuna baadhi yao wameanza kufikiria kumsimamisha zitto 2015 kwenye kinyang'anyiro cha urais.
Sasa hawa utasema wamejiandaa kushika dola? mmh! sidhani labda nchi igawanywe kimajimbo tutawapa jimbo la kaskazini kule kwenye ngome yao!
kumbe ni mfanoooooooooooooooo......tena rahisi...sasa we umeshindwa nini hapo kama ni mfano rahisiNajaribu kujiuliza hivi viongozi wa CDM wana nini? ona wanavyoyumbishwa kushoto na kulia! cheki wanachama wake hawajui wamwamini nani? chukulia mfano rahisi ni miezi kadhaa tu walikuwa wanamwita Zitto Kabwe msaliti lakini sasa hivi wanamwona shujaa kisa kabwatuka bungeni! kulikoni hawa watu ni vilaza nini? tena nimesikia kuna baadhi yao wameanza kufikiria kumsimamisha zitto 2015 kwenye kinyang'anyiro cha urais.
Sasa hawa utasema wamejiandaa kushika dola? mmh! sidhani labda nchi igawanywe kimajimbo tutawapa jimbo la kaskazini kule kwenye ngome yao!
Jingine kukutwa na risasi kwa doctor slaa ambayo bado hatujajua matumizi yake alipokuwa hapo NMC, kupanga maandamano ya mikoa mbalimbali bila kujipanga
Rage alipopanda na bastola jukwaan matumizi yake yalikuwa nini?
kama umeishiwa kaa kimya,usitulee hoja za kipuuzi hapa?Kwa ujumla Cdm wengi ni wanasiasa uchwara na wote wako kwa maslahi binafsi, hakuna mwenye uchungu halisi na nchi hii ni WANAFIKI tu. kama watajaliwa kuchukua nchi hii utaona watakavyo vurugana.