CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

Tanzania bila mashinikizo kama maandamano tusitegemee mabadiliko.Hata serikali kwa sasa inajua imeshikwa pabaya ndo maana wanatumia jeshi lao la kusababisha ghasia kuleta ghasia ili maandamano yaonekane ni hatari na wananchi wayaogope!Mi naamini maandamano yoyote ya uma ni ya amani unless yanaingiliwa na jeshi la kusababisha ghasia kwa kisingizio cha dola.Roma haikujengwa siku moja,tutafika tu even if wanakwamisha.
 
Maandamano ni haki ya msingi ya kila raia. Na muda wa kusema na kupinga uzembe, wizi na ubadhirifu umefika. Wote tusimame imara katika hili
 
kwa staili hiiii serikali ya ccm matumbo joto!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! chadema endeleeni kwa speed hiyo hiyo bila kuregeza kamba
 
Hayo maandamano yafanyieni hukohuko mikoa ya bara, musituletee Ujinga wenu hapa Dar. Dar ni ya Waislamu na Siyo Kanisa.
 
Vyanzo vya habari vinasema kesho mnamo mida ya saa saba.kutafanyika maandamano ya amani ya wafuac wote wa CDM. Yatakayoanzia ofic za CDM stend ya mabus na kufikia uwanja wa furahisha. Wakaz wa mwz join them cause I'M IN.
 
hii nchi bwana hata maandamano ya amani nayo pia yanaitwa batili ss tutaomba maandamano batili ili wayaite ya amani,c wanajifanya kwenda kinyumenyume
 
mapambano hadi mwisho, maisha magumu tunahangaika hatupati nafuu, twende kazi mpaka kieleke......
 
Si nia yangu kubeza maandamano ya CDM kesho hapa Jijini kwetu Mwanza lakini ikumbukwe kwamba tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Octoba,2010 ulokipatia chama hichi ushindi mnono wa Wabunge wa Nyamagana na Ilemela,Washereheshaji kama Machinga na Waendesha bajaji au pikipiki na mama lishe wamekuwa wakibugughiwa na mgambo na polisi!Ambapo CCM wanafurahia hali hii.

Hawa wanaelimu ndogo sana hivo wanahitiji kuelimishwa sana juu ya madhira haya vinginevo hawaoni umuhimu wa kuipa CDM ushindi na kuandamana.Ni ushauri wangu kwetu wana CDM tuelimishe watu wetu waelewe matumizi sahihi ya Jiji na Viunga vyake.Sijui wana CDM mnasemaje?

mod plz post hii its meaningful

source: listening survey from people''s power
 
kwel !!!
unajua wa2 wanavunja sheria wakitegemea cdm itawatetea!! we will stand on justice!!!
 
Si nia yangu kubeza maandamano ya CDM kesho hapa Jijini kwetu Mwanza lakini ikumbukwe kwamba tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Octoba,2010 ulokipatia chama hichi ushindi mnono wa Wabunge wa Nyamagana na Ilemela,Washereheshaji kama Machinga na Waendesha bajaji au pikipiki na mama lishe wamekuwa wakibugughiwa na mgambo na polisi!Ambapo CCM wanafurahia hali hii.

Hawa wanaelimu ndogo sana hivo wanahitiji kuelimishwa sana juu ya madhira haya vinginevo hawaoni umuhimu wa kuipa CDM ushindi na kuandamana.Ni ushauri wangu kwetu wana CDM tuelimishe watu wetu waelewe matumizi sahihi ya Jiji na Viunga vyake.Sijui wana CDM mnasemaje?

mod plz post hii its meaningful

source: listening survey from people''s power
Huna hoja, mimi niko Shinyanga na kesho nitakuwa miongoni mwa waandamanaji, wamachinga hawajaanza kubughudhiwa leo toka enzi hata CDM haijawepo. Kwa taarifa yako kadri serikali inavyowabughudhi wamachinga kwa kutegemea wazo lako eti CDM ichukiwe kinyume chake ndiyo inapaisha CDM ipendwe zaidi na kesho utashuhudia mwenyewe.
 
wanatakiwa kubezi kushauri wananch na sio maandamano ambayo yameshakuwa kelo kwa wananch
 
GreatThinkers;

Kwanza ifahamike kwamba Dr. Slaa huwa hafanyi mambo kwa kubabaisha,Ukweli ni kuwa kibali kipo tayari.

Najua watu wengi wanatamani waruke waje Mwanza ila unaweza kushiriki japo kwa kutoa maoni juu nini kiandikwe ktk mabango kesho.

Sentensi iwe fupi ujumbe uwe wa Kiingereza au Kiswahili. Unaobeba Hisia na machungu ya watanzania.

Kwa wale wanaotoka hapa Mwanza Hitimisho la maandamano itakuwa uwanja wa Furahisha.

Nchi tajiri, Wananeemeka watoto wa akina fulani, Wengine tubaki kuwa vijakazi wao.
:rain:NO WAY!:A S 13:
 
viva mwanza tupo pamoja japo wengine tupo mbali lakini tuendelee kupeana updates kwenye jukwaa letu.
 
Back
Top Bottom