CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

Maandamano yote sasa yamlenge Jk aachie ngazi au.............................aitishe uchaguzi mwingine......................
 
Kuandamana bila kuomba kibali ni kukiuka sheria ya vyama vya siasa ambayo chadema imeridhia, ni bora zaidi kufuata sheria ya kuandamana kuliko kuingia mtaani bila vyombo vingine kujulishwa.
 
MBOWE amesema wanamtambua JK ila hawatambui mchakato uliomuweka madarakani lakini kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi alisema hata tukipiga kelele bado JK ni Rais wetu wote, sasa haya maandamano ni ya kudai JK ajiuzuru au afanye marekebisho ya tume ya uchaguzi?
 
Kuandamana bila kuomba kibali ni kukiuka sheria ya vyama vya siasa ambayo chadema imeridhia, ni bora zaidi kufuata sheria ya kuandamana kuliko kuingia mtaani bila vyombo vingine kujulishwa.

kuna sheria nyingi hazipaswi kutiiiwa!!!
 
Chonde chonde tu wakuu tunaomba na wanasiasa na wabunge wakae mbele na tukipigwa tuwe nao pamoja tu venginevyo siji bora niende zangu baa kupooza koo.
 
Mwambie mwanao aende mwanza kuandamana bila kutii sheria...

Kwakuwa haupo kwenye scene na hakuna mwanao aliyeko huko..unakosa uhalali wa kuwafundisha wengine..

umerudi kutoka kifungoni na crap
 
hizi ni taarifa nzuri sana, lakini mbona viongozi wako kimya tu?
basi si wako humu wakubali au wapinge ,bado siku 2 tu watu wanhitaji maandalizi..lol
 
`pepoples`POWER! NACHO FAHAMU MIMI CHADEMA TUNA HAKI YA INCHI YETU YENYE RASLIMALI NYINGI INACHEZEWA NA WATU WACHACHE SIKUBALI HATA KIDOGO NAAMINI KTK NGUVU YA UMA
 
Kuandamana bila kuomba kibali ni kukiuka sheria ya vyama vya siasa ambayo chadema imeridhia, ni bora zaidi kufuata sheria ya kuandamana kuliko kuingia mtaani bila vyombo vingine kujulishwa.

Wamwombe kibali nani? Mbona CCM wanapoandamana huwa hakuna matatizo yoyote. Hivi nyinyi mmejisahau na mnafikiria Tanzania ni ya kwenu pekee.
 
. Lengo kuu la maandamano hayo ni pamoja na kushinikiza Rais Kikwete ajiuzulu, kupinga mambo mbalimbali kama kupanda kwa gharama za umeme, kupinga ufisadi, kupinga DOWANS kulipwa na kuongezeka kwa gharama za maisha.

Kisha Slaa aapishwe kuwa rais.....kuna watu huwa hawa amki usingizini..get it losers Kikwete is your president for the next five years.
 
Kamuulize Mubarak then rudi hapa ujibu .... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee alikuwa na ujinga ujinga kama huo huo ... ... Five years my f***.
 
Mubarka siyo JK, a democratically elected President..

Misri siyo Tanzania

Siku mkiandamana mkutoa JK, tutakutana kwenye viwanja hivyo tuone nani wako wengi
 
Maandamano ya Misri yalisimamiwa na wanaume na wanawake straight hayo ya mwanza kuna mishoga tupu, usitegemee matokeo yafanane, kukuhakikishia hili CCM and Kikwete will still be in power miaka minne baada ya maandamano ya Mwanza.
 
Jipeni moyo lakini wenzenu tayari wamekimbilia c h o o n i.
 
Back
Top Bottom