CHADEMA kimekuwa Chama kikubwa mpaka kimepitiliza

CHADEMA kimekuwa Chama kikubwa mpaka kimepitiliza

Sasa Kamanda "tukishakomboa" nchi mawaziri na viongozi wengine wa serikali yetu tutawatoa wapi? Maana sisi makamanda wengi wetu hatuna sifa za kuwa viongozi hasa kutokana na level za elimu zetu.

...hebu tujadiliane kamanda...

Ndo maana tunasema, kuwa waziri si lazima uwe Mbunge. Katiba ya warioba inasema wazi mbona? ila sababu ya kutosikia wa wananchi, mnakaba
 
Great words...viva chadema Heshima kwako Dr Slaa!!!!
 
Sasa Kamanda "tukishakomboa" nchi mawaziri na viongozi wengine wa serikali yetu tutawatoa wapi? Maana sisi makamanda wengi wetu hatuna sifa za kuwa viongozi hasa kutokana na level za elimu zetu.

...hebu tujadiliane kamanda...

Mkuu ktk wafuasi tulionao humu jf ukiwaambia wakupangie safu ya mawaziri na naibu waziri utaambulia matusi tu maana hakuna cha maana sana sana mpaka wenye record za wizi wa kutumia silaha watakuwemo mpka wakufoka foka.
 
Huo ndo ukweli. Chadema unajikuta umekuwa mwanachama wa hisia tu hata bila kadi ya chama.Chadema ni chama imara sana kwa sasa.
 
cdm wa nafki sana . na tetea hoja yangu kuna kipindi mlikuwa mnawatukana sana cuf kwa kuwaita wameolewa na ccm na hisitoshe mkasema sio wapinzani wa ukweli ni vibaraka wa ccm . leo hii m'mewameza cuf . nyote m'mefunga midomo . je ! na ccm wasemeje
 
Jamani tuisaidie nchi yetu inaharibiwa kwa kasi ya ajabu. Utu wa mwanadamu/Mtanzania sasa hauthaminiwi, wizi unahalalishwa na watawala wetu, Sheria haichukui tena mkondo wake, haki inapindishwa, wageni ni watu wa daraja la kwanza huku watanzania wakipuunzwa na viongozi wao

Tuchukue hatua kubadilisha watawala hawa na chama hiki hata kama ni kwa majaribio
 
Mkuu maneno Kuntu!!! Binafsi nilikuwa siamini, na wakati mwingine nilitaka kujiaminisha kama Tomaso! Kwa muda wa wiki chache nilizo safari sehemu mbali mbali za Tanzania! Nimekutana na Muamko uliopitiliza!!! CHADEMA inakubalika hadi maeneo ambayo mtandao wa mawasiliano ni shida kupatikana.. Wote wanasema kuwa kama si Vyombo vya Usalama ... CCM inaweza kupata aibu ya mwaka.
 
Kwa kuitaja KYELA ndani ya uzi wako nimeamini kwa 100% kwamba utafiti wako ni sahihi .
 
cdm wa nafki sana . na tetea hoja yangu kuna kipindi mlikuwa mnawatukana sana cuf kwa kuwaita wameolewa na ccm na hisitoshe mkasema sio wapinzani wa ukweli ni vibaraka wa ccm . leo hii m'mewameza cuf . nyote m'mefunga midomo . je ! na ccm wasemeje
UKAWA UMELETWA NA MUNGU ILI KUKUKOMBOA WEWE , hatuangalii yale ya zamani .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom