Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Kamanda "tukishakomboa" Nchi, Viongozi waandamizi mtukuwa nyie? Maana upeo wenu "unatutishia" kidogo!
Ukikuta mwanaume anaongea hivi nishida sana katika jamii
Kamanda "tukishakomboa" Nchi, Viongozi waandamizi mtukuwa nyie? Maana upeo wenu "unatutishia" kidogo!
Jamani tuisaidie nchi yetu inaharibiwa kwa kasi ya ajabu. Utu wa mwanadamu/Mtanzania sasa hauthaminiwi, wizi unahalalishwa na watawala wetu, Sheria haichukui tena mkondo wake, haki inapindishwa, wageni ni watu wa daraja la kwanza huku watanzania wakipuunzwa na viongozi wao
Tuchukue hatua kubadilisha watawala hawa na chama hiki hata kama ni kwa majaribio
Kuna watu wengi serikalini wako CHADEMA na wanatoa sapoti chini kwa chini...we omba uzima tu...hivi unafikiri hiki chama kipo hivi kilipo kwa juhudi ni nafsi za Mbowe na Slaa ?!Watch out...binafsi ninawafahamu vigogo wa taasisi nyeti mno takribani 20,wana sapoti cdm kwa hali na Mali...wametoa magari,na fedha kuhakikisha chama kina imarika hasa... maeneo wanayotoka
Hakuna cha siri mkuu ukweli ndiyo huo.
Poa mkuu...haina...kwere..binafsi nipo unpaid leave..ku accomplish mchakato wa kuwatoa ccm mwaka huu...labda kama naota sawa kwa ninachokutana nacho....so far tulichelewa hii system ya kimyakimya..but matokeo ya srikali za mitaa yameonyesha.
Hongereni sana wana kyela nilikuja na sugu mwezi uliopita,ni makamanda wabishi wa maisha tangu long time.Juzi nilikuwa mafinga,sadani,lugoda,mapogoro,kibada,igombavanu,ifwag nk maeneo ambayo maishani mwangu sikutegemea mabadiliko kutokea nikiwa hai.WANANCHI WAMEAMKA WANATAKA UCHAGUZI HATA UWE KESHO WAITOE CCM MADARAKANI.Nyela inguluvi yivakwamilage Nye vayangu nyenye.
Hivi uache nchi mikononi mwa magamba hadi 2025 utakuta kitu ? Unataka hadi wauze bahari ya hindi ? Tutaing'oa ccm octoba mwaka huu bila huruma .Lakini mwaka huu msahau tuombe mungu 2025 mnaweza kuchukua
Hivi uache nchi mikononi mwa magamba hadi 2025 utakuta kitu ? Unataka hadi wauze bahari ya hindi ? Tutaing'oa ccm octoba mwaka huu bila huruma .
Hakuna kulala mpaka kieleweke!!!
Sijaelewa unamaanisha nini?
Jilazimishe uelewe. Hakuna Kulala Kamanda!
Na Mustafa Sabodo ni mmakonde? Au ndiyo ile baniani mbaya kiatu chake kizuri.unalolisema ni kweli kabisa mkuu.. hata kwa wafanyabiashara waliobaki kukisaidia chama cha majambazi ni wale wenye asili ya kihindi pekee
Na Mustafa Sabodo ni mmakonde? Au ndiyo ile baniani mbaya kiatu chake kizuri.
Sijawahi kukutana na hoja dhaifu kama hii !Mkuu hao unaowa support ni hivyo kuliko hawa waliko madarakani amini nakuambia usifuate kauri zao, hujiulizi kwanini chama kikubwa kama hicho hakinunui jengo na kuwa makao makuu wakati uwezo wanao na kuendelea kupanga?
Nitakupa jibu siku moja baada ya october
Sijawahi kukutana na hoja dhaifu kama hii !
Aiseee wokovu umekukolea na angalia shetani asikurudishe nyuma
CCM ni wepesi kuliko pamba .
Dhambi mbaya kuliko zote ni uoga Kamanda, Lazima nchi "ikombolewe!"
Mkuu hao unaowa support ni hivyo kuliko hawa waliko madarakani amini nakuambia usifuate kauri zao, hujiulizi kwanini chama kikubwa kama hicho hakinunui jengo na kuwa makao makuu wakati uwezo wanao na kuendelea kupanga?
Nitakupa jibu siku moja baada ya october
Kwani CHADEMA ni kanisa? Mambo ya wokovu yanatoka wapi hapa?