Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 756
- 696
Kwa kuitaja KYELA ndani ya uzi wako nimeamini kwa 100% kwamba utafiti wako ni sahihi .
Hongereni sana wana kyela nilikuja na sugu mwezi uliopita,ni makamanda wabishi wa maisha tangu long time.Juzi nilikuwa mafinga,sadani,lugoda,mapogoro,kibada,igombavanu,ifwag nk maeneo ambayo maishani mwangu sikutegemea mabadiliko kutokea nikiwa hai.WANANCHI WAMEAMKA WANATAKA UCHAGUZI HATA UWE KESHO WAITOE CCM MADARAKANI.Nyela inguluvi yivakwamilage Nye vayangu nyenye.