Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Apr 1, 2011 #21 Smartboy said: sio utani hii nimeiskia kweli Click to expand... Kwani wengine habari za foolsday hupata kwa kunusa?
Smartboy said: sio utani hii nimeiskia kweli Click to expand... Kwani wengine habari za foolsday hupata kwa kunusa?
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Apr 1, 2011 #22 Smartboy said: Hivi hata magazeti yanadanganya siku ya wajinga Click to expand... why not?
AMARIDONG JF-Expert Member Joined Jun 24, 2010 Posts 2,501 Reaction score 189 Apr 1, 2011 #23 ni kweli kabisa wala sio UTANI AU UJINGA CHADEMA KIMEFUTWA KWENYE MUUNGANO WA VYAMA HAWARA NA WAKE WA CCM,NA KIMABAKIA KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI
ni kweli kabisa wala sio UTANI AU UJINGA CHADEMA KIMEFUTWA KWENYE MUUNGANO WA VYAMA HAWARA NA WAKE WA CCM,NA KIMABAKIA KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI
LWAKAPISI Member Joined Mar 31, 2011 Posts 46 Reaction score 4 Apr 1, 2011 #24 kimefutwa kweli lakini saa6 mchana wa leo kitasajiriwa tena
Mikael Aweda JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 3,129 Reaction score 4,285 Apr 1, 2011 #25 Pamoja na kufurahisha wakati mwingine, Siku ya wajinga nayo ina athari ya kutupotezea muda.