CHADEMA kimefutwa rasmi

Smartboy

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,110
128
Nimeshitushwa na habari kwamba chadema kimefutwa rasmi, naomba wenye taarifa zaidi atupe hapa.
Source Gazeti la kasi mpya la leo
 
Mods nawaomba muhamishie hii thread katika jukwaa la Utani/gossips,kwa kuwa ni habari ya fool day
 
April fools' day ni kwa ajili ya wajinga. Ukijiona unadanyika kirahisi tu na waandishi wa magazeti walio wajinga, usije kupost hapa jamvini ujinga.
 
Jf watu sio wajinga kila mmoja ana akili timamu,chadema hakija futwa wala hakifutwi kwasababu zanzibar kutakuwa na by election katika wadi ya mwanyanya shehia ya sharif msa tarehe 17 april 2011,kampeni zitaanza tarehe 4 hadi 16 april na vyama vitavyoshriki ni cuf,ccm na chadema.kama kimefutwa mbona kinashriki ktk uchaguzi mdogo?hapa hapana wajinga wana jf tunataka serious issue.
 
Leo Aprili mosi ni siku ya Wajinga!
Nami nasikitika kukuambia kutokana na Taarifa mbalimbali Rais aliitisha kikao na Msajili wa Vyama vingi na bwana John Tendwa walikubaliana kukifuta rasmi hicho Chama ambacho kimemtesa sana Kikwete na CCM na yeye mwenyewe.
 
When you try to fool someone and s/he doesnt get fooled you become a fool yourself!

Thread hii ipo jukwaa hili kimakosa
 
Hata kama hajafa mbona hataki kuelewa kuwa leo ni cku ya wajinga? gazeti hilo tu ndo wamepata taarifa hzo?
 
Jf watu sio wajinga kila mmoja ana akili timamu,chadema hakija futwa wala hakifutwi kwasababu zanzibar kutakuwa na by election katika wadi ya mwanyanya shehia ya sharif msa tarehe 17 april 2011,kampeni zitaanza tarehe 4 hadi 16 april na vyama vitavyoshriki ni cuf,ccm na chadema.kama kimefutwa mbona kinashriki ktk uchaguzi mdogo?hapa hapana wajinga wana jf tunataka serious issue.
Hv nawe haujui leo ni 1/04/2011? Ni cku yenyewe kw wale wasio na kumbukumbu kama wewe.
 
Hv nawe haujui leo ni 1/04/2011? Ni cku yenyewe kw wale wasio na kumbukumbu kama wewe.

nadhani hukunifahamu umefika kidato cha ngapi wewe?wana jf sio wajing kama wewe unaeitii siku ya leo ya wajinga.tunataka serious issu ok!baby!
 
DSC_8991.JPG
 
Nimeshitushwa na habari kwamba chadema kimefutwa rasmi, naomba wenye taarifa zaidi atupe hapa.
Source Gazeti la kasi mpya la leo

Enheee kweli kabisaaaa........ kimefutwa machozi baada ya kushinda kesi ya Arusha. Umeruka neno machozi.
 
Back
Top Bottom