Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Hivi nyinyi waha kwaninj mnaichukia sana habari upinzani wa kweli?Ala......wewe kada hujui chama chako kinafuata mrengo upi?
Hivi nyinyi waha kwaninj mnaichukia sana habari upinzani wa kweli?Ala......wewe kada hujui chama chako kinafuata mrengo upi?
Hiyo ilikuwa serikali ya Mkwele, hii ni ya hapa kazi tu, wait utaona mziki wakeBaada ya kumtangaza hapo ni hatua gani ccm mlimchukulia huyo fisadi?ebu tuanzie hapo kwanza
Yule ni mungu wenu ndio maana mnamuogopayule wa monduli?
Hivi ninyi huwa mnamhubiri Mungu yupi anayependa fujo?Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
Kafisadi nini katika familia yenu,umasikini wako usisababishe uchukie watu wengineMlianza na Mungu kweli, lakini mnamalizia na fisadi Lowasa! Kama wizi ni tabia za shetani, basi malizia wewe!
Kwani kuna Mungu wangapi au nyi mmezoea Miungu yenu mnayoiabudu?Hivi ninyi huwa mnamhubiri Mungu yupi anayependa fujo?
Inaonekana hata hicho chama hukielewi. Wewe umekalia kumsifia Mashinji na kukimbiza uzi ili upate posho. Soma vizuri historia na mrengo wa hicho chama kwanza.Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Kipimo cha umasikini ni kipi? Umasikini ni mtu kuwa na fikra mgando kama zako, hapa tunajadili mambo ya nchi siyo mambo ya familia moja moja!Kafisadi nini katika familia yenu,umasikini wako usisababishe uchukie watu wengine
Kwani nimekuambia itanisaidia kitu. Wewe kimbiza tu huu uzi wa Mashinji. Anakuona na atakuongezea mchicha atakaporudi.Haitakusaidia kitu chochote kile wewe
Kwa uelewa wako mana unasema fisadi ila hujui alifisadi nini kwa vile wewe ni kibwengo unafatisha ya vichaa wenzio..tafuteni hela muache kujadili msiyoyafahamuKipimo cha umasikini ni kipi? Umasikini ni mtu kuwa na fikra mgando kama zako, hapa tunajadili mambo ya nchi siyo mambo ya familia moja moja!
Kila siku mnaanza na Mungu.Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu