Nasikia siku moja baba Jesca alitembelea UK. Muda huo alikuwa bado hajawa mkuu wa kaya. Akiwa yuko sebuleni kwenye hoteli aliyofikia akaona changudoa mmoja mzungu akitoka reception kuelekea lango la kuu la kuingilia. Mshua (baba Jesca) akaona ni bora atupe karata yake. Alianza kwa kumuuliza "Halow madam what are you going?" Dah! yule changudoa alishindwa kuelewa alichoulizwa akalazimika kushangaa ili jamaa arudie swali, "what?" baba Jesca akarudia kutoa maelezo "I ask you, what are you going?" Yule changudoa mzungu akaona michosho hivyo akaamua kumpotezea mshikaji.