mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Kwani ukishare hiyo link kuna ubaya gani?Kwani mwandiga primary school hawakukufundisha kkk?
Kwani ukishare hiyo link kuna ubaya gani?Kwani mwandiga primary school hawakukufundisha kkk?
Jibu swali usihamishe magoli......Kwa sababu aliwafukuza ndani ya chama ndio maana unamjengea majungu
Siasa za mageuzi haziruhusu fikra za kihafidhina kwa mtu mmoja kuwa mwenyekiti wa kudumu.Huu uzi ni kwa wapenda siasa za mageuzi
vyama rakiki vya kifisadi na kidktetaKwa mtazamo wako cdm kuwa na chama rafiki nje ya nchi ni dhambi?mbona ccm wana vyama rafiki nje ya nchi?
Nitajie rafiki yako nami nitakuambia tabia yako. Hii dhana ya vyama rafiki katika nchi hii inafikirisha na inaonesha haiba ya chama kwa kuangalia aina ya "marafiki" wa vyama kuanzia CCM, Chadema, n.k. Naomba niishie hapo.
UkutaAtazungumza masuala gani?
mungu yupi?Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
Nisaidie kujua mrengo upi unafuatwa na CDM?
Kwi kwi kwi kwi kwi madikteta huwajui?vyama rakiki vya kifisadi na kidkteta