CHADEMA kimataifa zaidi

CHADEMA kimataifa zaidi

Watu wanashangalia matumizi mabaya ya ruzuku eeeh!! Hamna ata aibu
Nyie hiyo ruzuku mmeifanyia nini hadi wafanyakazi wenu mnashindwa kuwalipa kwa miezi sita hadi wana kuwa hoi bin taaban?
 
Watu na kumwaga MAYAI tu kimataifa tega sikio Baba unaweza pata Neno
 
Wakitua tu airport watakamtwa kwa kufanya mikutano ya kisiasa hata kama ni nje ya nchi!!
 
Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Hicho chama kiumaarufu huko kwao ni afadhari hata CHAUMA hapa bongo. Yaani ukipeleka chaima huko, bado hiki kitakuwa chini ya chauma!
 
Hicho chama kiumaarufu huko kwao ni afadhari hata CHAUMA hapa bongo. Yaani ukipeleka chaima huko, bado hiki kitakuwa chini ya chauma!
Halafu ni vinara wa ubaguzi wa rangi. Hawawapendi maforeigner hata kidogo. Yaani huyo Mashinji na ule uweusi wake sijui wanamuonaje.
 
Back
Top Bottom