Maandishi yako ya mungu ama Mungu. Kama ni mungu basi kunashida hapo.Chadema ni zawadi ya mungu kwa watanzania wote hivyo tuienzi na kuitunza kama yai
Maandishi yako ya mungu ama Mungu. Kama ni mungu basi kunashida hapo.Chadema ni zawadi ya mungu kwa watanzania wote hivyo tuienzi na kuitunza kama yai
Ebu kanywe kikombe cha maji kwanza utulize rohoMaandishi yako ya mungu ama Mungu. Kama ni mungu basi kunashida hapo.
Mbona Wabongo hao wote. Ndo Denmark?
Na kama kweli ndo maana wananchi walitukataa. Watu hawataki kujenga kwao kila siku nje?
Ndio maana wamemkumbatia Lowasa.Maandishi yako ya mungu ama Mungu. Kama ni mungu basi kunashida hapo.
Mwenzako anaona hao ni wadenish. Na hapo ni Denmark.Mbona Wabongo hao wote. Ndo Denmark?
Na kama kweli ndo maana wananchi walitukataa. Watu hawataki kujenga kwao kila siku nje?
Mungu ibariki chadema .Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Karibu vyama vyote vya siasa vina vyama rafiki. CCM ina vyama rafiki vingi tu. Na kwa miaka 54 ya utawala wake imehutubia mikutano mingi sana ya aina hiyo. Hivyo kwa CCM hiyo siyo habari.Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Ni habari ndio maana umevutiwa nayo na kuichangiaKaribu vyama vyote vya siasa vina vyama rafiki. CCM ina vyama rafiki vingi tu. Na kwa miaka 54 ya utawala wake imehutubia mikutano mingi sana ya aina hiyo. Hivyo kwa CCM hiyo siyo habari.
Ameanza kuhutubia?Huu uzi umewafukuza lumumba fc wote
Ameenda kwa kutumia ndege kubwa kama hiziKatibu hewa kwenda kuhutubia nje mmeshakuwa wa kimataifa....
Unaulizwa ameanza kuhutubia wewe unapayuka eti oh huyo siyo zzk. Uko timamu kweli?Huyo ni katibu mkuu wa cdm Dr Mashinji siyo zzk
Mungu wala haangalii hizo herufi za maandishi yenu , anaangalia matendo yenu .Maandishi yako ya mungu ama Mungu. Kama ni mungu basi kunashida hapo.
kuna mtu anamwogopa mungu wake?Yule ni mungu wenu ndio maana mnamuogopa