CHADEMA kimataifa zaidi

CHADEMA kimataifa zaidi

Atajuaje wkt yy kama robot command yake ni kumtukana zitto tu mengine hayajui nadhan hata hii habar kacopy ....kidding!!
Zidumu fikra sahii za kiongozi mkuu na nuru ya ACT
 
Lowasa wakati yupo ccm hakuwa fisadi lkn baada ya kuhama tu ndio akawa fisadi?
Rafiki umepoteza kumbukumbu au makusudi?!
Wakati chadema wanatangaza list of shame Mwembeyanga Lowasa alikuwa chama gani? Tena alipewa no 11 na hawa hawa ombao leo wanamwosha miguu!
 
Rafiki umepoteza kumbukumbu au makusudi?!
Wakati chadema wanatangaza list of shame Mwembeyanga Lowasa alikuwa chama gani? Tena alipewa no 11 na hawa hawa ombao leo wanamwosha miguu!
Baada ya kumtangaza hapo ni hatua gani ccm mlimchukulia huyo fisadi?ebu tuanzie hapo kwanza
 
Ndio njia mpya imebuniwa ya kula ruzuku ya chama bila wale wanyama maarufu kuhoji chochote!!!
 
Wewe hayakuhusu shughulikia kwanza ujio wa lipumba
Mie ACT lipumba anihusu......nilichogundua CDM wamekasirika kweli Lipumba kurudia kiti cha enzi.....

Katika kukikalia wanapishana kidogo na Mh Mbowe.
 
Back
Top Bottom