mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Ukinijibu swali langu ntajua urafiki wa CDM na hao kina Hitler ni wa vipi.? So nisaidie kujua mrengo....sio swali gumuHata kusoma na kuelewa kilicho andikwa unashindwa?
Ukinijibu swali langu ntajua urafiki wa CDM na hao kina Hitler ni wa vipi.? So nisaidie kujua mrengo....sio swali gumuHata kusoma na kuelewa kilicho andikwa unashindwa?
Mlianza na Mungu kweli, lakini mnamalizia na fisadi Lowasa! Kama wizi ni tabia za shetani, basi malizia wewe!Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
jamaa wa huku wanaweza sema hanakibali cha mikutano ndaniLeo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Kama huoni basi una tatizoNikuulize wewe chama cha kikomunist cha china kinawasaidiaje nyinyi ccm kwenye kuitawala nchi ya tanzania?
Nitajie rafiki yako nami nitakuambia tabia yako. Hii dhana ya vyama rafiki katika nchi hii inafikirisha na inaonesha haiba ya chama kwa kuangalia aina ya "marafiki" wa vyama kuanzia CCM, Chadema, n.k. Naomba niishie hapo.
Kuna haja gani ya kwenda kwa jaji? Wakati wewe ni kada mtiifu unaweza kunipatia majawabu pasi na shaka?Sema nikupe mawasiliano ya mutungi atakusaidia kujibu swali lako
Tupe tips basi ya kile anachotaraji kukiwasilisha mtaalamu wa siasa Dr Mashinji.Wewe huna hoja nakushauri uendelee kubadilishana mawazo na Lipumba
Tupe link basi tufuatilie moja kwa moja hotuba ya katibu wa mioyo yetu.Siijui
Demokrasia na maendeleo ni chama chenu.....nipe tips za demokrasia na maendeleo katika muktadha upi.....Kama huoni kilicho andikwa basi sema tukusaidie nukta nundu
Mbowe ana tofauti gani na Kabila, Museveni na Kagame kwenye suala la kukalia kiti kwa muda mrefu?Mkuu upo vizuri sana kwa kumbukumbu
Tulianza na mungu tunaendelea na mungu na tutamaliza na munguCdm nizawadi kwa wale ma mbumbu wasiojitambua
Ukishakua mbumbu huezi mjua mungu