CHADEMA kanusheni yanayosemwa kwenye Video hii....

CHADEMA kanusheni yanayosemwa kwenye Video hii....

Huu uchafu hauna nafasi katika siasa za Tanzania

Kama ndio basi hata clip za ccm zipo nyingi wakijadili ukiukwaji wa haki za binadamu

Chadema pia wanaweza wakamchukua kichaa akazungumzia siri feki wakaisambaza kama hivi.

Ukiona haya yanatokea tambua kuwa CCM ipo njia panda na siasa za ushindani.
 
Sio kila kitu kinakanushwa,ndo maana jk hajakanusha kuwahonga wachina mali zetu ilikumwokoa mwanae asinyongwe.
 
Hakuna jipya analosema. Alipoamua kujiunga na watekaji, watesaji na wapigaji watu, uongozi wa Mkoa wa Mbeya ulijibu hayo madai yake ambayo alielekezwa ayazungumze jukwaani.

Mapambano haya ya kuwang'oa majahili wa siasa ni sawa na safari ndefu ya treni kutoka Dar hadi Mwanza wanapanda abiria wa kila namna wengine shida yao si kufika mwisho wa safari, wanashukia Kilosa au Mdaula...treni inasonga mbele na abiria wanaofika mwisho wenye malengo ya dhati na safari yao.

Kama ni suala la video hiyo ni outdated. Mnapaswa kujibu video nyingi mno zingine zikihusisha namna CCM kilivyogeuka chama cha kujeruhi, kupiga, kuteka na kutesa watu...

Waliyofanya Kalenga mbele ya viongozi wakubwa wa CCM na mbunge yanatosha kabisa kuthibitisha vifo vya Daudi Mwangosi, Ally Zona, Mbwana Masoud, Msafiri Mbwambo na wengine.
 

Attachments

  • 1397106240955.jpg
    1397106240955.jpg
    42.6 KB · Views: 163
Miaka 50 hiyo ndiyo nyumba ya mwalimu jimboni kwa Rais Kikwete...hayo ndiyo majibu ambayo Watanzania wanataka kujua.
 

Attachments

  • 1397106454276.jpg
    1397106454276.jpg
    203.1 KB · Views: 145
Haya mijitu ya ccm n misukule naviongozi wao ni mizezeta nahao wanahamia huko ni wachumia tumbo hawana lolote.mtu mwenye akili yake hawezi kuleta maigizo km hayo,inithikitisha sna km hao ndxo wanaongoza serikali afu wanakuwa wapuz namna hyo,wanafikiri cc watz ni walewale wa enzi ya mwalimu poleni sna.
 
Daa huyu jamaa alichemka sana alijua atapiga hela wakampa nusu juz juz tu ulikuwa ugovi anadai amaliziwe chake


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Mtu anaye hama CHADEMA kuhamia CCM usitegemea kuwa ataisema vizuri CHADEMA ni lazima aiseme vibaya ili apigiwe makofi na CCM.
 
Daa huyu jamaa alichemka sana alijua atapiga hela wakampa nusu juz juz tu ulikuwa ugovi anadai amaliziwe chake


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Hahahaa kumbe eee atalijua jiji sasa.
 
Haya mijitu ya ccm n misukule naviongozi wao ni mizezeta nahao wanahamia huko ni wachumia tumbo hawana lolote.mtu mwenye akili yake hawezi kuleta maigizo km hayo,inithikitisha sna km hao ndxo wanaongoza serikali afu wanakuwa wapuz namna hyo,wanafikiri cc watz ni walewale wa enzi ya mwalimu poleni sna.
 
Miaka 50 hiyo ndiyo nyumba ya mwalimu jimboni kwa Rais Kikwete...hayo ndiyo majibu ambayo Watanzania wanataka kujua.

Eti raisi aliyeleta maendeleo makubwa kwa taifa lake. mama... Wanatutukana!
 
bado kuna watu wanaomboleza kifo cha chadema, wengine tulishasahau kabisa,tumesubiri siku ya kumbukumbu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom