CHADEMA kanusheni yanayosemwa kwenye Video hii....

CHADEMA kanusheni yanayosemwa kwenye Video hii....

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
 
Last edited by a moderator:
Uliwahi kuona mtu anakanusha kuwa mimi hapa unaeniona sio mimi,labda uwe jini.

Lakini kwa akili za Kobe za hawa wanasaccos ukiongeza na gongo watajikanusha kuwa hiyo video hawaitambui.

Akili ndivyo zilivyo na Watanzania wameshawajua.
 
Simu za mchina hizi,fafanueni.

Mkuu kunatuhuma ambazo kiongozi mmoja wa chadema aliyehamia CCM anazimwaga kwenye mkutano wa hadhara...ni vyema uzisikie mwenyewe tukiandika watasema tumetunga.
 
Mkuu kunatuhuma ambazo kiongozi mmoja wa chadema aliyehamia CCM anazimwaga kwenye mkutano wa hadhara...ni vyema uzisikie mwenyewe tukiandika watasema tumetunga.

wanafiki nyie...
 
hamna ishu hapa,sanaa tupu,inahusika jukwaa la sanaa na wasanii/lumumba
 
Mkuu kunatuhuma ambazo kiongozi mmoja wa chadema aliyehamia CCM anazimwaga kwenye mkutano wa hadhara...ni vyema uzisikie mwenyewe tukiandika watasema tumetunga.
Kama hutojali, andika alichokisema kwa faida ya wanotumia simu zisizofungua youtube.
 
Bange ya malawi ni mbaya sana, hivi huyu jamaa anayezungumza mbona yupo kama chizi, jamani njaa mbaya sana, kweli huyu ni kichaa
 
Asiye mkamilifu tu kichwani mwake ndio anaweza badilishwa mtazamo na mawazo ya huyo mchumia tumbo hapo jukwaani, hukuna chochote alichoongea maana macho yetu yanaona na masikio yanasikia pia kwan nani asiyewajua ccm mmemnunia shivji ikawa katibu tena chunya hukoo mbona kawaida sana
 
Video za uchochoroni mnatuletea hapa Jamvini, mnalishusha Jamvi thamani!

Mods tafadhali ondoa hii,.
 
Video za uchochoroni mnatuletea hapa Jamvini, mnalishusha Jamvi thamani!

Mods tafadhali ondoa hii,.

Basi ngoja tuweke hii ambayo siyo ya uchochoroni
 
Last edited by a moderator:
Basi ngoja tuweke hii ambayo siyo ya uchochoroni

hizo siasa za kishamba hazitakufikisha popote ! Muulize ludo , kila mtu anamuona kama kinyesi .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom