Wana JF napenda kutoa angalizo kwa CDM kuwa makini na hawa jamaa wawili kwa hawa wanakazi muhimu kwao ya kuibomoa CDM kwani ni maagenti wa usalama wa taifa.
Huyu Mbatia kwa wale tuliokuwa naye pale chuo kukuu mwaka wa 1990 mtakumbuka mambo aliyotufanyia tulipoanzisha ule mgomo. Mwenzetu tulikuwa tunapanga na yeye kwenye mkutano wetu kumbe usiku wake anapelekeka taarifa ya kile tunachopanga tunawahiwa na tulimgundua na kutenga.
Mtakumbumbuka pia alisababisha Rais wa Campas ya muhimbili ndugu Kimaro kufukuzwa chuo na hakurudi tena baada ya kugundua kuwa msaliti alikuwa katikati yetu. Huyu jammaa anajifanya mpinzani hamna lolote ni sawa na Zitto nionavyomienendo yake.
Kama hamuamini subiri sikuzinakuja mtagundua hayo nisemayo.
Hawa jamaa hupandikizwa kwa staili ya hali ya juu sana kiasi cha nyie kutotambua cha msingi ni kuwa makini na hawa jamaa wasije wakachelewesha ukombozi wa Watanzania.
Napata shida kidogo kama kweli una elimu ya chuo kikuu halafu unakosa upeo wa kuelewa kwamba idara za ujasusi dunia mzima lazima ziwe na informers wao, basi hiyo elimu yako ina walakini, elewa kwamba kwamba idara ya ujasusi inakuwa na waajiliwa wake na mwakala wake wake ambao wanalipwa pesa kwa kazi maalum na muda maalum, huu unakuwa ni mkataba wa muda. Zitto kuwa na ukaribu na Deputy Director wa usalama wa Taifa ni lazima kuna some information anazipata kutoka kwa Zitto, na ni taarifa hizo hizo za kiitelijensia ndio wamemdanganya ****** kwamba CHADEMA sasa wanapanga kumpinduwa.
Ukitaka kujuwa vizuri kazi za mainformer angalia Israel huwa inapewa na nani taarifa za Magaidi wa kiparestina? Angalia movie moja inaitwa Delta Force one ndio utajifunza vizuri kuhusu hawa mainformer, ila tofauti ya mainformer wa kwetu ni kwamba njaa zimewazidi ndio maana wanatambulika kirahisi, lakini kwa kawaida ni ngumu sana kumjuwa informer.
Mimi nina wasiwasi zaidi na Mbatia kuliko Zito..Coz uchaguzi wa 2010 Mbatia alikuwa against the opposition parties sasa sijui ndio alikuwa anaipalilia CCM. ila baada ya kuona matokeo akazuga kufuta kesi
Zitto kinachomponza ni pesa za mafisadi but ni mtu poa saana.
Joblube wewe jamani mbona unatisha hivyo, kweli JK amemuumbua Mbatia, saaasa tusubiri kusikia ya Zitto pia...
Tunashukuru kwa taarifa Joblube, ila nimejaribu kufatilia CV ya Zitto kulink na taarifa yako nikachanganyikiwa kidogo. Maana jamaa mwaka 1990 ndiyo alikuwa anamaliza Primary School Kigoma (Kigoma Primary School), na alijoin UD 1999-2003. Au CV ndiyo imekosewa? Kama ni kweli, walio karibu na jamaa waongee naye kiyakinifu.
[h=2]Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!![/h]Wana JF napenda kutoa angalizo kwa CDM kuwa makini na hawa jamaa wawili kwa hawa wanakazi muhimu kwao ya kuibomoa CDM kwani ni maagenti wa usalama wa taifa.
Huyu Mbatia kwa wale tuliokuwa naye pale chuo kukuu mwaka wa 1990 mtakumbuka mambo aliyotufanyia tulipoanzisha ule mgomo. Mwenzetu tulikuwa tunapanga na yeye kwenye mkutano wetu kumbe usiku wake anapelekeka taarifa ya kile tunachopanga tunawahiwa na tulimgundua na kutenga.
Mtakumbumbuka pia alisababisha Rais wa Campas ya muhimbili ndugu Kimaro kufukuzwa chuo na hakurudi tena baada ya kugundua kuwa msaliti alikuwa katikati yetu. Huyu jammaa anajifanya mpinzani hamna lolote ni sawa na Zitto nionavyomienendo yake.
Kama hamuamini subiri sikuzinakuja mtagundua hayo nisemayo.
Hawa jamaa hupandikizwa kwa staili ya hali ya juu sana kiasi cha nyie kutotambua cha msingi ni kuwa makini na hawa jamaa wasije wakachelewesha ukombozi wa Watanzania.
Issue ya Mbatia siyo kuwa Informer bali hata kuwa hivyo bado hana sifa ya kutetea maslahi ya Taifa yeye ni sehemu ya tatizo kwani ananufaika na wizi wa ccm!!! Mbona wapo informer lakini wanatoa taarifa za wizi kwa Slaa!!!! Je Mbatia anaweza kufanya hivyo??? Ni mara ngapi kajitoa mhanga kutaja mafisadi kama wanavyofanya CDM???Kuna watu waliofanya ninaodiriki kuuita "uhalifu" mkubwa zaidi ya Mbatia wakati wa mgomo uliopelekea yeye kufukuzwa UDSM 1992. FYI, wale "wahalifu" wakubwa zaidi hawakufukuzwa na hadi hii leo wanadunda mtaani kama ma-CEO, machinga, etc.
Common sense question....je Mbatia angekuwa "informer" (or whatever you want to call him) hawa "wahalifu" wangepona???
Mi simtetei Mbatia kwa mtizamo alionao sasa kisiasa - far from it. The guy has gone politically nuts and is screwing himself up!
Lakini kwa upande mwingine si vizuri kufanya upotoshaji wa historia.
Hivi kuna kabila la KILIMANJARO au ARUSHA?
CCM,CDM,NBCCR,DP,UDP,CUF.........Wote wezi tu1 mnajipotezea wakati.We want constitutional reforms that will allow independent candidacy!
Swala la kuwa makini ni la muhimu sana hasa juu ya Zitto mbatia simjui, Zito Zuberi Kabwe nina uhakika 100% ila sidhanai kama kuwa Informer wa TISS kunamnyima mtu kutetea Nchni yake maana hata wao kunawakati utakuta kuna mambo hawayapendi sana, kuna weakness moja ya Zitto inayomlazimu akubali kuwa kibaraka wa hao jamaa hana ujanja hapo ingawa yawezekana hakupenda ila baadae itam-cost sana.