CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

Hivi, inawezekana Rais akamteua mtu katika nafasi kubwa kama ya Uwaziri bila yeye mteuliwa kujua? Na je, akifanya hivyo bila kukushirikisha wewe wala viongozi wako wa chama, utafanyaje? Utakataa uteuzi ili uwe salama ndani ya chama au utasema chama potelea mbali, uape na kupiga mzigo?

Mtu anayeteuliwa na kambi pinzani na kuridhia bila kuwashirikisha wakuu wake anaitwaje katika Kiswahili safi?

Mkuu,
Nani ameteuliwa??

Kuna tetesi zozote??
 
Sijui Mjengoni hali itakuwaje pale ambapo Mbunge wa Viti Maalum Mhe Mbatia (M/kiti - NCCR) atakapokuwepo kuwasikiliza vijana wake machachari kama David Kafulila, Mkosamali n.k....Ikumbukwe kuwa ni Mbatia huyu huyu ndo alikuwa chanzo cha Mhe Kafulila kutaka kuenguliwa Ubunge......................This is only unique in Tanzania.................No where else!!!
 
Back
Top Bottom