CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

humu watu wengi huwa wanaandika kishabiki cjui kwa faida ya nani..na wengine lengo ni kuibomoa cdm thats y utackia kaskazini..kiukweli mimi aliyenivutia cdm ni silaa hapa aliposimamia ile list of shame pamoja na vitisho vyote..na hata alipowapiga wanajeshi beat kuhusu meremeta,which is quat unusual..nilivutiwa na zito alipokuwa msimamizi na mchambuzi mahiri wa migodi yetu..ana hazina ya takwimu na elimu nzito ya migodi yetu,kiwango cha uvunaji, na hata muda wa kuisha madini ktk migodi husika..kaamua kuificha hiyo elimu..nilibahatika kumckia kidogo miaka hiyo..hasemi tena.. Nimejua buzwagi,n-mara,tulawaka,bulyanhulu na pamoja na viwango vya mrabaha from zitto..je ukimya huu ni kwa faida ya nani..? nimekosa imani na huyu kaka yangu..

mKITAKA KUYAJUA MENGI MPITISHENI AWE MGOMBEA URAIS NA PIA MUACHENI SAFARI HII AMPIME UBAVU MBOWE KWE NYE UENYEKITI,MWAMBIENI YULE MWENYE CHADEMA YAKE MZEE MTEI ASIMLAMISHE AONDOE JINA LAKE KAMA ALIVYOFANYA MWANZO KUMNUSURU MKWEWE MBOWE!
 
uongozi hauko jinsi unavyofikiria kwa akili yako changa..ndio maana ccm imeshindwa kuchagua viongozi ikawaweka watoa rushwa..cdm inahitaji mtu anayesimamia anachoamini badala ya mapenzi ya dharura kutoka kwa watu kama wewe.. mtoto wa miaka 15 anaweza kuzalisha akashindwa kulea familia hata kama ana kipato.. mambo mengine umri ni kitu muhimu..
 
Kwenye mapambano ya ukombozi kuna mashujaa na kuna wasaliti pia! Najua watanzania mnaelewa sasa kuwa CDM ina maadui wengi, inatakiwa kuhujumiwa sana na kwa kiwango cha juu kabla ya 2015 CCM ikijua CDM ikiwa na nguvu hii na umoja huu mpaka 2015 CCM inaondolewa madarakani mchana kweupe! Kazi ni kwetu tutaacha mbinu hizi zifanikiwe?
 
Zitto ni jembe la ukweli na ni yeye aliyesababisha CHADEMA kipate mvuto wa kipekee kutoka kwa vijana,ni Zitto ndiye aliyefungua milango kwa vijana kutaka uongozi kupitia CHADEMA. Pia zitto anapunguza nguvu hoja ya kwamba CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini hasa wachaga,ingawa kuna ukweli ndani yake.Kama wewe hutambui mchango wa zitto utakuwa na matatizo makubwa ama vp mfukuzen basi muone,mabwege nyie. Kwanza nani kakwambia ulete jamvin thread hii we paka shume? Mijitu mingine b'ana.
Kumbe na wewe ni wa ukoo wa Lusinde
 
Chadema wamefanya makosa ya kuto capitalize kwenye nguvu ya vyama vidogo vidogo vya upinzani wakajiita wenyewe ni kambi rasmi ya upinzani.Nadhani CCM wameona fursa, come 2015 CCM itakuwa na alliance ya vyama vidogo vyote na Chadema watabaki upande wa pili wa fensi.Sasa Chadema ikae ijiulize umuhimu wa kuwa mpinzani nje ya serikali miaka nenda rudi wakati Ikulu unaisikia kwenye bomba au ku compromise na kutengeneza alliance ili waingie ndani.
 
Cdm mfukuzeni zitto basi badala ya kumwita majina kibao muone cha moto.zitto km ni mtu wa kupenda madaraka asingempisha mkwe wa mwenye chama alipoombwa afanye hivyo,tunawasema magamba wanapeana vyeo kwa nasaba za wazazi wao na uku cdm yaleyale
 
kuna mambo ambayo husemwa awali na yakaja kutokea mbeleni. Ila kwa nguvu ya preemption hawa watu baadhi yao hubadilika
 
Wana JF napenda kutoa angalizo kwa CDM kuwa makini na hawa jamaa wawili kwa hawa wanakazi muhimu kwao ya kuibomoa CDM kwani ni maagenti wa usalama wa taifa.

Huyu Mbatia kwa wale tuliokuwa naye pale chuo kukuu mwaka wa 1990 mtakumbuka mambo aliyotufanyia tulipoanzisha ule mgomo. Mwenzetu tulikuwa tunapanga na yeye kwenye mkutano wetu kumbe usiku wake anapelekeka taarifa ya kile tunachopanga tunawahiwa na tulimgundua na kutenga.

Mtakumbumbuka pia alisababisha Rais wa Campas ya muhimbili ndugu Kimaro kufukuzwa chuo na hakurudi tena baada ya kugundua kuwa msaliti alikuwa katikati yetu. Huyu jammaa anajifanya mpinzani hamna lolote ni sawa na Zitto nionavyomienendo yake.

Kama hamuamini subiri sikuzinakuja mtagundua hayo nisemayo.

Hawa jamaa hupandikizwa kwa staili ya hali ya juu sana kiasi cha nyie kutotambua cha msingi ni kuwa makini na hawa jamaa wasije wakachelewesha ukombozi wa Watanzania.

Mkuu mbona hujaweka hadharani unafiki wa Zitto tuone - naona umeweka wa Mbatia tu.
 
zitto ni jembe ila huwa anateleza kama wanadamu wengine,na huu ni muda wa Zitto kurudisha imani kwetu sie Walalahoi.
namkubali sana zitto ila tatizo lake kubwa ni mchu wa madaraka
 
Na mimi nafahamu alikuwa mpambanaji chuo kikuu; na alikuwa mmoja wa waliofukuzwa....sijui hata ile degree yake ya engineering alikuja kumalizia wapi....

Labda Saint Joseph
 
Wana JF napenda kutoa angalizo kwa CDM kuwa makini na hawa jamaa wawili kwa hawa wanakazi muhimu kwao ya kuibomoa CDM kwani ni maagenti wa usalama wa taifa.

Huyu Mbatia kwa wale tuliokuwa naye pale chuo kukuu mwaka wa 1990 mtakumbuka mambo aliyotufanyia tulipoanzisha ule mgomo. Mwenzetu tulikuwa tunapanga na yeye kwenye mkutano wetu kumbe usiku wake anapelekeka taarifa ya kile tunachopanga tunawahiwa na tulimgundua na kutenga.

Mtakumbumbuka pia alisababisha Rais wa Campas ya muhimbili ndugu Kimaro kufukuzwa chuo na hakurudi tena baada ya kugundua kuwa msaliti alikuwa katikati yetu. Huyu jammaa anajifanya mpinzani hamna lolote ni sawa na Zitto nionavyomienendo yake.

Kama hamuamini subiri sikuzinakuja mtagundua hayo nisemayo.

Hawa jamaa hupandikizwa kwa staili ya hali ya juu sana kiasi cha nyie kutotambua cha msingi ni kuwa makini na hawa jamaa wasije wakachelewesha ukombozi wa Watanzania.

Nahisi una chuki binafsi na hao watu, Aidha, unaona ni tishio kwa mikakati yenu ya kuwanyamazisha na kuwafanya vibaraka wa Mbowe.
 
Zitto ni jembe la ukweli na ni yeye aliyesababisha CHADEMA kipate mvuto wa kipekee kutoka kwa vijana,ni Zitto ndiye aliyefungua milango kwa vijana kutaka uongozi kupitia CHADEMA. Pia zitto anapunguza nguvu hoja ya kwamba CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini hasa wachaga,ingawa kuna ukweli ndani yake.Kama wewe hutambui mchango wa zitto utakuwa na matatizo makubwa ama vp mfukuzen basi muone,mabwege nyie. Kwanza nani kakwambia ulete jamvin thread hii we paka shume? Mijitu mingine b'ana.

CDM ya zamani ndio ilikuwa ya Zitto lakini sasa si hivyo hata kidogo, ataondoka na bado CDM itapeta, kwanza wengine sasa hivi ukitaja CDM wanamjua Nasari wala sio huyo Zitto tena....
 
cdm inakubalika tz nzima sio mikoa ulotaja, acha hizo, kwani wale prof k.kahigi kule bukombe ni arusha au klm, nyerere musoma mjini sugu mby, silinde mbz, wenje nyamgn, na kwingineko ni arushana klm?

Hao wanaolazimisha ukanda CDM ni wehu tu.Mimi ni msukuma na ukinichanja damu yangu utakuta maandishi ya M4C & PEOPLES....POWER.
 
CCM,CDM,NBCCR,DP,UDP,CUF.........Wote wezi tu1 mnajipotezea wakati.We want constitutional reforms that will allow independent candidacy!

Hata huyu mgombea bnafsi kama sio mwadilifu ataiba tu.CDM hakuna wezi toka mwanzo hadi sasa.Na tunazidi kumwomba Allah aepushie mbali mafisadi kwenye chama letu CDM
 
maneno ya mkosaji ebu tuwe waungwana zitto ni sehemu ya umaarufu wa cdm.nasari bdo sn
 
Hivi, inawezekana Rais akamteua mtu katika nafasi kubwa kama ya Uwaziri bila yeye mteuliwa kujua? Na je, akifanya hivyo bila kukushirikisha wewe wala viongozi wako wa chama, utafanyaje? Utakataa uteuzi ili uwe salama ndani ya chama au utasema chama potelea mbali, uape na kupiga mzigo?

Mtu anayeteuliwa na kambi pinzani na kuridhia bila kuwashirikisha wakuu wake anaitwaje katika Kiswahili safi?
 
Kwa hilo la Mbatai ni sahihi kabisa na kwamba bado ni kada wa sisiemu. Ila sisemu yenyewe ikamzinguka ikamtuma kafulila kuvuruga ili awe m/kiti na mpango ulikuwa zitto ahamie nccr ili agombee urais, ili cdm na nccr vife kabisa, mpango huo umeshtukiwa na wala hautekelezeki tena kabisa baada ya mbatai mwenyewe kushtuka jinsi anavyozungukwa na mabosi wake wa sisiemuuua.
 
ni hoja yako; lakini jihadhali sana kuzua migawanyiko ndani ya CDM-mkombozi wetu kama utakuwa umetumwa!!. Km mbatia ongelea, lakini zitto ni jemedari wetu wa CDM-muache kumugusa na usimuhusishe na mbatia!!

Ndugu huwezi jua, inawezekana hata Z akawa anatmiwa? Kwanini ukbali J anatmiwa harafu ukatae kwa Z, yasemwayo yapo kama hayapo bas yaja. Tuziamin hoja za kila Member na tzchuje kwa ktafakri kiundani zaidi na co kkataa bila uchngzi akinifu.
 
Back
Top Bottom