CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

Mimi nina wasiwasi zaidi na Mbatia kuliko Zito..Coz uchaguzi wa 2010 Mbatia alikuwa against the opposition parties sasa sijui ndio alikuwa anaipalilia CCM. ila baada ya kuona matokeo akazuga kufuta kesi
 
Wana JF napenda kutoa angalizo kwa CDM kuwa makini na hawa jamaa wawili kwa hawa wanakazi muhimu kwao ya kuibomoa CDM kwani ni maagenti wa usalama wa taifa.

Huyu Mbatia kwa wale tuliokuwa naye pale chuo kukuu mwaka wa 1990 mtakumbuka mambo aliyotufanyia tulipoanzisha ule mgomo. Mwenzetu tulikuwa tunapanga na yeye kwenye mkutano wetu kumbe usiku wake anapelekeka taarifa ya kile tunachopanga tunawahiwa na tulimgundua na kutenga.

Mtakumbumbuka pia alisababisha Rais wa Campas ya muhimbili ndugu Kimaro kufukuzwa chuo na hakurudi tena baada ya kugundua kuwa msaliti alikuwa katikati yetu. Huyu jammaa anajifanya mpinzani hamna lolote ni sawa na Zitto nionavyomienendo yake.

Kama hamuamini subiri sikuzinakuja mtagundua hayo nisemayo.

Hawa jamaa hupandikizwa kwa staili ya hali ya juu sana kiasi cha nyie kutotambua cha msingi ni kuwa makini na hawa jamaa wasije wakachelewesha ukombozi wa Watanzania.

Yaani kwa sababu ya ushabiki wako wa kisiasa unaamua kutenda dhambi ya uongo, pole sana. Nenda tu kwa viongozi wako wa kiimani (kama unao) ukatubu.
 
Napata shida kidogo kama kweli una elimu ya chuo kikuu halafu unakosa upeo wa kuelewa kwamba idara za ujasusi dunia mzima lazima ziwe na informers wao, basi hiyo elimu yako ina walakini, elewa kwamba kwamba idara ya ujasusi inakuwa na waajiliwa wake na mwakala wake wake ambao wanalipwa pesa kwa kazi maalum na muda maalum, huu unakuwa ni mkataba wa muda. Zitto kuwa na ukaribu na Deputy Director wa usalama wa Taifa ni lazima kuna some information anazipata kutoka kwa Zitto, na ni taarifa hizo hizo za kiitelijensia ndio wamemdanganya ****** kwamba CHADEMA sasa wanapanga kumpinduwa.
Ukitaka kujuwa vizuri kazi za mainformer angalia Israel huwa inapewa na nani taarifa za Magaidi wa kiparestina? Angalia movie moja inaitwa Delta Force one ndio utajifunza vizuri kuhusu hawa mainformer, ila tofauti ya mainformer wa kwetu ni kwamba njaa zimewazidi ndio maana wanatambulika kirahisi, lakini kwa kawaida ni ngumu sana kumjuwa informer.

Matola,

..Mbatia alikatishwa masomo yake akiwa mwaka wa mwisho UDSM kwasababu ya kushiriki mgomo.

..jamaa alikuwa mpiganaji wa kweli alipokuwa mwanafunzi chuo kikuu, ila amekuja kubadilika baada ya kuingia kwenye siasa.
 
Mimi nina wasiwasi zaidi na Mbatia kuliko Zito..Coz uchaguzi wa 2010 Mbatia alikuwa against the opposition parties sasa sijui ndio alikuwa anaipalilia CCM. ila baada ya kuona matokeo akazuga kufuta kesi

Acheni chuki kwa huyu mtu jamani. Chadema wenyewe walituma ujumbe NCCR kuomba kesi ifutwe. Sasa alichozuga hapo ni nini? Muulizeni vizuri Mhe. Mdee ni nini kilitokea.
 
Kuhusu Mbatia hata mimi simwamini sana, nakumbuka kipindi akiwa bungeni na mwenyekiti wake ( yeye Vunjo, Mwenyekiti Temeke) walivutana sana tena bila aibu hadi kutukanana matusi mazito mazito, kwa vile nilijua wote wapo kwenye hiyo idara ya iteligensia sikujali sana. Ikaja issue ya CUF kule Zenji, akawawekea pingamizi wakati:shock: hakuwa na wagombea katika yale majimo, kwa hiyo baba yake akachukua kilainiiii. kuna mengi lakini kwa leo tuishie hapa kwanza.
 
Joblube wewe jamani mbona unatisha hivyo, kweli JK amemuumbua Mbatia, saaasa tusubiri kusikia ya Zitto pia...
 
Kinachomponza zitto ni UKWELI watu wengi hawapendi kuambiwa UKWELI aliposema mitambo ya dowans inunuliwe kupunguza gharama wengi wakampinga na kumwita fisadi,lakini leo tunanunua umeme ghali sana kutoka jenereta zile zile alizosema zinunuliwe lakini bado MNAMWITA FISADI! sijui busara itatoka lini likizo!
 
Tunashukuru kwa taarifa Joblube, ila nimejaribu kufatilia CV ya Zitto kulink na taarifa yako nikachanganyikiwa kidogo. Maana jamaa mwaka 1990 ndiyo alikuwa anamaliza Primary School Kigoma (Kigoma Primary School), na alijoin UD 1999-2003. Au CV ndiyo imekosewa? Kama ni kweli, walio karibu na jamaa waongee naye kiyakinifu.

wewe hauko makini soma vizuri ndio uandike ***** wako, hapo anazungumziwa Mbatia sio Zitto.
 
Zitto na wapiganaji wa CDM tumewaamini na tunatarajia kuwa ukombozi wa kweli utapatikana. Kama huyu Zitto ikatokea akatusaliti sisi wananchi basi hukumu yake itakuwa kubwa sana hapa hapa duniani. Ila tumpe imani yetu na tusimkatishe tamaa. Vivaaaaaaaa zittooooooo, mwelekeo wa mabadiliko ya nchi yetu kwa watanzania umeyaona sasa kama kuna ukweli ndani yake wa hili suala ni bora ukaliweka pembeni na kupiginia nchi yetu, hujachelewa sisi bado tunakutumaini.
 
Wana JF napenda kutoa angalizo kwa CDM kuwa makini na hawa jamaa wawili kwa hawa wanakazi muhimu kwao ya kuibomoa CDM kwani ni maagenti wa usalama wa taifa.

Huyu Mbatia kwa wale tuliokuwa naye pale chuo kukuu mwaka wa 1990 mtakumbuka mambo aliyotufanyia tulipoanzisha ule mgomo. Mwenzetu tulikuwa tunapanga na yeye kwenye mkutano wetu kumbe usiku wake anapelekeka taarifa ya kile tunachopanga tunawahiwa na tulimgundua na kutenga.

Mtakumbumbuka pia alisababisha Rais wa Campas ya muhimbili ndugu Kimaro kufukuzwa chuo na hakurudi tena baada ya kugundua kuwa msaliti alikuwa katikati yetu. Huyu jammaa anajifanya mpinzani hamna lolote ni sawa na Zitto nionavyomienendo yake.

Kama hamuamini subiri sikuzinakuja mtagundua hayo nisemayo.

Hawa jamaa hupandikizwa kwa staili ya hali ya juu sana kiasi cha nyie kutotambua cha msingi ni kuwa makini na hawa jamaa wasije wakachelewesha ukombozi wa Watanzania.
[h=2]Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!![/h]
HASHIMU RUNGWE AMESEMA JEMUS MBATIA NI KIBARAKA WA CCM NA NI DIKITETA Mgombea wa Urais Mwaka 2010 Hashimu Rungwe amesema Jemus Mbatia ni Kibaraka wa CCM, kwa kuwa wakati wa Uchaguzi alimwambia yeye kama mgombea wa Urais asimushambulie sana Mgombea wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete bali afanye hivyo kwa Mgombea wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa. Kauli hiyo ya Mbatia ilimusababisha Rungwe ambaye ni Mwanasheria Kitaluma Kumwamwandia barua Mbatia Kutaka Ufafanuzi Zaidi, Lakini Mbatia Huyohuyo amepanga kumufukuza Uanachama. Tayari Rungwe amesha tangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa NCCR kumutoa Mbatia!!! Rungwe anasema Mbatia anaendesha NCCR kidikiteta kwa Maongozo ya CCM na hataki Mawazo ya Upinzani kujenga Chama kwa maslahi ya Taifa. Anasema Mbatia ni injinia wa maji kitaluma lakini hataki kufanya kazi ya taluma yake kama yeye anavyofanya kazi ya uwakili na kuchangia NCCR . Anasema akina Prof. Lipumba ni Wanataluma , akina Tundu lisu ni wanataluma, Akina Mabere Marando ni Wanataluma, lakini wote pamoja na kutumikia vyama vyao wanafanya shughulin za taaluma zao na kujipatia fedha zinazo inua vyama vyao. Sasa tatizo la Mbatia hajawahi kufanya shughuli yoyote ya taluma yake tangia apate nafasio ya uenyekiti lakini amekuwa na matumizi makubwa katika chaguzi mbalimbali ambazo wakati wote wa kampeni amekuwa akiwataka Wana NCCR kutowasema vibaya CCM na viongozi wake ambao ni wafadhili wake!!! .Tatizo la Mbatia ni kukaa kijiweni makao makuu na kutaka anyenyekewe kama mungu mtu na hata anapohitaji pesa kutaka kwa wabunge anafanya hivyo kwa udikiteta na wanapo mhoji anawajengea Chuki na kupanga njama za Kuwavua uongozi kabla ya kunyang'anya kadi za uanachama. Yupo Mbunge ambaye amemkopesha pesa zaidi ya 80m ambaye kwasasa ndiye silaha yake!!!. Mbatia ni Mshamba anadai yeye ni Mhandisi wa Maji Mbona hatumuoni akifanya kazi ya Uhandisi Wa Maji??. Hashimu Rungwe amemtaka Mbatia kujipanga na kunandaa Ushahidi kwenye kikao cha feb,2012 na sio kuendesha udikiteta na mbinu za kitoto za kuwafukuza wanao daui haki ya kugombea NCCR.
Hashimu Rungwe amesema Mbatia katika Nyakati Tofauti amekuwa akisaini Cheki za 80m Kwa Mara nne kutoka kwa Watu wa CCM na kuendesha siasa za kuimarisha CCM zinazoua NCCR na kwamba harakati zote za kufungua Kesi dhidi ya Halima Mdee zimetokana na fedha hizo!!

Amesema Mbatia hana Kazi yoyote ya kumupatia kipato zaidi ya kupewa na CCM na omba omba ya Wabunge walio madarakani ambapo amejenga Chiki ya kuwafukuza wanao mpinga!!


 
Kuna watu waliofanya ninaodiriki kuuita "uhalifu" mkubwa zaidi ya Mbatia wakati wa mgomo uliopelekea yeye kufukuzwa UDSM 1992. FYI, wale "wahalifu" wakubwa zaidi hawakufukuzwa na hadi hii leo wanadunda mtaani kama ma-CEO, machinga, etc.

Common sense question....je Mbatia angekuwa "informer" (or whatever you want to call him) hawa "wahalifu" wangepona???

Mi simtetei Mbatia kwa mtizamo alionao sasa kisiasa - far from it. The guy has gone politically nuts and is screwing himself up!

Lakini kwa upande mwingine si vizuri kufanya upotoshaji wa historia.
Issue ya Mbatia siyo kuwa Informer bali hata kuwa hivyo bado hana sifa ya kutetea maslahi ya Taifa yeye ni sehemu ya tatizo kwani ananufaika na wizi wa ccm!!! Mbona wapo informer lakini wanatoa taarifa za wizi kwa Slaa!!!! Je Mbatia anaweza kufanya hivyo??? Ni mara ngapi kajitoa mhanga kutaja mafisadi kama wanavyofanya CDM???
Yeye ni mtu wa kulinda wezi na baada ya kupata ukombozi anapaswa kuwekwa ndani!!!

Hana maslahi kwa upinzani ndio maana anateuliwa viti maalumu na CCM!!!
Hii ina maana Mbatia kafanya kazi ya CCM kuliko wana CCM wenyewe hii ni kashfa kubwa kwa NCCR!!!

Anapaswa kujivua nafasi ya Uwenyekiti Taifa!!
 
CCM,CDM,NBCCR,DP,UDP,CUF.........Wote wezi tu1 mnajipotezea wakati.We want constitutional reforms that will allow independent candidacy!


Jaji Rukgakingira (RIP) kwenye k esi iliyofunguliwa na mtikilia alitoahukumu kuwa wagobea binafsi ni Ruksa. na kuwagomea ni kuvunja katiba What happned?

Nadhani hata vyama vya upinzani havikipenda maamuzi ya RUgakingira.
 
Swala la kuwa makini ni la muhimu sana hasa juu ya Zitto mbatia simjui, Zito Zuberi Kabwe nina uhakika 100% ila sidhanai kama kuwa Informer wa TISS kunamnyima mtu kutetea Nchni yake maana hata wao kunawakati utakuta kuna mambo hawayapendi sana, kuna weakness moja ya Zitto inayomlazimu akubali kuwa kibaraka wa hao jamaa hana ujanja hapo ingawa yawezekana hakupenda ila baadae itam-cost sana.

ZITTO ANAPAKIZIWA AU NDO M4C inakuwa AGAINST HIM. TATIZO LAKE NAE HAELEWEKI SANA. KAMA ANATEGA PENYE MAFAO VILE!!!!
TETESI KUWA NAE ANA GOROFA DOM, HOUSE YA UKWELI MASAKI/OBEY, GARI AINA YA NYUNDO. JK right hand man wake.
anyway, hatupendi kuona kiongozi yeyote anatembea na viraka.
 
Mbatia ni usalama wa Taifa hilo halina ubishi. Ni pandikizi la CCM ndani ya upinzani. Mbatia si mpinzani bali ni tawi la CCM ndani ya upinzani. Kuhusu Zitto sina uhakika hivyo siwezi kusema lolote.
 
Tunashukuru kwa taarifa Joblube, ila nimejaribu kufatilia CV ya Zitto kulink na taarifa yako nikachanganyikiwa kidogo. Maana jamaa mwaka 1990 ndiyo alikuwa anamaliza Primary School Kigoma (Kigoma Primary School), na alijoin UD 1999-2003. Au CV ndiyo imekosewa? Kama ni kweli, walio karibu na jamaa waongee naye kiyakinifu.

wewe hauko makini soma vizuri ndio uandike ***** wako, hapo anazungumziwa Mbatia sio Zitto.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom