Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu.
Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko Temeke na kwa bahati kila mmoja alitoa hoja dhaifu ambazo hata UVCCM wanaweza kuzijibu na kujichukulia point 3 za muhimu. Heche amelalamikia kuwepo kwa uwezekano kwa wabunge kuongezewa 4m kwenye mishahara na posho zao ambazo kwa sasa zinafika 12m. Wakiongezewa itakuwa 16m. Heche anasema mbona wao walikuwa wakipewa 12m. Kimsingi Heche kinachomuuma ni kuwa nje ya bunge na sio kwamba ana huruma na kodi za wananchi. Ingekuwa hivyo angezikataa posho zote alizokuwa anafakamia wakati akiwa mbunge.
Lema kama kawaida nae karopoka kwamba uoga ni dhambi kubwa huku yeye akiwa kakimbilia Canada na familia yake. Asingekuwa mwoga angebaki. Isitishe leo kaja na kauli mpya kwamba anataka shida zizidi kutupata wananchi ili tusapoti agenda zao. Ikumbukwe Lema akisema hayo tayari familia yake inaishi kifalme kupotia kodi za wananchi wa Canada. Huyu mtu ni wa kumpuuza kwasababu huenda kachanganyikiwa.
Itoshe kusema mkutano wa leo ulitakiwa kuwa mkutano wa injili na sio wa siasa kutokana na wasemaji waliopo. CHADEMA kudhani waislamu hawana maana kwenye ardhi ya Tanzania ni kujidanganya. Wanapowakumbatia maaskofu na wachungaji uchwara wajue wanazidi kukibomoa chama chao. Kutaka boost ya viongozi wa dini kwenye siasa ni mwisho wa kufikiri.