CHADEMA itashinda kwa kishindo Arumeru - Dr Slaa


Huna hoja yoyote.Nakushauri tu kitengo cha Propaganda CCM kilishafutwa.Usidhani una uwezo wa kupata ajira kule.
 
Narudia tena,...kama nilivosema kuhusu uzini na ikawa kweli kwamba kule chadema haitashinda
bali itaenda kuji panua zaidi,....ndivyo ilivyo kuwa.

Arumeru sitegemei jipya,....chadema hawata shinda ingawa kutakua na vuta nikuvute sana.
Kama ccm iliweza kushinda ikiwa na mgombea mbovu kabisa,tena aliye kuwa kitandani mda mwingi
sitegemei chochote kipya kwa sasa.

Narudia tena,....ccm itashinda ingawa kwa tofauti chache sana ya kura,...hata kama ni kura 1.
 
Duh! Hii kali.
Bakini na hiyo dhana...sisi tunaendelea kupeta tu

nategemea kusikia mkigawa mahindi ya msaada pasipo njaa..mara hii sijui mtaiba wapi maana yale ya igunga mliyapora tarime..hadi sasa wanawalaani ccm!
 
Arumeru si Uzini Wameru wajanja bwana hawarubuniwi kwa ubwabwa.

Huo ujanja umeanza lini?
2010 walikua wapi aisee au walikua washamba bado?
Kama walikua washamba by 2010,...umetumia kipimo gani sasa
kujua kwamba sio washamba sasa?
 
hee we msukule upo.................sasa una ni pm unanipenda me nikupeleke wapi koma

Duh,...
hayo mambo binafsi sidhani kama ina ruhusiwa
kuongelea mambo ya PM in public.

SIO USTAARABU,....NI USHAMBA NA NI KINYUME CHA
SHERIA ZA JF.
 
Duh,...
hayo mambo binafsi sidhani kama ina ruhusiwa
kuongelea mambo ya PM in public.

SIO USTAARABU,....NI USHAMBA NA NI KINYUME CHA
SHERIA ZA JF.

Ulikurupushwa kutoka wapi kuja kuchangia hoja?
 

Naona Sheikh Yahya alikurithisha mikoba.Ndivyo mnavyodanganyana mnapokuwa vijiweni
 
Dr. Panga mashambulizi! tuko pamoja, ushindi ni wetu (CHADEMA) hakikisha mawakara hawarubuniwi!!!
 
Tunaomba uweke link inayo husianana na na hiyo kauli ya dr slaa kuhusu uzini!otherwise utakua mzushi tu

Akiipata link yenye hiyo "kauli ya Dr Slaa" mie nitakwenda kazini uchi siku zote za wiki moja mfululizo!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…