- Iwe isiwe mwendo ni ule ule mdundo, hakuna kulala Chadema ni wadogo sana kuna makosa tumeyafanya sana CCM kuwafikisha kujiona mko level moja na CCM how Chama chenye Wabunge 270 kinaweza kushindana shindana na wabunge 45, yalikuwa ni makosa yetu wenyewe CCM.
- Sasa under Uongozi mpya hakuna tena kueudia haya makosa!!
le mutuz
Unamaanisha nani vile Mzee silaa au nimeelewa vibaya
Mkuu bado CCM haijapa watu makini wa kujibu hoja zetu hapa JF.Watu waliopo hapa(Kama wewe) unaulizwa hiki unajibu kile,yaani nyinyi ndiyo mnamalizia kugonga msumali wa mwisho katika jeneza la CCM!- NI WADOGO LAKINI MNA KELELE SANA na mlikuwa hamjibiwi sasa mnajibiwa unaona mnavyokuwa wadogo kama sisimizi, mna kelele sana kwa sababu mnajua hmakubaliki na wananchi!!
le mutuz
Mara JF ni mali ya CHADEMA,leo tena JF si mali ya CHADEMA.Mkuu ni vema ukawa na msimo mmoja kwenye hili!
Kamwe hila zenu za kishetani hazitoshinda nguvu ya mungu wa kweli!ukae ukijua mwisho wa ufisadi na utawala wa kisultani[Kama wewe unavyopigania kuwa kiongozi kama baba yako,bila kujua baba yako alifika hapo kwa sasabu alikuwa ana akili timamu] is around the corner!- Huna hoja zaidi ya makelele ya kwaida sana huko kwenu sisi tunasonga mbele, nia na madhumunni ni kuhakikisha maningia uchaguzi wa 2015 wadhoofu kama mlivyo sasa, that is all my mission!!
le mutuz
Mkuu wewe ni mtoto wa kiume nashangaa unakuwa na tabia za kike...usipende kuniwekea maneno mdomoni weka hayo maneno yangu niliyosema JF ni mali ya Chadema usipoweka takuweka kwenye kundi la kina mama wa mipasho.
Mkuu jiheshimu ili na wewe uheshimiwe,kwa nini unapenda kutumia lugha za matusi?acha kujivua ufahamu,ujinga wako wapelekee wajinga wenzako!Mkuu wewe ni mtoto wa kiume nashangaa unakuwa na tabia za kike...usipende kuniwekea maneno mdomoni weka hayo maneno yangu niliyosema JF ni mali ya Chadema usipoweka takuweka kwenye kundi la kina mama wa mipasho.
Sasa mzee Wiliam,how comes that is all your mission kwa chama unachodai ni kidogo?
Hiyo ndo point yangu mimi "mdogo" na "mpambe" kwako wewe mukubwa na mshika dau wa ccm!
Apana John Malecela..alioa anne kilango akijiandaa kuwa raisi siku ya screening chamwino wale aspirants wakaambiwa watoke nje ili CC iwajadili, lizee likatoka, nasikia Ben Mkapa mafia akamwambia mzee wangu wee unaenda wapi tena hebu wacha ujinga rudi tujadili hao vijana mzee wangu! Ndo ndoto ya urais ikaishia hapo..
Amekosa nini tena?Duh! Mleta sredi kashakula ban!
Mkubwa hapo kinondoni manyanya mie mwenyewe sijawahi kukanyaga, niliambiwa kuna sura zinatisha hapo zinasubiri viroba kwa hiyo nikaogopa mkuuMkuu haya nenda Kinondoni Manyanya Makao Makuu ya Chadema kachukue mfuko wako wa viroba na hii baridi.
CC Chilisosi.
unamweleza nani jaribu ku specifyUna akili ndogo sana kama naaape na mwiguuulu..mmetofautiana umri na sura tu..
unapojadili upande mmoja kumbuka na upande wa pili kuwa Silaa naye alifanya nini 2010Apana John Malecela..alioa anne kilango akijiandaa kuwa raisi siku ya screening chamwino wale aspirants wakaambiwa watoke nje ili CC iwajadili, lizee likatoka, nasikia Ben Mkapa mafia akamwambia mzee wangu wee unaenda wapi tena hebu wacha ujinga rudi tujadili hao vijana mzee wangu! Ndo ndoto ya urais ikaishia hapo..