CHADEMA itaitumbikiza Nchi katika UASI na Vurugu

Mkuu jiheshimu ili na wewe uheshimiwe,kwa nini unapenda kutumia lugha za matusi?acha kujivua ufahamu,ujinga wako wapelekee wajinga wenzako!

Mkuu mie na wewe nani anatakiwa kujiheshimu? Wewe si ndiyo umeanza kunizushia uongo wa kinafiki eti mimi nilisema JF ni mali ya Chadema. Ulitaka nikujibu vipi nikae kimya? Mimi utaratibu wangu ukija kiungwana tutajadiliana kiungwana ukija na kejeli utakutana na kejeli.
 
Sheikh Ponda na UAMUSHO ndio wamekutuma?

watu wengine akili zao hovyo kama ID zao. Hivi viongozi wa dini na taasisi zao wanahusikaje hapa? Badala ya kupigana mateke na MAGAMBA ww unamuonea asiehusika. Yote haya inatokana na chuki ulionayo dhidi ya uislam. Headless Person, kuwa makini na kauli zako za kipuuzi
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani
you are just an amature in politics
 
mkuu hulali!Kweli CHDM ni namba nyngn!kwa siku wewe ni kurusha tu thread zote zimejaa uharo!
 
Radii imenibidi nicheke tu yani PM7 inaweza ikadevelop mpaka M23?!!! JF haishi vituko ngoja mi niende kwenye za masalia niwaache makamanda waendelee kukupa za uso.
 
Last edited by a moderator:
Namnukuu BenSaanane( Mpango wa kukusanya fedha za kuendesha PM7 nje ya ruzuku ya chama). Je mbegu hiyo ya uasi ndani ya chama ikiendelea kuchipua kunaweza jitokeza kundi jingine kama PM7 likaanza mpango wa kukusanya silaha za kivita?

ungemnukuu yote ikiwapo na aliyekuwa anawapa fedha viongozi wa PM7 acha ujinga!nyie ndo mmeishia la saba au f4 na kufundishwa kupost upumbavu humu bila kuangalia ubora wa mnachopost!poor CCM NA NAPE WAKO!
 
- ok now how does this helps Chadema? ha! ha! ha! ha! kwani Zitto mlifanyia nini alipogombea Uenyekiti sasa mnajisifia kwa haya ya kuminya Demokrasia? nyie mtalia tu mpaka mwisho wa Dunia!!

le mutuz

Wew kilichokimbiza ughaibuni nini? Niite wenzangu tupasuke ulichofanyiwa hotelin Ditroit? Siasa ni wazi ukoo wenu hamuiwezi so usifikiri utatembelea nyota ya baba, siku izi ni akili sio jina.
 
Hayo mawazo yako ni ya kipuuzi sana hata kwa akili ya darasa la kwanza ni ujinga umejaa!
 
Mkuu mie na wewe nani anatakiwa kujiheshimu? Wewe si ndiyo umeanza kunizushia uongo wa kinafiki eti mimi nilisema JF ni mali ya Chadema. Ulitaka nikujibu vipi nikae kimya? Mimi utaratibu wangu ukija kiungwana tutajadiliana kiungwana ukija na kejeli utakutana na kejeli.

Ritz hii ID yako tunajua inatumika na na ofisi ni mfumo huu, kila mtu anaingia na kujibu, kuzua, kuropoka ndio maana hata kumbukumbu zinawapotea..so hapa naijibu CCM lumumba
 
Radii huo uasi uliousema ulimaanisha nini? Hata kama kuna makundi ndani ya Chadema umeyaona hayo yataleta uasi mbona makundi yaliyomo ndani ya Ccm hujayaongea? Kila uchao mnaiota Chadema tu tafuteni la kuongea na makundi yaliyomo CHADEMA waachieni wenyeqe mbona wao hawaongei makundi yaliyoko CCM? Kssoro waziona zilizoko kwa mwenzio kwako umezikalia ni umbea huo mtoto wa kiume utasutwa
Haya Makundi mmeyaasisi nini na yatakayokufanya wamaliza,CDM ni mkombozi aw taiga letu, nchi imewashinda kufungeni virago ikulu tuna Kuja,
 
Wew kilichokimbiza ughaibuni nini? Niite wenzangu tupasuke ulichofanyiwa hotelin Ditroit? Siasa ni wazi ukoo wenu hamuiwezi so usifikiri utatembelea nyota ya baba, siku izi ni akili sio jina.

- Sijawahi kufika Detroit so jipime tena ni wapi kwenye post yako unasema ukweli na uongo!!

le mutuz
 
Le mutuz ni mtoto wa wasira malecela alichakachuliwa we hauon analopoka km baba yake wasira km anabisha wakampime DNA.
 
Le mutuz ni mtoto wa wasira,malecela alichakachuliwa we hauon anaropoka km baba yake wasira km anabisha wakampime DNA
 
Namnukuu BenSaanane( Mpango wa kukusanya fedha za kuendesha PM7 nje ya ruzuku ya chama). Je mbegu hiyo ya uasi ndani ya chama ikiendelea kuchipua kunaweza jitokeza kundi jingine kama PM7 likaanza mpango wa kukusanya silaha za kivita?

Ile kauli ya Dr. slaa kuwa CCM imeingiza silaha mliikanusha vipi? sio nyie ndo mmeandaa jeshi kwa ajili ya kuingia vitani mkishindwa 2015?
 
Haya Makundi mmeyaasisi nini na yatakayokufanya wamaliza,CDM ni mkombozi aw taiga letu, nchi imewashinda kufungeni virago ikulu tuna Kuja,

Jitahidi kuangalia vizuri herufi unapoandika.
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

Unaumwa cha kunyea na hoja yako ya kitoto.
 
Kugombea madaraka ni jambo la kawaida katika nchi yoyote mkuu. Muhimu ni namna gani tunaelekea katika kugawa madaraka hayo. Wewe unaona CHADEMA ndiko watakako gombea madaraka hutaki kutazama picha halisi huko CCM kwa kutumia vivuli halisi kama NAPE, MWIGULU, LUSINDE, EL, MEMBE, MWAKYEMBE nk? Cursorily looking at their movements what do they reveal to you? Acha unafiki, hakuna cha kutumbukiza nchi katika lolote ni propaganda zako tu. Hakuna matatizo watakayoyapata watanzania kama haya ambayo tayari wameyapata kutokana na makundi yaliyopo CCM kutokana na kugombea madaraka. Unataka kuhamisha tatizo tu lakini we are two hundreds brainy to realize that gamba wewe!!!
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani
 
Wewe umeanzisha mada bila kujua namna ya kuisimamia. Hivi ina maana wewe leo hii ndo umetambua ubaya wa makundi mkuu? Nafikiri unajaribu kuhamisha tatizo la CCM kuja CHADEMA lakini kwa taarifa yako makamnda wanaona kila kitu. CCM wanataka kansa iliiua CCM ifanye hivyo hivyo kwa chadema chama makini. Kamwe hilo halitatokea! Unaina chadema kimakundi na balaa la kuitumbukiza nchi katika machafuko unasahau ugumu wa maisha watanzania wanaopitia ni mbegu ya makundi iliyopandwa na ccm 2005? Historia itawahukumu vibaya. Cursorily looking at Nape and Mwigulu do their actions tell you anything? Umetumwa vibaya ndugu yangu au ndo unaanza kazi uliyopewa na kina Nape. Kajipange upya! Chadema inaongoza wengine wanafuata. Chadema haionei haya uchafu wanafukuza tuu!!!
Sorry naona hukunielewa cjaifananisha Chadema na M23 bali makundi kama PM7 ambayo mbegu yake imeanza kuota ndani ya chama na kufikia hatua ya kutaka kuanza kukusanya fedha nje ya ruzuku ya chama kujiendesha huoni hicho ni kutu hatari sio tu kwa chadema bali hata kwa nchi?
 
Back
Top Bottom