CHADEMA itaitumbikiza Nchi katika UASI na Vurugu

radii huo uasi uliousema ulimaanisha nini? Hata kama kuna makundi ndani ya chadema umeyaona hayo yataleta uasi mbona makundi yaliyomo ndani ya ccm hujayaongea? Kila uchao mnaiota chadema tu tafuteni la kuongea na makundi yaliyomo chadema waachieni wenyeqe mbona wao hawaongei makundi yaliyoko ccm? Kssoro waziona zilizoko kwa mwenzio kwako umezikalia ni umbea huo mtoto wa kiume utasutwa
fadhali umempa ukweli wake.
 
Na wewe uliandika humu kuwasifu uliowaita "majembe" ya ccm online kwa "kuiweza" chadema.Kwa nini chadema we mzee?

-Udiwani CCM Viti 22 Chadema viti 5, Wabunge CCM 270 Chadema 45 halafu eti hawa watatupa taabu CCM, taabu gani hiyo? Yes niliwapongeza majembe ya CCM online kwa kazi nzuri maana mlikuwa hamjibiwi, sasa mnajibiwa umeona mnavyohangaika, huu ni mwanzo tu tunashambulia kila kona ya mtandao, mpaka kieleweke!!

- Halafu eti mnataka yule Babu agombee Urais si utakuwa mteremko wa ajabu kwetu CCM,

le mutuz
 
Na hii baridi kamanda taratibu unajifyonzea viroba vyako vya ZED na Tyson. Dr Slaa kawapatia

sana.

Komredi Ritz,
Nilitaka kushangaa mkuu uandike post yako bila kumtaja Dkt Slaa. Huyu ndiye anakunyima usingizi mkuu. Halafu kumbe unafahamu hata brands zake?

Nimeshukuru leo umempa heshima yake na kumwita Dkt. Slaa na si kama wale wengine unaowatumaga wanamwita Bwana Slaa au wakati mwingine unapokuwa na 'Wazimu' unamwita Babu Slaa.

Heshima kwa wakubwa ni muhimu sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz

katu siwez kuwa mjinga nikafanana na watu kama wewe wasio elewa,
ni bora kufa kuliko kuwa na akili mbofu mbofu kama hizi zenu
 
-Udiwani CCM Viti 22 Chadema viti 5, Wabunge CCM 270 Chadema 45 halafu eti hawa watatupa taabu CCM, taabu gani hiyo? Yes niliwapongeza majembe ya CCM online kwa kazi nzuri maana mlikuwa hamjibiwi, sasa mnajibiwa umeona mnavyohangaika, huu ni mwanzo tu tunashambulia kila kona ya mtandao, mpaka kieleweke!!

- Halafu eti mnataka yule Babu agombee Urais si utakuwa mteremko wa ajabu kwetu CCM,

le mutuz

Sasa mzee Wiliam,unataka wenzako wasipambane na chadema kwa sababu ni chama kidogo?

Hapohapo tena unayapongeza the so called 'majembe' kwa 'kujibu' haohao chama kidogo chadema?

Haupo serius mzee Wiliam!
 
- Mjuzi nilikuwa Moshi nikakutana na Viongozi wako wa Taifa wakakubali kwamba nipo very serious kwenye attacks za mitandao na wanai-feel, wewe ni mpambe tu in this game tunaopambana nao sio wewe ni mdogo sana huko Chadema wala huna say kwenye chama so bora ukatulia na kusoma ya wengine tunaocheza the game!!

le mutuz
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

pole sana kwa kauli zako za kishabiki ambazo hazina tija zaidi ya umwajuma. Eti kwa bahati mbaya CDM ikingia madarakani, nani kakudanganya itaingia kwa bahati mbaya na siyo kwa kura ya raia waliochoka kwa ufisadi na wizi wa rasilimalize zetu vnaofanywa na serikali chafu ya ccm ambayo mwanzisha mada unaamini ni serikali sahihi ambayo nathubutu kuamini na kusema ndiyo iliyotufikisha ktk umasikini tuliokuwa nao. Wanaokutumia wamekupotezea mwelekeo kwani uongo na unafiki wako hakuna MTz wa leo atakaeweza kukusikiliza zaidi ya kukuona ni kama mwenda wazimu
 
- Mjuzi nilikuwa Moshi nikakutana na Viongozi wako wa Taifa wakakubali kwamba nipo very serious kwenye attacks za mitandao na wanai-feel, wewe ni mpambe tu in this game tunaopambana nao sio wewe ni mdogo sana huko Chadema wala huna say kwenye chama so bora ukatulia na kusoma ya wengine tunaocheza the game!!

le mutuz

Kwahiyo mzee Wiliam umeshindwa kujibu hoja yangu pamoja na "udogo" na "upambe" wangu.Yani pamoja na 'maukubwa' yako huko ccm unashindwa kujibu hoja ya mi "mdogo" na "mpambe" huku chadema?

Mzee William bana,you dont stop amazing!
 
Hata kama ccm wakitumia mbinu zao zote mbovu walizonazo sisi waTZ ndo waamuzi wa yote na 2015 tushajua ndo mwisho wa hawa mafisadi na serikali yao ya mabwepande kutuongoza
 
Kwahiyo mzee Wiliam umeshindwa kujibu hoja yangu pamoja na "udogo" na "upambe" wangu.Yani pamoja na 'maukubwa' yako huko ccm unashindwa kujibu hoja ya mi "mdogo" na "mpambe" huku chadema?

Mzee William bana,you dont stop amazing!

- Huna hoja zaidi ya makelele ya kwaida sana huko kwenu sisi tunasonga mbele, nia na madhumunni ni kuhakikisha maningia uchaguzi wa 2015 wadhoofu kama mlivyo sasa, that is all my mission!!

le mutuz
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

u.m.e.o.z.a
 
you are still an ignorant person mods fungieni watu kama hawa

- Alifungiwa Mandela na haikusaidia kitu na wewe bado una mawazo ya kiazamani ya kuuua messenger jairbu kuua message sio mjumbe, media ngapi zipo outlet kwani lazima iwe JF au hujaona kule wkingine tunavyorusha mawe? ebo hii ni saa ya vita hakuna kuangaliana usoni!!

le mutuz
 
- Huna hoja zaidi ya makelele ya kwaida sana huko kwenu sisi tunasonga mbele, nia na madhumunni ni kuhakikisha maningia uchaguzi wa 2015 wadhoofu kama mlivyo sasa, that is all my mission!!

le mutuz

Sasa mzee Wiliam,how comes that is all your mission kwa chama unachodai ni kidogo?

Hiyo ndo point yangu mimi "mdogo" na "mpambe" kwako wewe mukubwa na mshika dau wa ccm!
 
- NI WADOGO LAKINI MNA KELELE SANA na mlikuwa hamjibiwi sasa mnajibiwa unaona mnavyokuwa wadogo kama sisimizi, mna kelele sana kwa sababu mnajua hmakubaliki na wananchi!!

le mutuz
 
Mara JF ni mali ya CHADEMA,leo tena JF si mali ya CHADEMA.Mkuu ni vema ukawa na msimo mmoja kwenye hili!

- Iwe isiwe mwendo ni ule ule mdundo, hakuna kulala Chadema ni wadogo sana kuna makosa tumeyafanya sana CCM kuwafikisha kujiona mko level moja na CCM how Chama chenye Wabunge 270 kinaweza kushindana shindana na wabunge 45, yalikuwa ni makosa yetu wenyewe CCM.

- Sasa under Uongozi mpya hakuna tena kueudia haya makosa!!

le mutuz
 
Komredi Ritz,
Nilitaka kushangaa mkuu uandike post yako bila kumtaja Dkt Slaa. Huyu ndiye anakunyima usingizi mkuu. Halafu kumbe unafahamu hata brands zake?

Nimeshukuru leo umempa heshima yake na kumwita Dkt. Slaa na si kama wale wengine unaowatumaga wanamwita Bwana Slaa au wakati mwingine unapokuwa na 'Wazimu' unamwita Babu Slaa.

Heshima kwa wakubwa ni muhimu sana mkuu
Mkuu tumuheshimu au tusimuheshi,heshima ya Dkt.Slaa itabaki pale pale,maana heshima yake imejengwa na matendo yake kwa watanzania!
 
Back
Top Bottom