CHADEMA itaitumbikiza Nchi katika UASI na Vurugu

Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

I say it again, you will soon go to my ignore list. Tangia lini upinzani wa ndani ya chama au migongano ikaleta vita kwenye nchi? Unajua maana ya vita wewe? Nani atapigana na nani sasa?

Nape, hebu fanya vetting ya kutosha ya uwezo wa watu unaowatuma hapa JF. Huyu Radii ni zero kabisa, hata uwezo wa kujenga hoja hana.

Tiba
 
Makundi yaliyopo Chadema yanadhaminiwa na Ccm ili kuidhoofisha Chadema
 
PM7 ni kundi la dawa ya panya,na hakuna panya kwa sasa.
Vurugu zitaletwa na CCM,amini hivyo.
 
Wee vip kila siku unakuja na post- lumumba tu..... yan uwezi ata siku moja ukaja kivingine mpaka tunakusoma vibaya, ata kama umeandika vizuri, jilekebishe bhana na kama unapigania posho sawa

Unakela sanaaaaaaaaaa, jibu lako ni usajili wa T2015CDM ukitimia utanyamaza tu

V
SENGEREMA
 
Daaaaaah haya nayo ni maajabu! Nakushauri uachane na siasa kabisa. Eti "bora cuf wana wa bunge wengi"
hivi cuf wana wabunge wangapi?

- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz
 
I say it again, you will soon go to my ignore list. Tangia lini upinzani wa ndani ya chama au migongano ikaleta vita kwenye nchi? Unajua maana ya vita wewe? Nani atapigana na nani sasa?

Nape, hebu fanya vetting ya kutosha ya uwezo wa watu unaowatuma hapa JF. Huyu Radii ni zeo kabisa, hata uwezo wa kujenga hoja hana.

Tiba
wewe ndio zero kabisa uasi wowote huanzia ndani ya chama ulitaka uanzie somalia. Jifunze hata kupitia historia@ kama chadema kuna PM7 ujue bac kuna makundi mengine ya hatari zaidi yenye msuguano wa madaraka ambayo ni hatari kwa taifa
 
Kuna siku niliota ndoto Lowassa kusababisha vita kwa uroho wa madaraka,chungeni sana makundi yaliyoko ccm kwani tayari yameligawa taifa hadi sasa.Tumebaki kushuhudia udini ukikithiri but yote ni matokeo ya makundi ndani ya CCM ila CUF na CHADEMA wamekuwa jalala la visingizio vya kuwagawa Watanzania.Hakika nawaambieni,makundi yaliyoko CCM ni zaidi ya chama cha siasa.Ukipima ukimya wa Nape hivi sasa na kauli yake ya mwaka jana kwamba Rais hawezi kutoka kaskazini basi ujue hakuna chama hatari kwa sasa kama CCM...Walevi wa uccm hawayaoni haya,ila walevi wa Utanzania.Simtaki Membe wala Lowassa ila naitaka Tanzania ambayo inavurugwa na makundi ya CCM.

RADII umeisoma hiyo? Mtakosa sana usingizi na kufanya mambo yenu kwa hofu ya CHADEMA mchawi mmnae nyie wenyewe kwa tamaa zenu za madaraka halafu mmekalia kukodoa macho kwa wenzenu khallaghabaho endeleeeni tu jinsi mnavyopasuka Chadema inachukua nchi
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

Wewe na mafisadi wenzako pamoja na familia zenu ndio mnaokula asali na maziwa kwa amani tele, lakini siyo watanzania tunaoshuhudia mauaji ya raia wasio na hatia yanayofanywa na polisi, lakini pia mateso ya Dr. Ulimboka chini ya utawala dhalimu wa ccm.
 
Mkuu,
Nashukuru kwa kunifungua macho; kumbe kuna utaratibu wa vyama kuwagawia wanachama wao vitu mbali mbali katika msimu huu wa sikukuu?

Kwa hiyo nawe uko hapo Lumumba unajidai ni dalali wa magari na kuweka ribiti hadi kwenye taa, kumbe nawe kuna mfuko wa viroba unausubiria?
Na hii baridi kamanda taratibu unajifyonzea viroba vyako vya ZED na Tyson. Dr Slaa kawapatia sana.
 
RADII umeisoma hiyo? Mtakosa sana usingizi na kufanya mambo yenu kwa hofu ya CHADEMA mchawi mmnae nyie wenyewe kwa tamaa zenu za madaraka halafu mmekalia kukodoa macho kwa wenzenu khallaghabaho endeleeeni tu jinsi mnavyopasuka Chadema inachukua nchi
wewe hujui kusoma kabisa huyo Jamaa kaandika alikuwa anaota kitu ambacho hakipo na aliposhituka usingizini akagundua sio kweli. Hapa tunaongelea kundi la uasi la PM7 na makundi menzake ndani ya chadema ambayo yanashambuliana live na kuwa na mikakati mibovu ya kutekeleza nje ya katiba ya chadema
 
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz

Zamani nilidhani na wewe ni kati ya watu wenye busara, kumbe sivyo? Inawezekana una busara ila unajaribu tu kuganga njaa. Njaa mbaya bwana, chezea njaa weye!!!!! Eti CUF ina wabunge wengi!!!!!!

Tiba
 
Nimegundua tena magamba yapo mpk kwenye JF hii ni hatari. Lakini haka ni kagamba na wachangiaji walionitangulia wameweza kukagundua. Goood.....
 
ccm imetudhulumu mengi sana,nasisi bado tu twaitizama??
tumeshindwa kabisa kuichukulia hatua,,tuna kesi ya kujibu kwa mungu kwa kuiacha ccm madarakani hadi sekunde hii
nchi kuongozwa na wehu matokeo yake ni haya ya kupata vijana mbumbumbu kama hawa
 
wewe ndio zero kabisa uasi wowote huanzia ndani ya chama ulitaka uanzie somalia. Jifunze hata kupitia historia@ kama chadema kuna PM7 ujue bac kuna makundi mengine ya hatari zaidi yenye msuguano wa madaraka ambayo ni hatari kwa taifa

Sawa mkuu umeishatimiza wajibu, Nape ameiona post yako, wahi Lumumba ukavute book mbili!!!

Tiba
 
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz

we ----- tanzania ya leo c ile ya mwaka 47 mlokuwa mkiwadandanya watz wakasema yes, ati nasikia 80% ya wanaccm wanaume mlioko nje ya nchi mmeolewa, isje kua c wewe le mutuz bali aya maneno aya kifedhuli ni ya mume wako.
 
PPPPPOOOOOSSSSSHHHHHOOOOO Radii posho hizo ndio zinasababisha msifanye kazi za maendeleo tangia asubuhi mko kwenye computer kupambana na Chadema? Elewa walioko mbali na mtandao ni zaidi 98.asilimia na wenye access ni 2 asilimia tu fanyeni kazi Nguvu ya mabadiliko ni kubwa kuliko unavyofikiria
 
Back
Top Bottom