CHADEMA itaitumbikiza Nchi katika UASI na Vurugu

Huu ni uambukizo wa siasa za kina nape,mwigulu.,'mtu anatapika',anaropoka halafu anaanza kufikiri!mwisho ni kujitetea kwa hoja nyepesi na chakavu kabisa!hebu tufikiri kisasa si kukaa kwenye vivuli vya watu walioshiwa uoni!
 
Mbona Musa aliwahi kumuua Mmisri na kukimbia ila huyohoyo ndiye aliyechaguliwa na Mungu kuwakomboa wana wa israel toka Misri.
Hivyo ndivyo Dr Slaa alivyoteuliwa.
kwahiyo imeandikwa wapi kuwa ataongoza ukumbozi? Tusitoke nje ya mada hebu turudi kwenye Agenda ya makundi ndani ya CDM kukusanya fedha nje ya ruzuku ya chama kwa ajii ya kujiendesha; je walikuwa wanapanga hivyo kwa manafaa ya nani?
 
Makundi yaliyoko Chadema niya hatari sana sana; makundi yana mipango yakukusanya fedha nje ya chama; Makundi yana viongozi wenye majina hatari kama Cobra na Mdude@ huo ni upande mmoja wa shilingi bado kuna kundi jingine hilo ambalo nitalianika hadhari nikikamilisha ushahidi lakini kwa dondooo linaratibiwa na yule kinara wa m4c

Sio hatari kwa nchi hata chembe, ila ni hatari kwa ccm na ndio maana kila siku mnaibuka na jipya halikai linapotea, mtahaha sana term hii
 
ha haa ha!!
Vipi yule mwanajeshi wenu mmepelekea chakula jela?
MKUU Ritz kumbe wana chadema wanaipenda PM7 na mpango wake wa kukusanya fedha nje ya chama na kuendesha harakati zake. Si muoni Cobra akija kukanusha hapa
 
ha haa ha!!
Vipi yule mwanajeshi wenu mmepelekea chakula jela?

Mkuu,

Mbona unasema ni mwanajeshi wetu? Mara ngapi kutokana na ukuu na umaarufu wako nawe kuna watu wamepiga picha na wewe? Kama pale Soko la Mitumba Iringa ulipofanya mkutano ili walau upate audience ya wauza mitumba na wanunuzi? Si kuna watu walipiga picha na wewe? Mbona hatukusema ni 'watu wenu'?

Yule bwana kaomba kupiga picha na Makamanda waliokuwa wanahutubia; tena kapiga picha na kila mmoja. Kuna aliyopiga na Heche. Na Lema, n.k.

BTW - hayuko jela mkuu. Yuko rumande (kuna tofauti kati ya jela/jail na rumande/remand). Fanya hima upate kikombe mkuu. Hali yako ni mbaya. Au kutoka Lumumba hadi Gongolamboto kwa swahiba wako chama ni mbali?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Radii,
Tunashukuru kwa kutufahamisha.

Mkuu Ritz kama kuna kundi Haramu la PM7 ambalo lina mkakati wa kukusanya fedha nje ya ruzuku ya Chadema ujue upande wa Pili kutakuwa na kundi haramu zaidi ambalo lenyewe litakuwa linamkakati wa kukusanya Silaha. Watanzania tuwe makini
 
[QUOTE=Ahsante kwa kumpa ukweli wake huyo *****,hilo kundi analifahamu yeye na hao wenzake waliopewa hela na ccm wakidhani chadema ni chama cha kifisadi ambacho viongozi wake wanafikiria kwa matumbo kama ilivyo ccm,cdm ni chama makini na huo uchoko wenu utatokomea kama povu la sabuni pahala penye upepo mkali.
 
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz
 
Kuna siku niliota ndoto Lowassa kusababisha vita kwa uroho wa madaraka,chungeni sana makundi yaliyoko ccm kwani tayari yameligawa taifa hadi sasa.Tumebaki kushuhudia udini ukikithiri but yote ni matokeo ya makundi ndani ya CCM ila CUF na CHADEMA wamekuwa jalala la visingizio vya kuwagawa Watanzania.Hakika nawaambieni,makundi yaliyoko CCM ni zaidi ya chama cha siasa.Ukipima ukimya wa Nape hivi sasa na kauli yake ya mwaka jana kwamba Rais hawezi kutoka kaskazini basi ujue hakuna chama hatari kwa sasa kama CCM...Walevi wa uccm hawayaoni haya,ila walevi wa Utanzania.Simtaki Membe wala Lowassa ila naitaka Tanzania ambayo inavurugwa na makundi ya CCM.
 
Radii inaonekana llimekukuna sana au limekustua sana,yote yanawezekana kwani hata vikundi vyote vilivyopigania ukombozi wa nchi zao popote duniani hawakuwa na pesa ila walichangiwa na wenzao waliokuwa wakipigania ukombozi kama wao,Ila hawa wa Chadema ni waasi wanaotumiwa na Viongozi wa Ccm kuanzisha fujo ndani ya chama ili kukidhoofisha sababu wameona kinatishia uongozi wao wa kidhalimu ndio maana wanatumia njia za mkato kufadhili kikundi hicho wakina Mwigulu ili kuanzisha fujo ndani ya chama lakini wamewahiwa wametambuliwa mapema na hata wanaowafadhili wanajulikana na wee ukiwa mmoja wao lakini chama kinasonga mbele,Walioona kwamba mbinu zao chafu zimegunduliwa kama Eddo wa Mbeya na huyu wa Tanga tayari wameshakimbia kwenda kwenye vyama vilivyokuwa vinawafadhili wafanye vurugu MTASHINDWA TU NA HILA ZENU
 
Mkuu,

Mbona unasema ni mwanajeshi wetu? Mara ngapi kutokana na ukuu na umaarufu wako nawe kuna watu wamepiga picha na wewe? Kama pale Soko la Mitumba Iringa ulipofanya mkutano ili walau upate audience ya wauza mitumba na wanunuzi? Si kuna watu walipiga picha na wewe? Mbona hatukusema ni 'watu wenu'?

Yule bwana kaomba kupiga picha na Makamanda waliokuwa wanahutubia; tena kapiga picha na kila mmoja. Kuna aliyopiga na Heche. Na Lema, n.k.

BTW - hayuko jela mkuu. Yuko rumande (kuna tofauti kati ya jela/jail na rumande/remand). Fanya hima upate kikombe mkuu. Hali yako ni mbaya. Au kutoka Lumumba hadi Gongolamboto kwa swahiba wako chama ni mbali?

Mkuu haya nenda Kinondoni Manyanya Makao Makuu ya Chadema kachukue mfuko wako wa viroba na hii baridi.

CC Chilisosi.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani
Propaganda bana.. watanzania leo wana akili sio kwa kulishwa maneno kama unavyofikiri, hiyo "news alert" yako ni mufilisi. Hakuna asiyejua hatari inayotukabili pindi ccm ikirejea madarakani chini ya mfumo ilio nao, deni la taifa litapaa, hali itazidi kuwa ngumu kwa kiwango cha kutisha.
 
Mkuu haya nenda Kinondoni Manyanya Makao Makuu ya Chadema kachukue mfuko wako wa viroba na hii baridi.

CC@Chilisosi.

Mkuu,
Nashukuru kwa kunifungua macho; kumbe kuna utaratibu wa vyama kuwagawia wanachama wao vitu mbali mbali katika msimu huu wa sikukuu?

Kwa hiyo nawe uko hapo Lumumba unajidai ni dalali wa magari na kuweka ribiti hadi kwenye taa, kumbe nawe kuna mfuko wa viroba unausubiria?
 
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz

wabunge wengi waliopatikana kwa kuchakachua,hv unawezaje kujivunia wabunge 270 wanaokimbizwa na wabunge 45,thamani ya mbunge mmoja wa cdm ni sawa na wabunge 20 wa ccm
 
Bila shaka wewe hilo kundi una lifahamu vizuri sana! Sina shaka wewe ni mmoja wao na unacho fanya hapa ni maigizo refer to your comments!

Hivi kuna kitu kinaweza kuleta vurugu zaidi ya wizi wa rasmali za nchi hasa twiga wetu?

Hivi kuna kitu kinaweza kuleta vurugu kwenye nchi yetu zaidi ya wizi wa pesa zinazo tokana na kodi zetu na kuzificha nje ya nchi?

Hivi kuna kitu kinacho weza sababisha uasi na vurugu zaidi ya wizi wa wazi wazi unaotaka kufanywa na Maccm kwenye nishati ya gas kutoka mtwara kwa kisingizio lazima iende dar?

Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani
 
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz
Daah!! kadri siku zinavyokwenda ndo unazidi kujishusha hadhi kwa kauli zako,you are displaying your true colours!
 
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz
Kwa hili nimekudharau sana maana huwezi kuidanganya nafsi yako.. nani asiyejua jinsi ccm ilivyo kansa katika nchi hii, nani asiyejua ubora wa wabunge wachache wa cdm ndani ya vikao vya bunge, pia ni nani asiyejua udhaifu wa cuf bara eti uilinganishe na cdm..? Endelea kuidanganya nafsi yako itakaposhiba utatapika maana ukweli unaujua.
 
wabunge wengi waliopatikana kwa kuchakachua,hv unawezaje kujivunia wabunge 270 wanaokimbizwa na wabunge 45,thamani ya mbunge mmoja wa cdm ni sawa na wabunge 20 wa ccm
Wakiongozwa na Zitto, Shibuda na Arfi Said
 
- chadema ni hatari kwao wenyewe kwa wenyewe, hawajawahi kuwa tatizo kwa ccm, chama chenye wabunge 45 kinakuwaje tatizo kwa chama tawala miaka 51 na chenye wabunge 257?

- kwenye hili ccm tujirekebishe kidogo, tumewapaa kichwa sana hawa chadema bila sababu ni chama kidogo sana cha siasa tena afadhali hata cuf wana wabunge wengi, hawa hawana lolote bungeni ccm tupunguze kuwapa kichwa hawa, na kuanzia sasa tuhakikishe kama kuna kikao chochote baina ya ccm na upinzani vinakuja vyama vyote vya upinzani, kama wanataka kuja iliku lazima kuleta wapinzani wote ni makosa yetu ccm tumewapa sana vichwa hawa chadema ni wadogo sana, hata tukiwaachia arusha na kilimajaro bado ni wadogo sana!

Le mutuz

Na wewe uliandika humu kuwasifu uliowaita "majembe" ya ccm online kwa "kuiweza" chadema.Kwa nini chadema we mzee?
 
Back
Top Bottom