CHADEMA itaitumbikiza Nchi katika UASI na Vurugu

Wakuu kama nitakuwa nimekosea nielimishwe lakini nimepitia thread nyingi humu zinaongelea kundi haramu la PM7 ndani ya Chadema na wengi humu ndani wamefikia hatua ya kuomba uongozi wa Chadema uwafukuze uanachama wanachadema wanaounda kundi hilo mfono thread ya Updates za mkutano wa Bavicha ambayo kwasasa ipo current.
Mimi kama mchambuzi nimekuja na hisia zangu za mambo yanaweza kujitokeza siku za usoni kama ndani ya chama kama kunaanza kuundwa makundi ya uasi yenye mlengo wa kukusanya fedha nje ya ruzuku za chama. Tukumbuke methali inayosema muonja asali

Nawewe unajiita mchambuzi - hahaaahah, kwanza mambo ya chadema yana kuhusu nini? tuko na Nyie mpaka kieleweke..
 
Ukimaliza kuharisha hapa nenda kwenye thread ya john mnyika wenye mswada wa vijana utoe maoni yako kama utauelewa,nakushauri unywe frajili 4 kabla ya kuusoma usije ukaharisha!
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

Ondoka shetani kwa kuwa mawazo yako si ya Mungu bali ya wanadamu...Hata mkaja na ngonjera 1000, saa ya ukombozi inakuja... Na amani unayoipigia chapuo haitakuwepo kwenu mnaoifilisi nchi kwa ufisadi na mahala penu patakuwa gerezani... Utapataje amani wakati huo ilhali utakuwa gerezani?!
 
Radii Great thinker na hapo ndipo kathibitisha tayari kuwa CHADEMA italeta uasi mwaka 2015!!Yes!He is great thinker too!

Radi ni vipi team ya Lowasa na Mama Shelukindo unahisi hawataleta uasi dhidi ya team ya Membe na Mama Salma Kikwete(Kumbuka Mama Salma Kikwete ndiye alikuwa mpiga debe mkuu wa Membe ashinde NEC-CCM mwaka jana)

kwahiyo kwa akili yako hapo umeona kuna uasi ama vurugu kwa Mama shelukindo kumuunga Mkono Lowasa kugombea uraisi.
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa cdm ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwaTanzania. kuwepo kwa makundi haya ambayo yanaviongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. kama kwasasa wanavita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi c itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yacje kutukuta ya m23 ya congo.

Mungu Ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

Utayari wa mabadiliko uliopo mioyoni mwa watanzania wa sasa ni mpango wa Mungu mwenyewe na si Chadema bali Chadema kimetunukiwa kuongoza mabadiliko hayo hatimaye watanzania tupate kuiona ile nchi ya asali ma maziwa.
Hivyo kupitia CHADEMA 2015 tunamuaga FIRAUNI na kuingia nchi ya ahadi.

wewe kwetu ni kama changamoto tu huwezi kubadili chochote ktk fikra zetu,
huna tofauti na wale wajumbe wawili waliotumwa kwenda kuichunguza ile nchi ya ahadi kama inafaa na waliporudi wakasema huko kuna watu wakubwa sana watauua wote, na Mungu akawaangamiza wajumbe wale kwa kuwa wanawatia hofu wana wa Israeli ili wasiifikie nchi yao ya ahadi.
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

Asbh nilikuambia umepigwa pini kwenye masaburi ndo maana unaweweseka.Namshangaa mod wa leo kutokupa ban ya maisha kwa ku2haribia jukwaa
 
je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari
Mmeanza kukiri taratibu kuwa Jeshi, Polisi mnalitumia kinyume na sheria kuwa jeshi ni la watanzania na siyo la chama...
 
:kev: NADHANI KUNA HAJA YA BAADHI YA MEMBERS KUPIMWA AKILI KABLA YA KURUHUSIWA,KUPOST MADA.KAMA UMETUMWA NA MAGAMBA WAAMBIE WAAMBIE WAANZE KUCHANGISHA PESA YA KUHUDUMIA MSIBA 2015 MAPEMA KABISA TUSIJE SUMBUANA MICHANGO YA SANDA MUDA UKIFIKA
 
Asbh nilikuambia umepigwa pini kwenye masaburi ndo maana unaweweseka.Namshangaa mod wa leo kutokupa ban ya maisha kwa ku2haribia jukwaa
Kuna Mod ni wanaCCM, unaweza kufanya kosa sawa na la mwana CCM ukashangaa umekula Ban huku yeye akiachwa...Je umeripoti lakini?
 
Thread ya hovyo toka kwa mtu wa hovyo, wa chama cha hovyo imeandikwa kihovyo hovyo!
 
Chadema wataleta vita ya majimbo.wameanza na mtwara.
 
Radii huo uasi uliousema ulimaanisha nini? Hata kama kuna makundi ndani ya Chadema umeyaona hayo yataleta uasi mbona makundi yaliyomo ndani ya Ccm hujayaongea? Kila uchao mnaiota Chadema tu tafuteni la kuongea na makundi yaliyomo CHADEMA waachieni wenyeqe mbona wao hawaongei makundi yaliyoko CCM? Kssoro waziona zilizoko kwa mwenzio kwako umezikalia ni umbea huo mtoto wa kiume utasutwa
Makundi yaliyoko Chadema niya hatari sana sana; makundi yana mipango yakukusanya fedha nje ya chama; Makundi yana viongozi wenye majina hatari kama Cobra na Mdude@ huo ni upande mmoja wa shilingi bado kuna kundi jingine hilo ambalo nitalianika hadhari nikikamilisha ushahidi lakini kwa dondooo linaratibiwa na yule kinara wa m4c
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee.

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama CHADEMA ambavyo tayari vimeshaanzisha makundi ya uasi ambayo tunaweza kuyafananisha na M23. Kundi ambalo lipo kwasasa CHADEMA ni kundi la PM7 ambalo linakinzana na kundi jingine ambalo jina lake litawekwa hapa badae ambalo linaundwa na vinara wa kaskazini mwa Tanzania. Kuwepo kwa makundi haya ambayo yana viongozi wake wa siri kama Cobra, Mdude ni ishara ya amani ya nchi yetu kuanza kupotea taratibu.

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya CHADEMA wakashinda uchaguzi wa 2015 kutatokea vita ya kugombania madaraka kati ya makundi yanayokinzana hali ambayo italitumbukiza taifa katika machafuko. Kama kwa sasa wana vita ya wenyewe kwa wenyewe je wakikabidhiwa Jeshi na polisi si itakuwa ni hatari; watanzania tuwe makini yasije kutukuta ya M23 ya Congo.

Mungu ibariki Tanzania tuepushe na makundi yanayogombea madaraka kutoka vyama vya upinzani

None sense
 
Acha kulia lia kwa Mods JF siyo mali ya Chadema.

Heri ya Mwaka Mpya Mkuu. Ni kweli JF si mali ya CHADEMA; lakini ina rules na regulations ambazo kila mwanachama anatakiwa kuzifuata na kuzishika.

Pole na hali ya hewa mkuu wangu; maana najua 'mnyama atatoka leo msituni'. Pasha chango japo na gahawa
 
Hakika hakika utakuwa unaota mchana kweupe. Niambie imeandikwa wapi? nchi haiwezi kuongozwa kiukombozi na M2 ambaye ni muasi wa kanisa
Utayari wa mabadiliko uliopo mioyoni mwa watanzania wa sasa ni mpango wa Mungu mwenyewe na si Chadema bali Chadema kimetunukiwa kuongoza mabadiliko hayo hatimaye watanzania tupate kuiona ile nchi ya asali ma maziwa.
Hivyo kupitia CHADEMA 2015 tunamuaga FIRAUNI na kuingia nchi ya ahadi.

wewe kwetu ni kama changamoto tu huwezi kubadili chochote ktk fikra zetu,
huna tofauti na wale wajumbe wawili waliotumwa kwenda kuichunguza ile nchi ya ahadi kama inafaa na waliporudi wakasema huko kuna watu wakubwa sana watauua wote, na Mungu akawaangamiza wajumbe wale kwa kuwa wanawatia hofu wana wa Israeli ili wasiifikie nchi yao ya ahadi.
 
Mkuu Radii,
Tunashukuru kwa kutufahamisha.
 
Last edited by a moderator:
Hakika hakika utakuwa unaota mchana kweupe. Niambie imeandikwa wapi? nchi haiwezi kuongozwa kiukombozi na M2 ambaye ni muasi wa kanisa

Mbona Musa aliwahi kumuua Mmisri na kukimbia ila huyohoyo ndiye aliyechaguliwa na Mungu kuwakomboa wana wa israel toka Misri.
Hivyo ndivyo Dr Slaa alivyoteuliwa.
 
Acha kulia lia kwa Mods JF siyo mali ya Chadema.

Naona monitor unafuatilia vijana wako wanavyofanya kazi, hongereni kwa kutekeleza ilani ya secretarieti mpya na KUTELEKEZA mliyowaahidi watanzania
 
Tatizo nyie akina mchange mna shida sana utoto unawasumbua
 
Heri ya Mwaka Mpya Mkuu. Ni kweli JF si mali ya CHADEMA; lakini ina rules na regulations ambazo kila mwanachama anatakiwa kuzifuata na kuzishika.

Pole na hali ya hewa mkuu wangu; maana najua 'mnyama atatoka leo msituni'. Pasha chango japo na gahawa

ha haa ha!!
Vipi yule mwanajeshi wenu mmepelekea chakula jela?
 
Back
Top Bottom