FIDIVIN,hapo umekosea watu wanafanya kazi na wanalipa kodi,hata asie na ajira wanalipa kodi ,watanzania wote tunalipa kodi katika njia tofauti,lakini kuna kodi tunazolipa kila mtu kila unaponunua mahitaji,achilia mbali wafanyakazi wanaolipa kodi ya PAYE.
Lakini swali linabaki palepale kwanini tunadharauliwa hivi katika anga za kimataifa?mimi binafsi nakubaliana na huyu jamaa aliesema wa-Tanzania ni vilaza,maana mambo mengine yanayopelekea tudharaulike yanatokana na watanzania wenyewe kushabikia mi viongozi inayotoka chama kinachofuga mafisadi,milafi ya pesa, inaendekeza rushwa na wala haina jipya katika uongozi wao,na inaliongoza taifa kwa mazoea, miviongozi haina creativity.
Viongozi inawaza wizi tu,haina fikra mbadala,sasa ninapokubali watanzania ni vilaza ni kuendelea kuichagua hii mijitu au ni kuendelea na chama cha magamba.hata wanaoijiita wamesoma hapa TZ tena hao ndo vilaza wakubwa, hawana jipya anaebisha aniambie amefanya nini au anafanya nini kuiondoa nchi hii katika hali mbaya ya umasikini na ufisadi unaoimaliza nchi?kazi kujipendekeza tu wala hawajiamini hata kidogo na ni waoga wa maisha.
leo hii tunadharaulika wakati watu wanaosababisha wapo wala hakuna juhudi za makusudi za kutaka kuondoka huko,na bado tutasikia nchi nyingine itaibuka na lake.