Source: Mimi mwenyewe mwana CHADEMA
Naungana na Israel Kuwa Tanzania kama nchi haina maana kabisa, ni mavi matupu hivyo inanuka sana. Na hii ni faida ya kuwa na viongozi wasio na dira,Rasilimali zote tulizo nazo hazitusaidii kila siku kuombaomba tu.
.Sidhani kama wamekosea waizrael ingekuwa enzi za Mwalimu wasingethubutu kuongea hayo!Ni matokea ya uongozi legelege wa JK
Israel wako sahihi. Si wao waliotudhalilisha bali ni kukosa kwetu akili ndiko kunakotufanya tudhalilike duniani.
Israeli walichosema ni ukweli mtupui, Rais wetu kila siku anazunguka akiomba omba misaada (hadi chandarua JK anaomba), kwa misingi hii kwa nini tusitukanwe?
Assume wewe mwana JF kila siku jamaa wako anakuomba msaada (mara pesa ya kula, pesa ya mtoto shule, watoto wangu wanaumwa), mtu wa namna hii utahacha kumzarau?
Naungana na wachangiaji wengine inabidi C.C.M watuombe radha watanzania kwa sera zao mbovu, mikakati yao mibovu ndani ya miaka hamsini ya uhuru.
Alafu wananiuzi na msemo wao eti "TUMEDHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE" Mmeweza nini C.C.M ninyi? Hicho mlichoweza mbona hatukioni?
Huu ni muda watanzania wenzangu tuidai Tanganyika yetu.