CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

Nazungumza kwa hisia kali sana na hasa baada ya kugundua tumepoteza muda sana wa kupigania chama dhidi ya mafisadi lakini bila ya manufaa yoyote.
Wana CHADEMA asilia tunatoa tamko hili;
TAMKO LA CHADEMA ASILIA NA MWENENDO WA KISIASA NCHINI.
1)Ni ukweli usiopingika kuwa tutakwenda kushindwa uchaguzi huu. Hivyo tujiandae kisaikolojia kukabiliana na matokeo hayo.
2) Tunahitaji kufanya mabadiliko mara baada ya uchaguzi kwa viongozi na makapi yote tuliyoyakaribisha ukawa.
3)Mara baada ya uchaguzi tutavunja rasmi UKAWA na kila chama kirudi kilipotoka na kujiunda upya.
4) Viongozi waliotuingiza kwwnye dili la kuwaleta ukawa ni lazima tuwachukulie hatua warudishe pesa walizopewa na tutawafukuza.
5) Tunakwenda kuwaomba Dr Slaa na Prof Lipumba warudi kuongoza jahazi. Kwani mwenyekiti bila wewe mambo yameshindikana. Hana fikra pevu.
6) Tutairudisha ajenda ya ufisadi mara baada ya mafisadi kusepa baada ya wao kumaliz mission yao.
7) Wote waliogeuka na ku support mafisadi tutawataka wajitatathmini na waachie ngazi kama hakuna maelezo ya kutosha

Umepishana na gari la mishahara
 
mtoa post acha figisu figisu utachelewa sana mbona Obama mwafrika lakini ni rais wa Marekani?
 
Utakufa kwelii kwa dili zenu hizi kuigiza
 
Attachments

  • 1443547549616.jpg
    1443547549616.jpg
    56.2 KB · Views: 63
Wakuu napenda kuomba wale wapiganaji MAKAMANDA halisi wa CHADEMA tuandae mapokezi makubwa kumpokea shujaa wetu mzee wetu kipenzi Dr W. Slaa atakaporudi kutoka safari yake ya Marekeni. Dr Slaa ameonyesha msimamo unaopaswa kuheshimiwa na kila mpenda maendeleo anayependa kupambana na ufisadi wa nchi hii. Tunaomba kwa yeyote mwenye taarifa lini shujaa wetu anatarajia kurudi atujuze ili tuweze kumwandalia mapokezi kwa kumkataa mwizi aliyejaribu kumhonga milioni 500 aliyepokewa na viongozi wa UKAWA. Na sasa wananchi wamesema hapana. Bado tuna imani kuwa Dr Slaa anaweza kutuletea mabadiliko ya kweli.

BABA UKIWA HUKO MAREKANI NAJUA UNAPITA HAPA JF, Pole kwa yote na tunaomba utusamehe kwa yaliyotokea kwaani tulishindwa kuwa na wewe wakati ukisurubiwa na mwenyekiti wetu, wakati ukidharirishwa na Mshenga wa ufufuo na uzima kwenye vyombo vya habari juu ya maisha ya familia yako, ukweli tulizidiwa na nguvu za mwenyekiti na mgombea urais. UTUSAMEHE.

Tunajua umekisaidia chama chetu kukifikisha hapa kilipo, tunatambua mchangoi wako kuwainua baadhi ya vijana kama akina Mnyika na wengine kuwa makamanda shupavu na shujaa, tunatambua madhara uliyoyapata ukipambana na dora kwa niaba ya chama, mfano ulipigwa wewe na mke wako na kuvunjwa mkono, na majuzi mlinzi wako alikamatwa kwa kuwa na mpango wa kukudhuru, hatutaki kuamini kama mpango ule kuwa ulikuwa umeandaliwa na waliotajwa, nafikiri unahitaji kuona mbali na kutambua adui zako. Tunapenda kukupa pole kwaani wali walinzi tulioambiwa uliletewa na mshenga walikuwa na program gani, lkn yote na yote MWENYEZI MUNGU ndiye anayepanga kila kitu.

Karibu tena Nyumbani tujenge nchi yetu, kwaani nchi hii ni yetu sote, nje ya CHADEMA NA UKAWA kuna maisha ya siasa. Hivyo hatuoni sababu ya kuachana na siasa wakati bado tunakuhitaji. Najua ulikuwa na maono ya kulitimikia taifa ukiwa kma Rais, lkn unaweza kulitumikia taifa kwa njia nyingine km kuanzisha chama cha siasa au kujiunga na kijana wako ZITTO mkaunganisha nguvu ili tukifute chama kilichokiuka misingi yake.

ALUTA CONTINUA.
 
Mwacheni babu wa watu alishasema hataki siasa tena anajilia mihogo yake na mchumba wake.
 
nenda kampokee wewe na nkeo. sisi tunaendelea na maisha yetu.
 
Nendeni mkalale na LOWASSA wenu, endeleeni kuzungusha mikono mabadirikooooooo. pambafu mabadiriko yaletwe na LOWASSA fisadi ndiyo maana tuliungana na CCM japo hatuitaki ili kuikomboa nchi kuingia mikononi mwa wezi, sasa mission is complete tunarudisha majeshi yetu mstari wa mbele kuendelea na mapambano. tunasema aluta continua
 
Unaongea kama mganga wa kienyeji. Illogical.
 
Mtoa thread ana tatizo kubwa la kuelewa kuwa yupo duniani na wala si mbinguni. Kaisome namba kwanza. Huyo jamaa yenu mpeleke kwenu ili muimarishe vyama vyenu ili ktk chaguzi zijazo msitumie dola nyingi kwa hasara ya walipa kodi.
 
Yeye anakula misha na mchumba wake weye waja na mihemuko na kihere mkuno chako
 
Wakuu napenda kuomba wale wapiganaji MAKAMANDA halisi wa CHADEMA tuandae mapokezi makubwa kumpokea shujaa wetu mzee wetu kipenzi Dr W. Slaa atakaporudi kutoka safari yake ya Marekeni. Dr Slaa ameonyesha msimamo unaopaswa kuheshimiwa na kila mpenda maendeleo anayependa kupambana na ufisadi wa nchi hii. Tunaomba kwa yeyote mwenye taarifa lini shujaa wetu anatarajia kurudi atujuze ili tuweze kumwandalia mapokezi kwa kumkataa mwizi aliyejaribu kumhonga milioni 500 aliyepokewa na viongozi wa UKAWA. Na sasa wananchi wamesema hapana. Bado tuna imani kuwa Dr Slaa anaweza kutuletea mabadiliko ya kweli.

BABA UKIWA HUKO MAREKANI NAJUA UNAPITA HAPA JF, Pole kwa yote na tunaomba utusamehe kwa yaliyotokea kwaani tulishindwa kuwa na wewe wakati ukisurubiwa na mwenyekiti wetu, wakati ukidharirishwa na Mshenga wa ufufuo na uzima kwenye vyombo vya habari juu ya maisha ya familia yako, ukweli tulizidiwa na nguvu za mwenyekiti na mgombea urais. UTUSAMEHE.

Tunajua umekisaidia chama chetu kukifikisha hapa kilipo, tunatambua mchangoi wako kuwainua baadhi ya vijana kama akina Mnyika na wengine kuwa makamanda shupavu na shujaa, tunatambua madhara uliyoyapata ukipambana na dora kwa niaba ya chama, mfano ulipigwa wewe na mke wako na kuvunjwa mkono, na majuzi mlinzi wako alikamatwa kwa kuwa na mpango wa kukudhuru, hatutaki kuamini kama mpango ule kuwa ulikuwa umeandaliwa na waliotajwa, nafikiri unahitaji kuona mbali na kutambua adui zako. Tunapenda kukupa pole kwaani wali walinzi tulioambiwa uliletewa na mshenga walikuwa na program gani, lkn yote na yote MWENYEZI MUNGU ndiye anayepanga kila kitu.

Karibu tena Nyumbani tujenge nchi yetu, kwaani nchi hii ni yetu sote, nje ya CHADEMA NA UKAWA kuna maisha ya siasa. Hivyo hatuoni sababu ya kuachana na siasa wakati bado tunakuhitaji. Najua ulikuwa na maono ya kulitimikia taifa ukiwa kma Rais, lkn unaweza kulitumikia taifa kwa njia nyingine km kuanzisha chama cha siasa au kujiunga na kijana wako ZITTO mkaunganisha nguvu ili tukifute chama kilichokiuka misingi yake.

ALUTA CONTINUA.

Mimi mwenyewe dr slaa ni shujaa wangu lakini huu upuuzi uliondika hapa sikuliani na wewe sie wakristo tunaojua maandiko imeandikwa kama mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie la kushoto na samehe mara saba sabini sasa wewe mlalia malipizi hiyo ni kazi ya shetani ya kale yamepita tugange yajayo.
 
Back
Top Bottom