CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

Raisi anayeingia madarakani kwa kura zisizo zake...., atatumia muda mwingi kuwalipa fadhila walio mwingiza Ikulu . . .
Utawala uliogawanyika makundi makundi hauwezi kusimama . .
 
Raisi anayeingia madarakani kwa kura zisizo zake...., atatumia muda mwingi kuwalipa fadhila walio mwingiza Ikulu . . .
Utawala uliogawanyika makundi makundi hauwezi kusimama . .

Utaishia hayo, udiwa sio zake, wabunge sio wake? Urais sio zake
,hakika mungu akunyime mengine lakini akupe uwezo wa kuelewa mambo,vinginevyo itakuwa kama mengi aliyekuwa aliyekuwa anajificha KWENYE viti ukumbi wa diamond
 
ZZk alishasema Sllaa alichangia kufukuzwa kwake cdm hivyo hataki kusikia anahamia kwenye chama cha waha.
 
Shujaa wa NYUMBU wasioishi Mikumi wala Serengeti
 
Wakuu napenda kuomba wale wapiganaji MAKAMANDA halisi wa CHADEMA tuandae mapokezi makubwa kumpokea shujaa wetu mzee wetu kipenzi Dr W. Slaa atakaporudi kutoka safari yake ya Marekeni. Dr Slaa ameonyesha msimamo unaopaswa kuheshimiwa na kila mpenda maendeleo anayependa kupambana na ufisadi wa nchi hii. Tunaomba kwa yeyote mwenye taarifa lini shujaa wetu anatarajia kurudi atujuze ili tuweze kumwandalia mapokezi kwa kumkataa mwizi aliyejaribu kumhonga milioni 500 aliyepokewa na viongozi wa UKAWA. Na sasa wananchi wamesema hapana. Bado tuna imani kuwa Dr Slaa anaweza kutuletea mabadiliko ya kweli.

BABA UKIWA HUKO MAREKANI NAJUA UNAPITA HAPA JF, Pole kwa yote na tunaomba utusamehe kwa yaliyotokea kwaani tulishindwa kuwa na wewe wakati ukisurubiwa na mwenyekiti wetu, wakati ukidharirishwa na Mshenga wa ufufuo na uzima kwenye vyombo vya habari juu ya maisha ya familia yako, ukweli tulizidiwa na nguvu za mwenyekiti na mgombea urais. UTUSAMEHE.

Tunajua umekisaidia chama chetu kukifikisha hapa kilipo, tunatambua mchangoi wako kuwainua baadhi ya vijana kama akina Mnyika na wengine kuwa makamanda shupavu na shujaa, tunatambua madhara uliyoyapata ukipambana na dora kwa niaba ya chama, mfano ulipigwa wewe na mke wako na kuvunjwa mkono, na majuzi mlinzi wako alikamatwa kwa kuwa na mpango wa kukudhuru, hatutaki kuamini kama mpango ule kuwa ulikuwa umeandaliwa na waliotajwa, nafikiri unahitaji kuona mbali na kutambua adui zako. Tunapenda kukupa pole kwaani wali walinzi tulioambiwa uliletewa na mshenga walikuwa na program gani, lkn yote na yote MWENYEZI MUNGU ndiye anayepanga kila kitu.

Karibu tena Nyumbani tujenge nchi yetu, kwaani nchi hii ni yetu sote, nje ya CHADEMA NA UKAWA kuna maisha ya siasa. Hivyo hatuoni sababu ya kuachana na siasa wakati bado tunakuhitaji. Najua ulikuwa na maono ya kulitimikia taifa ukiwa kma Rais, lkn unaweza kulitumikia taifa kwa njia nyingine km kuanzisha chama cha siasa au kujiunga na kijana wako ZITTO mkaunganisha nguvu ili tukifute chama kilichokiuka misingi yake.

ALUTA CONTINUA.

Hayakuwa maamuzi yake ni maamuzi ya hawara yake anayeitwa Mushumbusi
 
Niko tayari hata kesho, Rais wa moyoni mwangu
 
Makamanda wako CHADEMA tu wengine labda makamanda wa mende wa choo tena cha dampo
 
Ati Dr Slaa amepoteza sifa? Labda kwa wachaga tu. Dr Slaa kwa sasa ndiyo shujaa. Mmebaki na kinyesi chenu kinachotaka matokeo ya kuchongwa na Mkorea. Byebye Chadema@Ukawa natabiri tu miaka mitano ijao kuna chama strong cha wazalendo kinakuja. Wapiga dili mmefikia mwisho.
 
Hayakuwa maamuzi yake ni maamuzi ya hawara yake anayeitwa Mushumbusi

Usidanganye watu ni mpango maalumu uliandaliwa na pesa za Mafisadi ili kumkera aondoke. Mabilion alizochukua jamaa na mkwewe ndiyo hayo yamesababisha mafuriko yazuiwe na mikono
 
huyo muliomleta kaleta mabadiliko gani ya maana?tumeshindwa hata kuwaharibia CCM wa siwe na 2/3bungeni

Ungewaaribia CCM kivipi na tume hii, kwa katiba ipi??????!!

Kura zinaharibiwa kwa wakurugenzi wa halmashauri. Tumeona maeneo mengi wapinzani wakipokonywa ushindi kwa nguvu, za urais ndio usiseme
 
Ati Dr Slaa amepoteza sifa? Labda kwa wachaga tu. Dr Slaa kwa sasa ndiyo shujaa. Mmebaki na kinyesi chenu kinachotaka matokeo ya kuchongwa na Mkorea. Byebye Chadema@Ukawa natabiri tu miaka mitano ijao kuna chama strong cha wazalendo kinakuja. Wapiga dili mmefikia mwisho.

Hivi nyie ACT WAZALENDO ni lini mtaacha kuisakama chadema??!! Kwa matokeo mliopata mnaona fahari ipi??!! Hata majimbo ya kigoma yaliyokuwa upinzani mmeyaweka!!
 
huyo muliomleta kaleta mabadiliko gani ya maana?tumeshindwa hata kuwaharibia CCM wa siwe na 2/3bungeni

Unapojaribu kujipofusha fikra unashangaza sana, hebu tuambie 2010 Chadema ilikuwa na wabunge wangapi? Mwaka 2010 Chadema ilikuwa na halmashauri ngapi na sasa halmashauri ngapi? 2010 chadema ilikuwa na madiwani wangapi na sasa wangapi? 2010 Chadema walipata % ya kura na sasa % ngapi? Katika mazingira haya ya uchaguzi upinzani umejitahidi sana has a ukitilia maanani yanayoendelea Zanzibar.
 
Naamini Dr Slaa angesimama na Magufuli naona hata 20% asingechukua.pili viti vya ubunge hata 15 visingefika,angeshindwa na matokeo yake kutangazwa siku hile ya tarehe 26October.
 
Dr. Slaa ni mkatoliki mwenzetu na wakatoliki ndio privilage group hapa tz lazima apewe mapokezi ya nguvu. Pengo nae atakuwepo tujitokeze kwa wingi
 
Tatizo lenu mnaompinga Dr Slaa hamna akili kabisa. Hivi ninyi mlifikiri mabadiliko yanaletwa kwa kuzungusha mikono?? Mabadiliko yanaletwa na watu makini wenye mikakati makini na sera makini sio kuzungusha mikono hewani kama wendawazimu. Hakuna mtu makini aliyebakia CHADEMA anayeweza kuleta Mabadiliko. Mabadiliko ya kweli sasa yanaletwa na mtu makini John Pombe Joseph Magufuli Rais Mpya wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom