CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

Duh Dr ni sawa na askari aliyewatwanga risasi askari wake mwenyewe,ila sasa ana uhakika na ulaji wa kutisha Magufuli anaweza kumteua balozi muda si mrefu.
 
Nendeni mkalale na LOWASSA wenu, endeleeni kuzungusha mikono mabadirikooooooo. pambafu mabadiriko yaletwe na LOWASSA fisadi ndiyo maana tuliungana na CCM japo hatuitaki ili kuikomboa nchi kuingia mikononi mwa wezi, sasa mission is complete tunarudisha majeshi yetu mstari wa mbele kuendelea na mapambano. tunasema aluta continua
Mkuu, hujakatazwa kwenda kumpokea Dr na kumbebea Jose mabegi yake
 
Apokelewe na ccm hao unaowaita makamanda halisi unajitekenya ongozana na kikwete mpokee slaa
 
Nendeni mkalale na LOWASSA wenu, endeleeni kuzungusha mikono mabadirikooooooo. pambafu mabadiriko yaletwe na LOWASSA fisadi ndiyo maana tuliungana na CCM japo hatuitaki ili kuikomboa nchi kuingia mikononi mwa wezi, sasa mission is complete tunarudisha majeshi yetu mstari wa mbele kuendelea na mapambano. tunasema aluta continua

M@vi yako unafikir kwa kutumia kitundu cha nyuma ww
 
Wakuu napenda kuomba wale wapiganaji MAKAMANDA halisi wa CHADEMA tuandae mapokezi makubwa kumpokea shujaa wetu mzee wetu kipenzi Dr W. Slaa atakaporudi kutoka safari yake ya Marekeni. Dr Slaa ameonyesha msimamo unaopaswa kuheshimiwa na kila mpenda maendeleo anayependa kupambana na ufisadi wa nchi hii. Tunaomba kwa yeyote mwenye taarifa lini shujaa wetu anatarajia kurudi atujuze ili tuweze kumwandalia mapokezi kwa kumkataa mwizi aliyejaribu kumhonga milioni 500 aliyepokewa na viongozi wa UKAWA. Na sasa wananchi wamesema hapana. Bado tuna imani kuwa Dr Slaa anaweza kutuletea mabadiliko ya kweli.

BABA UKIWA HUKO MAREKANI NAJUA UNAPITA HAPA JF, Pole kwa yote na tunaomba utusamehe kwa yaliyotokea kwaani tulishindwa kuwa na wewe wakati ukisurubiwa na mwenyekiti wetu, wakati ukidharirishwa na Mshenga wa ufufuo na uzima kwenye vyombo vya habari juu ya maisha ya familia yako, ukweli tulizidiwa na nguvu za mwenyekiti na mgombea urais. UTUSAMEHE.

Tunajua umekisaidia chama chetu kukifikisha hapa kilipo, tunatambua mchangoi wako kuwainua baadhi ya vijana kama akina Mnyika na wengine kuwa makamanda shupavu na shujaa, tunatambua madhara uliyoyapata ukipambana na dora kwa niaba ya chama, mfano ulipigwa wewe na mke wako na kuvunjwa mkono, na majuzi mlinzi wako alikamatwa kwa kuwa na mpango wa kukudhuru, hatutaki kuamini kama mpango ule kuwa ulikuwa umeandaliwa na waliotajwa, nafikiri unahitaji kuona mbali na kutambua adui zako. Tunapenda kukupa pole kwaani wali walinzi tulioambiwa uliletewa na mshenga walikuwa na program gani, lkn yote na yote MWENYEZI MUNGU ndiye anayepanga kila kitu.

Karibu tena Nyumbani tujenge nchi yetu, kwaani nchi hii ni yetu sote, nje ya CHADEMA NA UKAWA kuna maisha ya siasa. Hivyo hatuoni sababu ya kuachana na siasa wakati bado tunakuhitaji. Najua ulikuwa na maono ya kulitimikia taifa ukiwa kma Rais, lkn unaweza kulitumikia taifa kwa njia nyingine km kuanzisha chama cha siasa au kujiunga na kijana wako ZITTO mkaunganisha nguvu ili tukifute chama kilichokiuka misingi yake.

ALUTA CONTINUA.

utakufa masikini ..jinga kabisa!mwenzio kimeshaeleweka we unag'ang'aa macho tu ...hakuna kazi ya bure..
 
Huyu alishapoteza sifa za uongozi. Anaendeshwa na mke wake hawezi kuwa na msimamo wake thabiti. Hata Mwalimu aliwahi kuonya watu kama hao!
 
Alisalitimi amgeuzi at the very critical time. Ni shujaa kwa wasiopenda mabadiliko
 
huyo muliomleta kaleta mabadiliko gani ya maana?tumeshindwa hata kuwaharibia CCM wa siwe na 2/3bungeni
 
nendeni mkalale na lowassa wenu, endeleeni kuzungusha mikono mabadirikooooooo. Pambafu mabadiriko yaletwe na lowassa fisadi ndiyo maana tuliungana na ccm japo hatuitaki ili kuikomboa nchi kuingia mikononi mwa wezi, sasa mission is complete tunarudisha majeshi yetu mstari wa mbele kuendelea na mapambano. Tunasema aluta continua

mapambano bado yanaendelea
wajinga , malimbukeni na wafanyabiashara wenye akili ndiyo waliomuunga mkono fisadi lakini wenye akili timamu tulisimama imara kuhakikisha fisadi anasoma gazetini habari za ikulu
 
A hero who runs away from a battle ground is fit for treason !
 
Wakuu napenda kuomba wale wapiganaji MAKAMANDA halisi wa CHADEMA tuandae mapokezi makubwa kumpokea shujaa wetu mzee wetu kipenzi Dr W. Slaa atakaporudi kutoka safari yake ya Marekeni. Dr Slaa ameonyesha msimamo unaopaswa kuheshimiwa na kila mpenda maendeleo anayependa kupambana na ufisadi wa nchi hii. Tunaomba kwa yeyote mwenye taarifa lini shujaa wetu anatarajia kurudi atujuze ili tuweze kumwandalia mapokezi kwa kumkataa mwizi aliyejaribu kumhonga milioni 500 aliyepokewa na viongozi wa UKAWA. Na sasa wananchi wamesema hapana. Bado tuna imani kuwa Dr Slaa anaweza kutuletea mabadiliko ya kweli.

BABA UKIWA HUKO MAREKANI NAJUA UNAPITA HAPA JF, Pole kwa yote na tunaomba utusamehe kwa yaliyotokea kwaani tulishindwa kuwa na wewe wakati ukisurubiwa na mwenyekiti wetu, wakati ukidharirishwa na Mshenga wa ufufuo na uzima kwenye vyombo vya habari juu ya maisha ya familia yako, ukweli tulizidiwa na nguvu za mwenyekiti na mgombea urais. UTUSAMEHE.

Tunajua umekisaidia chama chetu kukifikisha hapa kilipo, tunatambua mchangoi wako kuwainua baadhi ya vijana kama akina Mnyika na wengine kuwa makamanda shupavu na shujaa, tunatambua madhara uliyoyapata ukipambana na dora kwa niaba ya chama, mfano ulipigwa wewe na mke wako na kuvunjwa mkono, na majuzi mlinzi wako alikamatwa kwa kuwa na mpango wa kukudhuru, hatutaki kuamini kama mpango ule kuwa ulikuwa umeandaliwa na waliotajwa, nafikiri unahitaji kuona mbali na kutambua adui zako. Tunapenda kukupa pole kwaani wali walinzi tulioambiwa uliletewa na mshenga walikuwa na program gani, lkn yote na yote MWENYEZI MUNGU ndiye anayepanga kila kitu.

Karibu tena Nyumbani tujenge nchi yetu, kwaani nchi hii ni yetu sote, nje ya CHADEMA NA UKAWA kuna maisha ya siasa. Hivyo hatuoni sababu ya kuachana na siasa wakati bado tunakuhitaji. Najua ulikuwa na maono ya kulitimikia taifa ukiwa kma Rais, lkn unaweza kulitumikia taifa kwa njia nyingine km kuanzisha chama cha siasa au kujiunga na kijana wako ZITTO mkaunganisha nguvu ili tukifute chama kilichokiuka misingi yake.

ALUTA CONTINUA.

Aliwaaga anakwenda Marekani kufanya nini hadi mkampokee anaporudi..!
 
nenda kampokee wewe mwenyewe. Kampeni zimeisha, uchaguzi umepita. Sasa ni muda wa kufanya kazi kuandaa ada za wanafunzi january 2016 maana watz wamekataa elimu ya bure.
 
Duh Dr ni sawa na askari aliyewatwanga risasi askari wake mwenyewe,ila sasa ana uhakika na ulaji wa kutisha Magufuli anaweza kumteua balozi muda si mrefu.

Sizijui taratibu....lakini naona teuzi zote zimekwisha fanywa..hata jana ilifanyika moja na huenda zikafanywa zingine kabla ya kuapishwa.
 
Back
Top Bottom