Huna mpya wewe..Zitto yupo na ATAZIDI KUWEPO. kwahiyo jipange ............Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Cc Crashwise
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.

ndugu yangu siasa na maisha yetu ni vitu vilivyo pamoja, hawa wanasiasa ndo wanaoamua hatma za maisha yetu, kuchukia siasa ni sawa na kumsusia nguruwe shamba ati ukidhani unamkomoa, ni sawa pia na kumsusia kinana mbuga zetu ivi tutawakuta tembo wetu kweli?
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Cc Crashwise
Wananchi maskini wa kitanzania hatutaki siasa
niliwahi kuweka thread hii hapa jf katika kupima athari za kumvua au kutomvua uanachama zitto:"kwa mtazamo wangu ni kwamba kumfukuza zitto ndani ya chama ni kuwafanya wanachama na wapenzi wa chama cha chadema wasioafikiana nae katita sakata hili kubaki "intact" bila ya bughudha ni mwelekeo upi waufuate. Itakuwa ni kazi kwa wafuasi wake (kama wapo) kutafuta wapi waende iwapo watajikuta wako njia panda kwa namna moja au nyingine.
Kutomfukuza zitto ndani ya chama , ni kuruhusu kinyume cha hayo yaliyotangulia. Hii ina maana wafuasi wake (kama wapo) watasimama imara na changamoto itakuwa kwa kundi la pili (kama lipo). Je hili kundi la pili liendelee na msimamo wake au lijiunge nae.
Katika hayo mawili , lipi linastahili: Afukuzwe au asifukuzwe!"
naiwasilisha tena.
Kwachu! Kwachu! Kwachi! Yalaaa wuwiiiii! Nafwaaaaaa!
Mie namtandika bakora tu simwangalii usoni
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Cc Crashwise
Tunataka evidence sio maneno tu, lete huo ushahidi ili kama Zitto ni mnafiki kieleweke kwa sasa hatujengi chama bali tunataka kukibomoaMkuu mimi nitarudisha kadi ya CDM na kubaki kuwa yatima wa kisiasa, Zitto kafanya mabaya mengi sana hata hili la kumchafua Mbowe kahusika na soon tutaleta ushaidi humu.
Sipo tayari kuishi na nyoka nyumba moja.
chadema is very interesting party, nakwambia kwa ela akina wasira, mwigulu, nchimbi et al walizokuwa wakimpa zito kabwe ili akiangamize chama real kama ingekua cuf, nccr, tlp nk. zingekufa mda mfup sana.
ivo ni lazima tuwape mda pia tuwaunge mkono viongoz wetu wa chama ili waandae mikakati ya kukiweka sawa chama pia kuandaa hatua madhubut dhid ya msalit zito kwani sio siri chama tayari kiliishajeruhiwa kiasi, kumbuka sakata la akina mtela, mchange, shonza et al na la uyu zito
Tungeanza na KUB
KUB = Kiongozi wa Uzinzi Bungeni Ref. Viti Maalum