CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

TAFAKARI: Kama hapa ndio Makao makuu ya Chama, Je mikoani pakoje? CHADEMA si mnapata ruzuku kwa miaka 10 na kwasasa!!? Kama mmeshindwa kujenga makao makuu yenye hadhi. Je, mtaweza kuijenga Nchi?

NB:
Sijui hali ya Ofisi za CHADEMA Mikoani zikoje tu.

Tuwekee na Picha ya ofisi ya CCM iliyojengwa kuanzia mwaka 1992 tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi. Tofauti na hapo ofisi zote zinazotumika na CCM ni zile tulizojenga wote kwa nguvu zetu wakati wa mfumo wa chama kimoja. Tafakari na tumia akili unapoandika.
 
Alafu viongozi wao wanazisaliti nyumba zao,sasa hawa wakienda Ikulu na nyumba ndogo zao,watauza Nchi.
 
Mnaogopa nn nyie lumumba buku 7? CDM sio kama nyie mmefanya ikulu pango la wezi ,CDM inaenda ikulu ili sisi wanyonge tunao lipa kodi na wenye rasilimali tuweze kufaidi wote ,na si wachumia tumbo wachache mnao zifaid hapo Magogoni.
 
Lengo lao limeshajulikana. Sio lengo zuri. Ndio maana watanzania wenye nia njema na nchi yao, kwa umoja wao, wamekuwa wakiwakataa kila mara kupitia boksi la kura.

Kwani magamba yako ikulu kufanya nini?tumia akili kuwaza kijana!
 
Dogo acha ujinga,inaonekana hujasoma historia,leta picha z TANU ilipokuwa imeanzishwa,na ujue ccm ilitumia resources mbalimbali ilipokuwa chama pekee,jitahidi kuwauliza baba yako na mama yako,mana inaonekana ulizaliwa baada ya vyama vingi na hukusoma somo la historia,au umeamua kwa makusudi kuchagua ujinga!

Punguza hasira Dogo lao. Kwahyo na nyie mkiingia madarakani mtatumia resources kujenga mjengo wa Makao makuu. We jiulize kwann Mbowe anaendesha Gari la million 90 halafu wana ofisi ya million 50.
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!

Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!

Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.

Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.

Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?
Wewe unafanya kuisikia chadema na wala hujafanya juhudi hata ile ndogo kuilewa chadema. Malengo na mipango yake na mkakati yake inaeleweka sana na ndio maana wananchi wengi wanakimbilia huko!
 
jiulize kwa nini ccm wanatumia nguvu nyingi sana kuua au kusambaratisha chadema? Je,wanakatalia madarakani kuna nini? Wanafikia hatua ya kutugawa watz kwa dini au makabila yetu,kuasisi ugaidi na kulipua watu kwenye mikutano ya chadema,je ikulu kuna nini? Ukiweza kujibu haya tutakuambia lengo la chadema ni lipi

Gongo mbaya sana badala ya kutoa majibu unaulizwa maswali tena... Ndio maana huwa sioni tofauti ya ccm na cdm wote ni wamoja tofauti majina tu
 
Wenzako wanajiuliza kwanini c.c.m haipendwi na wananchi lakini hawapati jibu!,nawe unakuja na hadithi uchwara hebu jiulize wewe uko c.c.m unafikiri unaweza kuwa na ushauri gani? Ikiwa majangili hawa watashindwa uchaguzi 2015?.kama unabisha nenda vijijini ujionee jinsi chadema inavyokubalika. Hakika 2015 c.c.m kitakuwa chama cha upinzani.

Unashabikia chama hata sera zake huzijui mkuu! Sema basi wana mpango wa kutufanyia nn watz endapo watashika dola?
 
Vijana ni wafuasi wa cdm lakini hawajui hata sera za chama chao, ni aibu sana. Hakuna hata mmoja aliyeeleza watafanya nini? Jitahidini kusoma ilani bavicha kabla ya kukurupuka na kujifanya wakereketwa kumbe kichwani mweupeeee...
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola! Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola! Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa. Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu. Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?
Kwani ccm wenyewe wanafanya nini Ikulu?CDM wanataka wakaone mzimu unao sababisha mikatyaba mibovu ya migodi hadi tuachiwe mshimo bila aibu bila kupata hata senti
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!

Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!

Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.

Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.

Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?

we ndio mdandiaji hujaangalia wal kusikiliza sera za chama chochote ndio maana unasema chadema wanaenda kufanya nn ikulu..sasa CCM iko inafanya nn ikulu zaid ya kusafirisha unga matumboni na kuendelea kupandisha bei ya kila agusacho mwananchi lakin uliza mshahara wako utapanda lini??
hayo ya unafiki CCM ndio wanaongoza wanajidai wanasimamia sheria uliza walompga na kumtesa dr. ulimboka walikamatwa na alomwekea sumu mwakyembe ni nan na kwann kesi haijafatiliwa??
kutoshaurika CCM ndo kinara hakuna nchi inayotoa rasilimali zake kwa kupata asilimia 10 na znazobak ukampa mwekezaj ushaur huo mmeufanyia kazi??
na kuhusu maslahi tusingekuwa tunahangaika kuhojiana kuhusu mali wanazomilik viongozi au utoroshwaj wa pesa uswisi kama CCM wangekuwa wanasimamia sera zao.
HATUICHAGUI CHADEMA KWA UZURI WA SERA BALI KWA KUSIMAMIA VIZURI SERA ZAKE NA KATIBA KWA UJUMLA
 
Wamenogewa na Juice na sambuza za Ikulu

Lizaboni, kunyweni juice na sambusa za mwisho mwisho. 2015 watanzania hawawarudishi tena magamba ikulu. Miaka zaidi ya 50 mliyokaa madarakani imetosha. Watanzania sasa wanahitaji kubadilisha mboga sio maharage kila siku. Hata mitume wa mungu mfano Jesus hakuishi miaka 50. Alitaka kuonyesha kuwa kila kitu kina mwisho. Hakuna marefu yasiyo na ncha. CCM imeshafikia ncha. 2015 is the end of ccm. Watanzania watawapa nchi CHADEMA chini ya viongozi waadilifu. Sio lazima awe Mbowe, Slaa wala Zitto. CHADEMA ina watu wengi wenye vichwa vizuri tofauti na nyie magamba. Kazi yenu kubwa ni kudanganya. Kwa taarifa yenu hadanganyiki mtu hapa. Hata mkimaliza pesa zenu zote kuwapa watu wavuruge CDM na Nape kuwapa ninyi kina Lizaboni buku saba mje hapa jamvini kuleta hoja za kulia kulia kwa lengo la kudhoofisha CDM hamtafanikiwa. Kwani mmeshachelewa. Hamwezi kushindana na nguvu ya umma. Na hiyo nguvu ya umma sio Mbowe, Slaa wala Zitto bali ni watanzania wapenda maendeleo ya nchi yao
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola! Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola! Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa. Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu. Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?
Wanataka wakaione gongo wanayo inywa ccm hadi kunyanyasa wananchi wake kama vile kumuua Daudi Mwangosi na mateso ya Absalom Kibanda,na vifaa vinavyotumika kung'olea meno na kucha za wananchi
 
Yaan habar yanyewe haina kichwa wala miguu, ccm huko ikulu wanafanya nn zaid ya rais kusafir tu kila mara, na kutuibia meno ya tembo!!
 
jambo moja ambalo naamin n kuwa mvuto wa cdm umeshuka kwa kiwango 80% o more,lakin pia ccm haina penatration police ya kuwashawishi watu waipende hasa kutokana na hali halic ya maisha kwa sasa! may b tuone kama hii kansa kwa cdm itapona nakuleta msukumo mpya kwa wananchi, ila huenda kwa wa2 kama mm tukawa waangaliaj tu wa uchaguz bila kupiga kula maana hakuna chama kitakachakuwa na sifa au mgombea mwenye sifa. hayo n mawazo yangu wakuu!
 
Habar ya kinafik sn subirin tukiingia ikulu ndo mtajua tulienda kufanyaje, na msije mkasema ccm itakaa ikulu milele 2015 lazima watoke hao mafisad
 
jambo moja ambalo naamin n kuwa mvuto wa cdm umeshuka kwa kiwango 80% o more,lakin pia ccm haina penatration policy ya kuwashawishi watu waipende hasa kutokana na hali halic ya maisha kwa sasa! may b tuone kama hii kansa kwa cdm itapona nakuleta msukumo mpya kwa wananchi, ila huenda kwa wa2 kama mm tukawa waangaliaj tu wa uchaguz bila kupiga kula maana hakuna chama kitakachakuwa na sifa au mgombea mwenye sifa. hayo n mawazo yangu wakuu!
 
Malengo ni mengi ya Chadema kuingia Ikulu.
Mojawapo mi pamoja na kusimamia rasilimali tulizopewa na Mwenyezi Mungu kwa manufaa ya Tanzania na watu wake na sio kwa CCM WACHINA,MAFISADI, NA WASIO WATANZANIA.

Kurudisha mali zoye zilizoibiwa na CCM ikiwa na pamoja na kushughulikia ufisadi wote kuanzia mkuu wa ccm mpaka walio chini.

Kuondoa urasimu wa kiwahudumia wananchi huduma muhimu na za haki kama rlimu,maji,umeme,barabara,reli ma kuwajengea uwezo wa kutumia rasilimali zilizopo kukuza uchumi wa kila mmoja na kuongeza ajira.

Kufumua mifumo yote ya kinyonyaji inayolindwa na Ccm kwa gharama zote ili watanzania wawe huru na wale mema ya nchi yao na sio kuliwa na wahindi,waarabu,wachina na wacanada

Kuweka mifumo imara ya uwajibilaji kwa watendaji wote, na ufanisi uwe ni kipimo cha kila mtu kupewa mshahara kwa kila mwezi (PAR) na kwa mwaka kupitia APAA, utakaosimamiwa na Halmashauri na idara ya utumishi.

Kukufunga mianya yote ya rushwa ktk utumishi ikiwa ni pamoja na rushwa hakali zilizoasisiwa na CCM.

Kupitia na kujirishiaha na uhalali katika Uraia, mikataba yote ya madini, uvuvi,kilimo, umiliki ktk taasisi mbalimbali chini ya serikali, umiliki wa hisa katika taasisi hizo,kilimo,misitu, mahamisho ya fedha kwenda nje na sheria za bank kuu, uwekezaji na mambo engine.

Chadema tunataka pia kuthibiti mitandao yote ya hujuma "kwa raia wasio na hatia. HAKI YA MTANZANIA IENZIWE na uhuru wa vyombo vya maamuzi na mihimili mingine ya dola.

Uchumi imara, uwekezaji na muundo mpya ya sector michezo, nishati na usalama wa raia wote bila kujali itikadi,rangi na kabila.
TANZANIA MOJA,UZALENDO NA UWAJIBIKAJI.

Haya ni kw uchache tu na hii ni mojawap sababu za kwa nini watu wengi wanaipenda CHADEMA na matarajio yao ni kuona inashika dola ili kwa kuondoa wanyonyaji wote.

Lego lao limeshajulikana. Sio len zuri.Ndio maana watanzania wenye nia jema na nchi yao, kwa umoja wao,i wamekuwa wakiwakataa kila mara kupitia boksi la kura.
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!

Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!

Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.

Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.

Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?
The stupidity network starts like this....you have no right to speak over the party which is not belong to you! Try to publicize your magamba party may be the public will understand you. Try to raise the relevant topics which may put the nation to the next level....finally asses your propaganda with the needs of the Tanzania people. Thats is my few concrete comments to you.
 
Back
Top Bottom