Chigwiyemisi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 531
- 230
-
Lumumba B7 fc kweli mnatisha.. Yaani mkisharusha utumbo hapa mnauvamia kama nyuki..... Du kweli tuna safari ndefu..
CC. Msalani, Simiyu yetu
Ni aibu kwa chama kinachojifanya makini kinafanya kazi zake kwenye 'Ghala'TAFAKARI: Kama hapa ndio Makao makuu ya Chama, Je mikoani pakoje? CHADEMA si mnapata ruzuku kwa miaka 10 na kwasasa!!? Kama mmeshindwa kujenga makao makuu yenye hadhi. Je, mtaweza kuijenga Nchi?
NB:
Sijui hali ya Ofisi za CHADEMA Mikoani zikoje tu.
Pole sana Mkuu. Endelea kuugulia maumivu
Lumumba B7 fc kweli mnatisha.. Yaani mkisharusha utumbo hapa mnauvamia kama nyuki..... Du kweli tuna safari ndefu..![]()
CC. Msalani, Simiyu yetu
ruzuku inajenga majumba ya kifahari ya akina Mbowe na SlaaTAFAKARI: Kama hapa ndio Makao makuu ya Chama, Je mikoani pakoje? CHADEMA si mnapata ruzuku kwa miaka 10 na kwasasa!!? Kama mmeshindwa kujenga makao makuu yenye hadhi. Je, mtaweza kuijenga Nchi?
NB:
Sijui hali ya Ofisi za CHADEMA Mikoani zikoje tu.
Haya ndo niliyoyasema,kazi kudandia Hoja na kushambulia!Kuwatumikia wananchi manake mmeshindwa nyie kwani hamjui malengo ya chama cha siasa hata hao cck na chausa hata tlp nibkuchukua dola mbona mnaogopa chadema kwenda ikulu kwani hii sio ikulu ya mbinguni ni ya watu bila sisi yaani mimi na wewe hakuna ikulu mbona ccm mnaogopa sana chadema na ole narudia ole wenu chadema wachukue hii nchi mtatafutana manake mlivyo tuibia mtarudisha vyote hivi amuoni aibu wazungu wametutawalahawajachukua hata kenge nyie mnatawala tembo wote kwisha hadi twiga mnaiba halafu muachwe ngojeni dawa yenu..
Vp kuhusu mbowe na slaa kutafuna ruzuku?Kufanya watanzania wawe wanafaidi Nchi yao na kula matunda ya uhuru wao tofauti na hali ilivyo hivi sasa kwani kwa sasa ni mafisadi ya CCM tu ndio yanafaidi matunda ya Nchi yetu
Ni aibu kwa chama kinachojifanya makini kinafanya kazi zake kwenye 'Ghala'
Pesa kidogo ya ruzuku wanaitafuna yote pale Makao makuu vp wakiwa na bajeti ya nchi?Mama na dada zako wapate hospitali nzuri za kujifungulia wadogo zako na wapwa zako mkuu.
Umenena mkuuTAFAKARI: Kama hapa ndio Makao makuu ya Chama, Je mikoani pakoje? CHADEMA si mnapata ruzuku kwa miaka 10 na kwasasa!!? Kama mmeshindwa kujenga makao makuu yenye hadhi. Je, mtaweza kuijenga Nchi?
NB:
Sijui hali ya Ofisi za CHADEMA Mikoani zikoje tu.
TAFAKARI: Kama hapa ndio Makao makuu ya Chama, Je mikoani pakoje? CHADEMA si mnapata ruzuku kwa miaka 10 na kwasasa!!? Kama mmeshindwa kujenga makao makuu yenye hadhi. Je, mtaweza kuijenga Nchi?
NB:
Sijui hali ya Ofisi za CHADEMA Mikoani zikoje tu.
Pole sana Mkuu. Endelea kuugulia maumivu
Waweza kutueleza CCM imejenga jengo lipi?Au ni yale tuliyokuwa tunakatwa mishahara wakati wa Chama kushika UTAMU?Pole.
Wanataka kwenda kufanya fujo na kuandamana wala hakuna kingine.
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!
Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!
Kumbe jibu walijua! Kwani walioko Ikulu wanafanya nini?
Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.
Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.
Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?
chadema wataturudisha 50 years back tuanze harakati mpya za kuwang'oa wakoloni
ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na lengo hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!
Hii huonyesha mipango ya muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini chama hiki kinaitaka dola!
Nachelea kusema kuwa cdm wamekosa hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa kasi kubwa.
Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine mengi tu.
Sasa badala ya kujibu kwa matusi na kejeli naomba cdm mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?