CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

Wanataka J mshumbusi awe first lady wawe wanaingia kama kwao kula ugali
 
Ni Ujinga na Upumbafu kujifanya hauoni Ujinga wa Ccm kuliko Mjinga asiyejiandikisha kupiga kura na Mpumbafu aliyejiandikisha na asipige Kura maana hao viongozi wote wabovu wa Ccm wamechaguliwa na mtu kama wewe ambaye unamtizamo huo

Chadema bwanamnajitahidi sana ,,inamana huoni makibwa yoote yaliyo fanywa na ccm,hapo ulipo unaamani inayoletwa na ccm chadema mnaweza kuleta aman kweli na mlivyo watekaji kweli?
 
unajua maana ya ilani? au na wewe division five? unajua kwa nini wakati wa uchaguzi huwa vyama vinanadi ilani zao na wakiingia ikulu wanazitafsiri kwa vitendo kupitia utendaji wa next time use your head to think,not your fingers

Sasa si ndo ungetuwekea hiyo ilani mbona unabwabwaja tu, umeshatuelekeza juu ilani, hebu tuwekee ya CDM hapa tujifunze.
 
JIULIZE!Kwa nini nyie CCM mnang'ang'ania kukaa ikulu?Mna hati miliki ya ikulu?

Mmekaa ikulu miaka 50,mmefanya nini zaidi ya kuharibu hata yale mazuri yaliyokuwapo?

Ni muda sasa umefika wa kuchagua chama kingine kufanya yale ambayo kimekuwa kikiahidi maana kwa CCM mmeshindwa kufanya mliyoahidi kwa miaka yote mliyokaa ikulu!

Kama hutaki kunywa sumu!

NA MKIJARIBU KUING'ANG'ANIA HIYO IKULU,TUTAWAFATA HUKOHUKO!
 
mwananchi gani atakayekubali kutumikiwa na CHADEMA? Chama limejaa viongozi wa roho mbaya. Kama wanashindwa kukaa na Zitto, je kuna watanzania wangapi wana mitazamo tofauti na ya akina Mbowe?

Wote wenye mitazamo tofauti na CC ya CDM watafukuzwa nchini, kwa wote wanaojiandaa kuipinga na kuitukana serikali ya CDM itakayokuwepo madarakani kama wanavyotukana baba Riz halaf anacheka wajue wazee wa chama watawafukuza hapa nchini.
Maoni yangu tu.
 
Mama na dada zako wapate hospitali nzuri za kujifungulia wadogo zako na wapwa zako mkuu.

Wakifanya hili litakuwa zuri sana lakini hivi mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni huwa analiona hili? Maana watoto wake wote sio watanzania wakeze walizalia hospitali zenye ubora huko dubai na marekani
Maono yangu.
 
TAFAKARI: Kama hapa ndio Makao makuu ya Chama, Je mikoani pakoje? CHADEMA si mnapata ruzuku kwa miaka 10 na kwasasa!!? Kama mmeshindwa kujenga makao makuu yenye hadhi. Je, mtaweza kuijenga Nchi?

NB:
Sijui hali ya Ofisi za CHADEMA Mikoani zikoje tu.

Kwani umeambiwa ruzuku ni kwa ajili ya kujenga ofisi kuu na mashinani? Kuna kazi maalum ruzuku inafanya kukijenga chama ndani na nje ya nchi.
 
  • progress.gif
    Lumumba B7 fc kweli mnatisha.. Yaani mkisharusha utumbo hapa mnauvamia kama nyuki..... Du kweli tuna safari ndefu..

    CC. Msalani, Simiyu yetu




Toa hoja kujibu kilichoulizwa ili mimi nitakapo ichagua CDM 2015 niwe najua nachagua nini. Ila sasa kama wanachama wenyewe ndo kama wewe ilani ya chama huijui unapelekwapelekwa kama ling'ombe unakuwa hutufundishi unatupoteza.
 
Unaonaje ukifanya research zaidi kwa ama kwenda kwenye ofisi zao kutafuta taarifa hizi ama kutafuta kwenye mitandao ili upate majibu ya swali lako ulilouliza.

Bora atafute kwenye mitandao akienda chadema makao makuu utasikia wanamwita buku saba kinachofuata ni kipigo, na ataonekana msaliti.
 
Toa hoja kujibu kilichoulizwa ili mimi nitakapo ichagua CDM 2015 niwe najua nachagua nini. Ila sasa kama wanachama wenyewe ndo kama wewe ilani ya chama huijui unapelekwapelekwa kama ling'ombe unakuwa hutufundishi unatupoteza.

CHADEMA wanataka kwenda ikulu ili kuongoza nchi hii katika misingi inayokubalika na kuwaletea wana wa nchi hii maendeleo na fursa za kila aina za kuwaondoa kwenye lindi la umaskini na pia kuhakikisha watu wote wananufaika na rasilimali zilizopo kwa usawa. Una lingine we kasuku unayepata ugali wako kutoka Lumumba?
 
Asante mkuu kwa kuona kwa jicho LA 3. Tatizo ruzuku zinaishia mfukoni mwa MBOWE. Huwezi linganisha nyumba anayoishi MBOWE na Ofisi ya Chama. Mbowe ananyumba nzuri mno. Billicanas Ni nzuri sana kuzidi ofisi ya Makao makuu.😕

Kwani umeambiwa bills imejengwa kwa ruzu ya CDM, kwa hiyo ulitaka akae kwenye kibanda au akapange? Angefanya mngeanza oh kama mwenyekiti mwenyewe hajijali vp atajali wananchi wake yaani nyi watu hamkosi cha kusema!
 
"Sumu haionjwi" watanzania hatuko tayari kuonja sumu.
 
Mtu ambae anamiliki Danguro,ngono na utumiaji madawa vinafanyika live bila chenga,eti ndio awe msimamiaji wa Dola na Raslimali kiuadilifu!!!!
 
UJASIRIAMALI ulianzia Moshi siku nyingi, BADO UPO SAFARINI kuelekea MAGOGONI...!
 
Back
Top Bottom