Chadema inarudi kwa wenyewe kabla haijafutwa

Chadema inarudi kwa wenyewe kabla haijafutwa

Kwa taarifa yako, sisi wakatoliki na walutheri hatuna utengano wowote kwenye mambo ya kijamii na kisiasa.

Ndiyo maana leo hii mkatoliki akioa mlutheri au viceversa, basi haturudii sakrament i.e haina haja ya kubatizwa upya na kupewa kipaimara upya.

Tunafanana kila kitu kwa 99%.
Sio kweli bhanawee. Wakati Lowasa (RIP) anagombea urais aliwaambia waluteri wenzake kuwa safari hii ni zamu yetu nipeni kura. Kama mngekuwa kitu kimoja asingeyasema haya; Yaani Nyerere, Mkapa na Magufuli wote RC, na Lissu mlitaka mumsimike kwa njia ya giza.
 
Zezeta la CCM linapojifanya CHADEMA , halafu linajisahau kufunika magamba yake ya kijani.
 
Sawa lakini waliuwawa wangapi hapo tarehe 29? Wale walizikwa pamoja kule kondo ni kina nani?
Tarehe 30 hapakuwa na maandamano mbonaliuwa watu wengi zaidi Tena barabarani?
Kwann mlinzi wa ghala la silaha mzanzibar alikataa kutoa silaha kwa jwtz?
Jibu bila kuitumia guys.guys
waliokufa wengi wao walilipwa pesa za kwenda kufa. Na wengine ni wafuasi wa dhehemu fulani na waliobaki ni vijana wa kibila fulani tu. Mtu mwenye akili timamu anaependa kuishi huwezi kumshawishi akachome kituo cha polisi akakukubalia. Vijana hawa walikufa kizembe kabisa kwaahadi za fedha kidogo, vyeo na kwenda peponi.
 
Propaganda kama hizi kawaandikie wajinga wenye IQ ndogo. Hakuna chama cha kidini na kidhehebu ndani ya msajili wa vyama vya siasa nchini. Kila muonapo chama ni tishio kwenye regime yenu huwa hamuachi kunyakunya na kurusha mavi yenu kwa vyama tishio kuwatoa madarakani. Hizi ni siasa za hovyo sana na ni za kishamba
Hakuna chama tishio cha upinzani. Hivi vyama vinakuwa tishio tu kama kiongozi mkubwa wa CCM atahama CCM na kuja chama cha upinzani. Hebu angalia mtu mdogo tu na wa hovyo kabisa Mpina aligeuka Lulu na mtu muhimu sana alipohamia ACT. Chadema iliinuka kutokana watu wa CCM; Slaa, Lowasa, Sumaye, Kingunge, Msindai, Nyarandu, nk kuchoma kutoka CCM na kujiunga chadema. Vinginevyo, hakuna mtanzania mwenye akili iliyoiva akawa chadema.
 
waliokufa wengi wao walilipwa pesa za kwenda kufa. Na wengine ni wafuasi wa dhehemu fulani na waliobaki ni vijana wa kibila fulani tu. Mtu mwenye akili timamu anaependa kuishi huwezi kumshawishi akachome kituo cha polisi akakukubalia. Vijana hawa walikufa kizembe kabisa kwaahadi za fedha kidogo, vyeo na kwenda peponi.
wewe ni mpumbavu mmoja hivi usiyejua jua lolote
jirani yangu alipigwa risas salasala hata kupiga kura umri wake bado. alikwenda dukani kwao kuchukua chakula. ma haikuwa siku ya maandamano
wewe unaandika ujinga wako hapa?
hayo malipo waliyolipwa yalikuwa shilingi ngapi mbona hamsemi
hizo pesa ziliingiaje mbona husemi unaandika ujinga tu hapa
HILO KABILA LINALOPASWA KUUWA TANZANIA NI KABILA GANI?
Acha ujinga wako
 
Halafu kwa akili hz eti wachina wasijinyakulie fursa za taifa letu, muda wote chadema chadema chadema si mnasemaga kmekufa kbs kwann hamko busy na vyama vilivyo hai? Kutokuwepo kwa chadema kwmb ndiyo uhai wa ccm, ni nani anawadanganya? Watanganyika wameikataa ccm na ilishakufa ktambo sn na haitainuka tn, siasa za ccm kwasasa znafanywa na polisi, tiss. Kama mnaamin chadema imekufa upgwe mkutano 1 tena nyie ccm mpewe gari la matangazo, mabango, mpewe eneo la sokon chadema wapewe eneo nje kdogo ya mji. Nyie ccm muwe na samia, mwigulu, zungu, nchimbi, wabunge wenu fake wote, viongoz wote wa ccm washriki. Huku chadema wastangaze mkutano kwa gari bali watumie tu mitandao kutangaza halafu wao wawe na T.A.M LISSU, J.W HECHE, LEMA bs hao wanatosha tuone nn ktatokea sku iyo, fala wewe.
Chadema inayoongozwa na Mange Kimambi inakuwa tishio vipi? chadema inayotegemea wahuni kutoka Kenya ni tishio la kivipi? Chadema ambayo inayoongozwa na wakurupukaji Lissu na Heche inageuka vipi tishio kwa CCM? Chadema ina viongozi ambao familia zao wanakula mema nchi za wazungu ni chama au kundi la kigaidi tu kama ISIS?
 
Kwahiyo mmeshindwa kumove on na Chadema??
Kweli nyie ving’ang’a
 
Umesafisha kweli hapo katikati kwenye huo mfereji wa makalio maana nasikia harufu Kali sana asiee
 
wewe ni mpumbavu mmoja hivi usiyejua jua lolote
jirani yangu alipigwa risas salasala hata kupiga kura umri wake bado. alikwenda dukani kwao kuchukua chakula. ma haikuwa siku ya maandamano
wewe unaandika ujinga wako hapa?
hayo malipo waliyolipwa yalikuwa shilingi ngapi mbona hamsemi
hizo pesa ziliingiaje mbona husemi unaandika ujinga tu hapa
HILO KABILA LINALOPASWA KUUWA TANZANIA NI KABILA GANI?
Acha ujinga wako
chadema walikuwa na maslahi ya tendo la utekaji watu kuonyesha kuwa walikuwa wanataka kupindua nchi kwa kisingizio cha utekaji wa watu; yaani walitengeneza situation kama ile ya Trump kutaka mafuta ya Venezuela kwa kisingizio ya madawa ya kulevya . Ina maana kazi hii ya kuteka watu ilikuwa ina mkono wa chadema ili wapaze mwangwi wa utekaji utakaosababisha kutekeleza jambo lao la mapinduzi. Hata baada ya mpango wao kushindwa na watu kufa bado walikuwa wanataka kutumia vifo kama mtaji wao pia, lakini nalo wameshindwa.

Bila no reforms no election huyo ndugu yako asingekufa. Kwenye vurugu zipo bahati mbaya nyingi sana kama iliyompata kijana wako; chadema ndio wa kulaumiwa.

Hakuna excuse, unapoambiwa hakuna kutoka nje maana yake usitoke nje kwakuwa hakuna tofauti kati ya anaetoka nje kwa heri na yule anaetoka nje kwa shari; wote bakini ndani. Watanzania wamejifunza ndiyo maana maandamano ya Dec9 hayakufanikiwa kabisa.
 
Umesafisha kweli hapo katikati kwenye huo mfereji wa makalio maana nasikia harufu Kali sana asiee
Rudisheni chama cha watu kwa wenyewe maana mmeshindwa kukitumia kwa kazi yenu. Mtei alianzisha chadema kama saccos yao lakini wavimbamacho wakampora na wanataka kukitumia kwa uhaini kwenda Ikulu. Imeshindikana aloo.
 
Rudisheni saccos ya mzee, hamna adabu. Sasa hivi hamna ruzuku tena wala mbunge wa chadema, hayo hayakuwa malengo ya mzee Mtei. Wajinga nyie rudisheni chama cha mzee haraka kabla hakijakufa kabisa.
 
Rudisheni chama cha watu kwa wenyewe maana mmeshindwa kukitumia kwa kazi yenu. Mtei alianzisha chadema kama saccos yao lakini wavimbamacho wakampora na wanataka kukitumia kwa uhaini kwenda Ikulu. Imeshindikana aloo.
Hujanijibu swali nasikia harufu Kali vipi hup mfereji na Hilo tundu laka la kwenye makalio umesafisha vizuri?
 
Chuki sina, nimezaa na wakatoliki wengi sana, nina mademu wakatoliki wengi pia. NIko vizuri tu na dini na madhehebu mengi. Hata wanangu 3 wamesoma shule za wakatoliki bila bughudha yoyote. Mimi nasema ukweli tu baaasi. Mpango wa kumng'oa Mbowe pale cdm ulisukwa na kugharamiwa na
Acha porojo
 
Hakuna chama tishio cha upinzani. Hivi vyama vinakuwa tishio tu kama kiongozi mkubwa wa CCM atahama CCM na kuja chama cha upinzani. Hebu angalia mtu mdogo tu na wa hovyo kabisa Mpina aligeuka Lulu na mtu muhimu sana alipohamia ACT. Chadema iliinuka kutokana watu wa CCM; Slaa, Lowasa, Sumaye, Kingunge, Msindai, Nyarandu, nk kuchoma kutoka CCM na kujiunga chadema. Vinginevyo, hakuna mtanzania mwenye akili iliyoiva akawa chadema.
Viongozi wa CCM huwa wanajipa moyo sana kwamba wanaccm ni wengi na wao wakikorofishana ndo upinzani unapata nguvu nchi hii, lakini ukija uchaguzi vikao vyao ni kupanga namna ya kuiba kura waendelee kubaki madarakani. Sasa sijui wanachama wao huwa wanaenda wapi. Ilishangaza sana Octoba 29, kwa "vibe la Oktoba tuna tiki" nilitegemea uwingi wao ungeonekana kwenye misululu mirefu mapema asubuhi kwenye vituo vya kura. Ajabu yake unaenda kituoni hakuti watu, hata sehemu ambako hakukuwa na tishio lolote la maandamano miji kama Mpanda watu hawakuonekana vituoni. Je hao wanachama "wengi" wanasubiri kwenda kula ubwabwa tu wakati wa mikutano? Kwanini hawapambanii chama chao, wamewaachia polisi na TISS wawapambanie!
Uaminifu kwa chama unaonekana wakati wa utetezi, mfano ni kura za maruhani kule zanzibar enzi hizo za maalim Seif, wanachama wa CUF walijitokeza kwa wingi kuonyesha mshikamano ingawa wagombea wao hawakuwepo. Walipiga kura za maruhani na kwa idadi walishinda. Hiyo ilionyesha CUF inawanachama na sio blabla. Sasa CCM hao wanachama wao 'wengi' mbona hawaonyeshi hiyo spirit!?
Ukiachana na vyeo na maslahi binafsi kutoka serikalini ni wa tanzania wachache sana walio waaminifu (royal) kwa ccm kwa sasa, na huo ndo ukweli.
 
Back
Top Bottom