Ungejua hata Mitume na Manabii walipitishwa katika mitihani mikubwa,sasa hivi hata mtu akitaka kuhamia Chadema anajiuliza mara mbilimbili,ndiyo maana wengi wanaenda ACT WAZALENDO na CHAUMMAHeshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Na hawa ambao ni upinzani, wanarudi CCM kwa direct au indirect way. Wachache walio dhamiria ndio hao kina Lissu unawaona wanachofanyiwa na hadi na watu ambao waliaminika na upinza walivyo piga U-Turn..dhana kwamba tukae tukisubiri upinzani wa kweli utoke ndani ya Ccm ni potofu.
..kwanza tumetokea katika mfumo ambao kabla ya 1992 kila Mtanzania mtu mzima alikuwa ni mwana Ccm.
..kwa hiyo vyama karibia vyote vya upinzani vilianzishwa na watu waliotokea Ccm. That is a HISTORICAL fact.
Prof Ngongo habari za huko😅Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
HahahahahHuyo siyo mwana-ccm ila alipigwa na kitu kizito wakati wa uchaguzi wa ndani wa CDM
Na hawa ambao ni upinzani, wanarudi CCM kwa direct au indirect way. Wachache walio dhamiria ndio hao kina Lissu unawaona wanachofanyiwa na hadi na watu ambao waliaminika na upinza walivyo piga U-Turn
JK alijaribu akashindwa.Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Ah, Hapo michungwani msalimie Ali Samkonje, Wasalimie hapo wahuni wanaokaa chini ya miembe apo sunrise wanao toboa mifuko ya sukari, mchele, sabuni, nk. [emoji1787][emoji1787]Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Mkuu Ngongo heshima kwako.Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Kutokea hapa, baada ya kuliona tatizo. Tujikite katika njia gani kupata solutions?..tusiwalaumu wanaorudi au wanaohama upinzani kwenda Ccm.
..kuna mateso na dhuluma ambayo wapinzani wanapitia na kusababisha wengine wakate tamaa na kwenda Ccm.
..tuilaumu Ccm kwa matendo yake ya kikatili, kinyama, na dhuluma, wanayowafanyia viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.
Uwerevu wako ni upi mkuu....ccm ikigawanyika ndiyo upinzani au anguko lenu.Lioneni hili jinga, upinzani wa kweli ni mpk CCM igawanyike
Kutokea hapa, baada ya kuliona tatizo. Tujikite katika njia gani kupata solutions?
Utakwenda shimoni wewe. CDM ni imani na haijapoteza imani kwa wanachama wake wa kawaida ukiachana na hawa kiduchu waganga njaaHeshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Hawezi kuelewa huyo, Kizazi cha sasa sio kile cha gizani cha NCCR.Matamanio yako dhidi ya cdm baada ya Mbowe kushindwa yanafahamika, ila uzuri sisi wafuasi wa cdm wengi tunajitambua na cdm ni imani. Hizi kesi zitapita maana sio halisi bali ni hujuma za kawaida kwenye nchi zenye vyama vinavyozeekea madarakani. Lakini cdm itazidi kuwa imara. Hiki ni kizazi kingine kabisa boss.
Watu wanajitambua sana, hizi hadaa zao zinazofadhiliwa na ccm ili kuihadaa dunia hazitofanikiwa.Ndio unachotamani eh?
Mbowe mwaka jana alisema hakuna tume mpya hakuna uchaguzi halafu baada ya kushindwa anahudhuria dira ya mama anaulizwa vipi anasema yeye sio msemaji na wakati mjumbe wa kamati kuu ya chama.
Unafikiri ataaminika vipi kama kesi ya mwenyekiti aliyempokea kijiti haendi halafu kwenye hafla za Samia anakuwepo?
Najua watu mtatamani sana CHADEMA ife na hasa huu upinzani feki wa CHAUMMA na ACT uliopewa pesa za msimu kuhadaa watu ila mkae mfahamu watu kwa sasa wamejitambua na watawashangaza sana hamtoamini.
Ngoja muda ni mwalimu mzuri watu wanafikiri wimbi la mabadiliko linanulika kwa fulana na baiskeli mkweche.Watu wanajitambua sana, hizi hadaa zao zinazofadhiliwa na ccm ili kuihadaa dunia hazitofanikiwa.
Tutaionesha dunia na dunia itatambua kuwa watz hawataki janjajanja kwenye chaguzi