Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,185
- 41,948
Hahaha kisa lissu? Au kisa kufungiwa harakati zao?Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Very soon very soonNdivyo itakavyotokea hata kwa huyu
CDM ni tiger.A slow movement of a tiger is not a mistake but a calculated accuracy.Kwa hali iliyopo na chini ya Lisu kuingia kwenye uchaguzi kwa taratibu zilizopo wangeambulia zero.Bora walivyogoma mpaka reform ifanyike.Baada ya uchaguzi vilio toka vyama rafiki wa ccm watajuta na kuikumbuka Chadema.Mwanzoni nilifikiri kama wewe ila badae nikagundua walifanya uamuzi wa busara na ccm ndio wanateseka kwa uamuzi huo.Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Waliopo CCM wanalindwa na dola, wanalipwa posho nono, hawana bugudhi na polisi wala kesi na waliopo upinzani ni wepi walio na maslahi binafsi?Upinzani utatokea ndani ya CCM.. hawa ambao ni wapinzani nje, wengi ni wa maslahi yao binafsi na ni mkakati maalumu.. Walio wachache wanao maanisha business kwenye upande wa upinzani wananyooshwa
Hata kama ulichangia fedha haikufanyi kuwa nabii wa hatma ya chadema. Wakati unachangia fedha ilikuwa unatimiza wajibu wako tu kama mwanachama.Inawezekana wewe ni mpenzi wa Chadema lakini mimi nimechangia fedha na mawazo kuanzia level ya kata hadi taifa.
Ninachokiona hasa kwa wapenzi wengi wa Chadema hawaoni kinachoendelea huku site.
We are stronger than ever before Kaka. Relax, CHADEMA ni IMANI and we are here to stay.Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Yupo chuma asiyelamba asali Tundu Lissu ataipaisha hadi mawinguni.Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Hapo umeshiba dagaa zako unajamba tu Lissu yupo Ukonga anahenyeka!!Sio kwa CHADEMA Hii kaka kwa tafakari hiyo tafuta CHADEMA nyingine hii CHADEMA INATISHA sana ndio maana inaogopwa kama ukoma.
Si umuulize Mbowe kwanini amefungua kesi kushirikiana na watesi wa Chadema ? Usituchoshe nenda CHAUMMA muda ndio huuUchaguzi mkuu October 2025,labda tuendelee kusubiri lakini suala la mtu au watu si hoja kwasasa.
Ninachoangalia ni mpangilio mahsusi wa hizi kesi za kufungia chama.
Kesi ya Mwenyekiti na muda wa kampeni na hatimaye uchaguzi.
Tatizo la Watanganyika au Watanzania wengi ni kupenda kusikia kinachowapendeza.
Mfano mzuri ni ujanja unaotumika kuvuta muda kesi ya Lissu.Utabaini hakuna kesi pale wanataka kuiweka chadema busy huku wakikosa muda wa maandalizi ya uchaguzi.
Ukitazama wachangiaji wengi mpaka sasa hawana majibu ya namna chama kitakavyoweza kukabiliana na changamoto za kesi za michongo.
Chama hakina plan B iwapo Mwenyekiti ataendelea kusota rumande.
Chama hakina plan B iwapo Tume wataamua kubadili kanuni mbovu za uchaguzi.
Chama mpaka sasa nakiona kikiwa kimejikita kusikiliza na kufuatilia kesi za Lissu.
Makamu Mwenyekiti anatia huruma hajui afanye nini zaidi ya kutoa matamko ambayo hayana impact na maamuzi ya mahakama.
Upinzani utatokea ndani ya CCM.. hawa ambao ni wapinzani nje, wengi ni wa maslahi yao binafsi na ni mkakati maalumu.. Walio wachache wanao maanisha business kwenye upande wa upinzani wananyooshwa
Shimoni utakwenda wewe na SamiaHeshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Ndipo ambapo equestion ya upinzani na siasa za nchi hii zinakosa balance..walioko ccm na wao ni wako kwa ajili ya maslahi binafsi. Sasa unawezaje kuwaamini wakienda upinzani?
Toa hoja za msingi za kuiua chadema bila kutumia nguvu za dola ambazo wananchi tutakubaliana nazoLioneni hili jinga, upinzani wa kweli ni mpk CCM igawanyike
Kupitia kesi hizi jamii inazidi kupata na kuujua ukweli wa nani anaitetea HAKI na nani anatetea tumbo lakeKwa vipi ?.
Kwa mwanasiasa kupatikana na kesi hizo huwa mtaji kwake.hapo anaweza kufungwa akitoka ukashangaa kawa mpya kabisa.Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Ndipo ambapo equestion ya upinzani na siasa za nchi hii zinakosa balance
Rais wa Zambia naye alikuwa jera kama LissuHeshima sana wanajamvi.