GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,178
Reaction score
37,475
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
 
Kama vile ambavyo Israel imeshindwa kuimaliza Hamas ndiyo CCM na Dola wameshindwa kuimaliza Chadema wanaitaabisha tu lakini hawawezi kuiua.
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Sio kwa CHADEMA Hii kaka kwa tafakari hiyo tafuta CHADEMA nyingine hii CHADEMA INATISHA sana ndio maana inaogopwa kama ukoma.
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Matamanio yako dhidi ya cdm baada ya Mbowe kushindwa yanafahamika, ila uzuri sisi wafuasi wa cdm wengi tunajitambua na cdm ni imani. Hizi kesi zitapita maana sio halisi bali ni hujuma za kawaida kwenye nchi zenye vyama vinavyozeekea madarakani. Lakini cdm itazidi kuwa imara. Hiki ni kizazi kingine kabisa boss.
 
Kabisa Mkuu, kwa mateso yote tutakayopitia, CHADEMA itakuwa imara sana sana kuliko ilivyowahi kuwa huko nyuma.

Dhabahu hupitishwa kwenye tanuru la hatari ila mng'ao wake baada ya moto kila mtu huitamani.
 
Sahihi kabisa. Kwa jinsi cdm inavyowesaa kutengeneza hamasa kwa umma, inakuwa ngumu kuiua kama vilivyouliwa vyama vingine huko nyuma. Na sifa kubwa ni kuwa na msimamo kwenye maamuzi yake.
 
Kabisa Mkuu, kwa mateso yote tutakayopitia, CHADEMA itakuwa imara sana sana kuliko ilivyowahi kuwa huko nyuma.

Dhabahu hupitishwa kwenye tanuru la hatari ila mng'ao wake baada ya moto kila mtu huitamani.
Lioneni hili jinga, upinzani wa kweli ni mpk CCM igawanyike
 
Upinzani utatokea ndani ya CCM.. hawa ambao ni wapinzani nje, wengi ni wa maslahi yao binafsi na ni mkakati maalumu.. Walio wachache wanao maanisha business kwenye upande wa upinzani wananyooshwa
We una akili usikilizwe.
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
sawa

wewe Sheikh Yahya wa kipindi hiki!
 
Back
Top Bottom